Ebu tuambie israel ilikua na miaka mingap ilipoanza kupigana na waarabu???
Real kama tukitaka kuwa wakweli hapa
Kama miaka ile israel iliweza yashinda mataifa ya waarabu pasipo msaada leo hii unazan ni siraha ngap israel inazo za siri!!
Angalia kwene hii operation ya Hamas
30k death . na hii si vita ni kulipiza kisasi
Ikiwa vita mambo yatakua tofauti kabisa kama itaona inakaribia kushindwa itatumia Nyuklia.
Changamoto ni kua waarabu wanatumia hasira si akili na wanajua siraha ambazo israel imekua ikijikusanyia. Na hizo si kwa ajili ya dunia ni kwa ajili ya wenye chuki nao.
Ikumbukwe hawa wanamaumivu ya holocausts hawatakubali tena mambo yrudi waliko tola
Mkuu miaka ya 1990 kurudi nyuma mataifa ya kiarabu yalikua ya kizembe kiuchumi,kisiasa na kijamii.
Israel akati inapigana six days war ilitumia ndege vita za kimarekani ukatae ubishe nenda katizame.
Six days war ilitokea kwa sababu ya confrontation za nyuma za 1966 kuja 1967,waarabu hawakua na intelijensia yeyote wala ujuzi wowote wa silaha.Na kipindi kile Israel ilikua ina well trained skilled pilots katika jeshi.
Yani jeshi la anga la Israel lilikua ni balaa hakuna taifa middle east linatia mguu,ombea Israel mpigane vita zote ila asitumie jeshi la anga,akitumia jeshi la anga umeisha.
Matokeo yake Misri kaenda kununua ndege vita 200+ toka kwa Russia mafunzo ya kuzitumia wala hana.
Alichokifanya IDF ni kwenda kuzitwanga ndege zote kwenye airbase ya Misri pale Sinai,na Sinai ndio ikaporwa hapo.
Kwingine kote kuliporwa kwa vita za vifaru,kipindi hiko mwarabu kifaru anajua wapi kutumia kaka!?
Nadhani unaelewa vifaru vya USA kipindi kile vilivyokua noma kiasi cha kumpa ushindi World war 2.Vifaru hivyo hivyo ndivyo alitumia Israel huku akipewa intelijensia toka US.
Muarabu asingeweza kufua dafu.
Ila tuje sasa hivi,Israel anaweza kufanya kama kipindi kile??
Jibu hapana mkuu,mfano mdogo Lebanon tu,Israel kianga hushambulia kwa kamikaze drone hapeleki ndege vita directly maana nao wana SAM za long range Hizbollah.
Pia hizbollah wana intelijensia inayosaidizana na IRGC,unadhani Israel anaweza fanya kama nyuma??
Mataifa ya kiarabu nayo yameinuka mkuu sio kama nyuma.
Ndio maana umeona Hamas ameweza kufanya insurgence kwa Israel mara kwa mara.