Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

Hapana hujui kitu wewe au hujui war history hata moja…

Libya, Iraq, Aghanistan, Syria zote hizo zimeharibiwa umeona madhara US hata kidogo? Nikupe hint sbb it seems hujui mambo in details, Israel ndio The heart of U.S.A… na hakuna sehemu Israel itaguswa US akae kimya, all Israel sasa hivi meli za kivita za US imeizunguka, ili Israel ichakaze Gaza bila mtu yeyote kuingilia, sasa huyo Iran hawezi hata nukta kuisogelea Israel, na atabakizwa magofu kama nchi hizo nilizotaja
Source ya habari yako mkuu?
 
Boi umeongelea Korea, kabla hujaeleweka umeiingiza na China, lini China imepigana na Marekani ?
Ebu tuliza wenge la Kiyahudi.
Kuna vyanzo vingi siku hizi vya kupata taarifa walau hata kwa muhtasari. Ingia hata Google itakupatia hiyo taarifa.

Kwa sasa hivi nimechoka siwezi kuandika kila kitu. Ukihitaji mjadala zaidi yupo mtu nitamtag muingie kwenye mdahalo zaidi.
 
Kama maayatollah/masheikh wa iran wataamua kuishambulia israel moja kwa moja basi watarajie mashambulizi na wao, na huenda ukawa ndio mwisho wa utawala wao wa kiislam iran
 
Soma post namba 21.

Majenerali na maafisa wengine waliouawa wanafahamika na pia shughuli zao pale Syria zinafahamika.

Je, unafahamu kwamba ubalozi [kama eneo jingine lolote la kiraia] unaweza kupoteza kinga ya kidiplomasia endapo utatumika kijeshi hususani wakati wa vita?
Kuna ushahidi wa balozi ya Iran kutumika kijeshi au uwepo tu maafisa wa kijeshi pale inakupa sababu za kushambulia kama kichaa
 
Baada ya shambulio la Mchana kweupe la Israel kwenye ubolozi wa Iran tulitegemea majibu kwa Iran.

Lakini mpaka sasa hakuna majibu yoyote KUTOKA Iran.

Ila inaonyesha msafara mkubwa wa magari ya Iran kuelekea Syria
Pia kauli ya Kuanza na Jerusalem Kama mji mkuu au mashuri wa Israel ni dalili mbaya kwa Israel

Vile vile naonyesha Iran ameamua kupigana vita jumla na Israel na akitamani Sana kutimiza ndoto yake ya miaka Mingi ya kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia

Huu msafara wa kwenda Syria una maana kwamba Iran hataki kumshambulia Israel moja kwa moja KUTOKA nchini kwake Bali kupitia Syria.

Na pengine anaweza akaanza kuiteka milma Golan ambayo itampa tageti ya moja kwa moja kumshambulia Jerusalem ambayo ndo kipaumbele chake

Sitaki kuzungumzia majibu ya Israel kwa iran lakini nachotamani Iran usijaribu kufanya hivyo ingawa madhara yanakuwa pande zote lakini Ayatollah atakuwa ameleta madhara makubwa kwenye utawala wake
Bora angerusha makombora kutokea mainland Iran, USA, ulaya, nato wangesita kidogo kujibu mapigo ndani yq Iran, lakini akienda Syria, hapo ameipa nafasi USA na washirika wake, kumtwanga Bashar Assad waliyemtafuta kwa muda mrefu.
 
Israel anamtaka Iran vitani, kagundua ndio chanzo wao kudhambuliwa na hao HAMAS.. hivyo acha wakutane direct zipigwe toune Ayatollah anavyoondoka madarakani
 
Ebu tuambie israel ilikua na miaka mingap ilipoanza kupigana na waarabu???

Real kama tukitaka kuwa wakweli hapa

Kama miaka ile israel iliweza yashinda mataifa ya waarabu pasipo msaada leo hii unazan ni siraha ngap israel inazo za siri!!
Angalia kwene hii operation ya Hamas
30k death . na hii si vita ni kulipiza kisasi

Ikiwa vita mambo yatakua tofauti kabisa kama itaona inakaribia kushindwa itatumia Nyuklia.
Changamoto ni kua waarabu wanatumia hasira si akili na wanajua siraha ambazo israel imekua ikijikusanyia. Na hizo si kwa ajili ya dunia ni kwa ajili ya wenye chuki nao.
Ikumbukwe hawa wanamaumivu ya holocausts hawatakubali tena mambo yrudi waliko tola
We pimbi umeisha ambiwa israhell alisaidiwa na united shits of America huelewi nini muabudu mfuuu?
 
Ebu tuambie israel ilikua na miaka mingap ilipoanza kupigana na waarabu???

Real kama tukitaka kuwa wakweli hapa

Kama miaka ile israel iliweza yashinda mataifa ya waarabu pasipo msaada leo hii unazan ni siraha ngap israel inazo za siri!!
Angalia kwene hii operation ya Hamas
30k death . na hii si vita ni kulipiza kisasi

Ikiwa vita mambo yatakua tofauti kabisa kama itaona inakaribia kushindwa itatumia Nyuklia.
Changamoto ni kua waarabu wanatumia hasira si akili na wanajua siraha ambazo israel imekua ikijikusanyia. Na hizo si kwa ajili ya dunia ni kwa ajili ya wenye chuki nao.
Ikumbukwe hawa wanamaumivu ya holocausts hawatakubali tena mambo yrudi waliko tola
Mkuu miaka ya 1990 kurudi nyuma mataifa ya kiarabu yalikua ya kizembe kiuchumi,kisiasa na kijamii.
Israel akati inapigana six days war ilitumia ndege vita za kimarekani ukatae ubishe nenda katizame.
Six days war ilitokea kwa sababu ya confrontation za nyuma za 1966 kuja 1967,waarabu hawakua na intelijensia yeyote wala ujuzi wowote wa silaha.Na kipindi kile Israel ilikua ina well trained skilled pilots katika jeshi.
Yani jeshi la anga la Israel lilikua ni balaa hakuna taifa middle east linatia mguu,ombea Israel mpigane vita zote ila asitumie jeshi la anga,akitumia jeshi la anga umeisha.
Matokeo yake Misri kaenda kununua ndege vita 200+ toka kwa Russia mafunzo ya kuzitumia wala hana.
Alichokifanya IDF ni kwenda kuzitwanga ndege zote kwenye airbase ya Misri pale Sinai,na Sinai ndio ikaporwa hapo.
Kwingine kote kuliporwa kwa vita za vifaru,kipindi hiko mwarabu kifaru anajua wapi kutumia kaka!?
Nadhani unaelewa vifaru vya USA kipindi kile vilivyokua noma kiasi cha kumpa ushindi World war 2.Vifaru hivyo hivyo ndivyo alitumia Israel huku akipewa intelijensia toka US.

Muarabu asingeweza kufua dafu.
Ila tuje sasa hivi,Israel anaweza kufanya kama kipindi kile??
Jibu hapana mkuu,mfano mdogo Lebanon tu,Israel kianga hushambulia kwa kamikaze drone hapeleki ndege vita directly maana nao wana SAM za long range Hizbollah.
Pia hizbollah wana intelijensia inayosaidizana na IRGC,unadhani Israel anaweza fanya kama nyuma??
Mataifa ya kiarabu nayo yameinuka mkuu sio kama nyuma.
Ndio maana umeona Hamas ameweza kufanya insurgence kwa Israel mara kwa mara.
 
Boi umeongelea Korea, kabla hujaeleweka umeiingiza na China, lini China imepigana na Marekani ?
Ebu tuliza wenge la Kiyahudi.
China iliwahi kupigana na USA kupitia North Korea katika vita za Mgawanyo wa Korea 1959.
Tena vita ilianzia Jangsari ambapo China ilitumia vifaa vya kijeshi vya Russia wakisaidizana na North Korea waliwapiga sana South Korea ambao walikua wakisaidiwa kijeshi na kisilaha na USA vita ilisogea mpaka sehemu ambayo leo inaitwa demilitarized region.
Kwa kuona mfupa umekua mgumu USA ndio akaomba yajadiliwe mezani na sehemu ile ya demilitarized ndipo amani ilijadiliwa.
Ila kama sio kuomba majadiliano watu walikua wanafika Seoul mchana kweupeee.
Vita zingine ni Opium war 1&2 japo China alipigwa maana mataifa makubwa yaliungana France,UK na USA ila hizo za Opium za zamani kipindi china hajapata uhuru kamili.
Hii ya Korea war ilikua kipindi cha Zhe dong Mao.
Na kuna ndugu zake kama wawili ama watatu kama sijakosea waliongoza brigade na kufia Korea.
Kwa ground battle/guirella war China wako vizuri sana.

Kama nimekosea wajuzi mtanisahihisha.
 
Waliouawa kuwa ni maafisa wa kijeshi,huo ni ushahidi tosha
Maafisa wa kijeshi kuwepo katika balozi inaruhusiwa.
Kila balozi huwa kuna maafisa kwaajili ya ulinzi wa ile balozi tena na Bunduki wameshika.
Na balozi ya Iran inafahamika kuwa ni kinga ya Assad pale Syria.
Leteni ushahidi unaoonesha Iran na makamanda wake wamekua wakipanga njama dhidi ya Israel wakiwa balozini.
 
Israel anamtaka Iran vitani, kagundua ndio chanzo wao kudhambuliwa na hao HAMAS.. hivyo acha wakutane direct zipigwe toune Ayatollah anavyoondoka madarakani
Jidanganye.
Kama Ayatollah kutoka madarakani angetoka tangia 1980 ambapo Iraq ilivamia Iran na ikasaidiwa kisilaha na kijeshi na France na USA ila vita ilidumu miaka nane kiasi Iraq wakaomba mazungumzo.
Na kipindi hiko IRGC ilikua changa ndio kwanza imetoka kufanya mapinduzi 1979.
Je sasa hivi Iran inaunda makombora ya kuvuka Asia kufika Africa?
Unadhani utaiangamiza kiwepesi??
 
Mkuu miaka ya 1990 kurudi nyuma mataifa ya kiarabu yalikua ya kizembe kiuchumi,kisiasa na kijamii.
Israel akati inapigana six days war ilitumia ndege vita za kimarekani ukatae ubishe nenda katizame.
Six days war ilitokea kwa sababu ya confrontation za nyuma za 1966 kuja 1967,waarabu hawakua na intelijensia yeyote wala ujuzi wowote wa silaha.Na kipindi kile Israel ilikua ina well trained skilled pilots katika jeshi.
Yani jeshi la anga la Israel lilikua ni balaa hakuna taifa middle east linatia mguu,ombea Israel mpigane vita zote ila asitumie jeshi la anga,akitumia jeshi la anga umeisha.
Matokeo yake Misri kaenda kununua ndege vita 200+ toka kwa Russia mafunzo ya kuzitumia wala hana.
Alichokifanya IDF ni kwenda kuzitwanga ndege zote kwenye airbase ya Misri pale Sinai,na Sinai ndio ikaporwa hapo.
Kwingine kote kuliporwa kwa vita za vifaru,kipindi hiko mwarabu kifaru anajua wapi kutumia kaka!?
Nadhani unaelewa vifaru vya USA kipindi kile vilivyokua noma kiasi cha kumpa ushindi World war 2.Vifaru hivyo hivyo ndivyo alitumia Israel huku akipewa intelijensia toka US.

Muarabu asingeweza kufua dafu.
Ila tuje sasa hivi,Israel anaweza kufanya kama kipindi kile??
Jibu hapana mkuu,mfano mdogo Lebanon tu,Israel kianga hushambulia kwa kamikaze drone hapeleki ndege vita directly maana nao wana SAM za long range Hizbollah.
Pia hizbollah wana intelijensia inayosaidizana na IRGC,unadhani Israel anaweza fanya kama nyuma??
Mataifa ya kiarabu nayo yameinuka mkuu sio kama nyuma.
Ndio maana umeona Hamas ameweza kufanya insurgence kwa Israel mara kwa mara.
Mkuu umeeleza vizuri lakini ukweli wa taarifa yako ni 30%

Vita ya six days war hiyo hapo tuoneshe US!!
Hamna US intellegence wala US help….
Ni dhahili kwamba hujui hata uhusiano wa US na Israel ulitoka wapi!!…..

Basi nikujuze tu ! Uhusiano mkubwa wa US na Israel ulianza kupamba moto baada ya hiki kitaifa kuyashinda mataifa ya kiarabu pekee yake bila msaada ndipo US akavutiwa na hawa watu.

Nikukumbushe tu kipindi hiki cha 1967 US alikua amekwama katika Vita ya Vietnam huko ambako alikua ameingia na anashindwa kujinasua.
Picha nimeweka chini hapo
 
Attachments

  • 53F58473-7E10-497A-A974-16437550B230.jpeg
    53F58473-7E10-497A-A974-16437550B230.jpeg
    1.1 MB · Views: 3
  • 1A9B6BBD-2442-46DF-87A2-149CEEC6F487.jpeg
    1A9B6BBD-2442-46DF-87A2-149CEEC6F487.jpeg
    1.1 MB · Views: 3
Jidanganye.
Kama Ayatollah kutoka madarakani angetoka tangia 1980 ambapo Iraq ilivamia Iran na ikasaidiwa kisilaha na kijeshi na France na USA ila vita ilidumu miaka nane kiasi Iraq wakaomba mazungumzo.
Na kipindi hiko IRGC ilikua changa ndio kwanza imetoka kufanya mapinduzi 1979.
Je sasa hivi Iran inaunda makombora ya kuvuka Asia kufika Africa?
Unadhani utaiangamiza kiwepesi??
Kifupi vita kati ya US na Iran haiwezi kuwa rahisi!!…Marekani imejifunza kutoka kwene vita ya Iraq ilikua bloody…..
Hii ndio sababu hawakurupuki,,,,
Nikukumbushe tu US ni nchi ya democrasia haiendi haiendi vitani bila approval ya bunge na support ya wananchi….
Kwasasa sidhan kama wamarekan wana support vita hiyo….
Tofaut na iran ambayo haiongozwi na democracia Ayatollah /Watawala wa iran wanaweza ingia vitani pasipo kutaka idhini au support ya uma….

Kama ingekua hivo unadhan wananchi wangetaka kodi zao zikasupport houthi wa yemeni, zikasupport Quads Syria,Au hezbollah….. Hapana mwananchi wa hivo anaetaka apate tabu kodi yake iende kuboresha kikundi cha kijeshi nchi nyingine
 
Una umri gani?
 
Mkuu umeeleza vizuri lakini ukweli wa taarifa yako ni 30%

Vita ya six days war hiyo hapo tuoneshe US!!
Hamna US intellegence wala US help….
Ni dhahili kwamba hujui hata uhusiano wa US na Israel ulitoka wapi!!…..

Basi nikujuze tu ! Uhusiano mkubwa wa US na Israel ulianza kupamba moto baada ya hiki kitaifa kuyashinda mataifa ya kiarabu pekee yake bila msaada ndipo US akavutiwa na hawa watu.

Nikukumbushe tu kipindi hiki cha 1967 US alikua amekwama katika Vita ya Vietnam huko ambako alikua ameingia na anashindwa kujinasua.
Picha nimeweka chini hapo
Naomba nikuulize maswali mawili.
1)Israel alitumia silaha za taifa gani tokea 1948 mpaka 1967??
2)Je USA kujihusisha na vita Vietnam kunamzuia nini yeye kuisaidia Israel??

Soma hiyo article hapo chini utaelewa.
Israel kipindi inaundwa isingeweza pata sapoti ya kutambulika kama sio kwa nguvu ya baba wa dunia muanzilishi wa UNO(United Nations Organisation)USA 1948 baada ya vita ya pili ya dunia kuisha.
US ndio iliisaidia Israel itambulike kimataifa,ndio maana licha ya kugaiwa ardhi 1947 ila 1948 Israel ndio ilisimama kama taifa.
Embu soma hiyo article hapo chini mzee.
Pia usisahau kunijibu maswali yangu.
Screenshot_2024-04-07-11-50-41-84_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
No
Kifupi vita kati ya US na Iran haiwezi kuwa rahisi!!…Marekani imejifunza kutoka kwene vita ya Iraq ilikua bloody…..
Hii ndio sababu hawakurupuki,,,,
Nikukumbushe tu US ni nchi ya democrasia haiendi haiendi vitani bila approval ya bunge na support ya wananchi….
Kwasasa sidhan kama wamarekan wana support vita hiyo….
Tofaut na iran ambayo haiongozwi na democracia Ayatollah /Watawala wa iran wanaweza ingia vitani pasipo kutaka idhini au support ya uma….

Kama ingekua hivo unadhan wananchi wangetaka kodi zao zikasupport houthi wa yemeni, zikasupport Quads Syria,Au hezbollah….. Hapana mwananchi wa hivo anaetaka apate tabu kodi yake iende kuboresha kikundi cha kijeshi nchi nyingine
Aisee mkuu unanivunja mbavu.
Kiufupi unaonekana hujui yanayoendelea USA.
Kwani raia wa USA walipenda US iendeshe vita Somalia,Iraq,Vietnam na Libya???
Jibu HAPANA,vita zote USA alizoingia raia hawakupenda ikiwemo hii ya Ukraine na ya Gaza kila leo raia wanapiga kelele jamani kodi zetu zinatumika vibaya kusapoti vita zisizotunufaisha.
Hakuna vita USA iliingia raia wakaiunga mkono,tena vita ya Somalia kumuondoa Farah Aidid ndio raia wanaichukia hadi leo hawataki kuisikia.
Tizama habari mkuu usiwe mvivu wa kutizama habari.
US ni wapi alijali raia wa taifa lingine mkuu??
Kama anajali democrasia na raia angewasikiliza raia walipomwambia asiingilie vita ya Gaza na Ukraine.
Pia asingetumia Marshall islands kwa majaribio ya nuke weapons.

Vita na Iran US hawezi kuingia kirahisi kwasababu anajua resources atakazopoteza na upana wa vita atakaokumbana nao.
Maana vita ikitokea na Iran jua hiyo ni vita ya the whole middle east kwasasa.
Maana kwasasa Iran ana gain ushawishi wa mataifa mengi pale middle east.
Ila usisingizie democrasia.
 
Back
Top Bottom