Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

Tofautisha vita na Operation
US hawajawai pigana na somali
Rekebisha hapo tuendelee
 
Haya naona naww hufanyoli utafiti ebu nikuwekee support za kila vita hapa.
VITA YA IRAQ
 

Attachments

  • 7B9FD7CD-B968-4B03-AF8D-BFDE4121A3CF.png
    20.8 KB · Views: 1
Haya naona naww hufanyoli utafiti ebu nikuwekee support za kila vita hapa.
VITA YA IRAQ
Hizo ni kura za wakuu wa nchi bro.
Raia wa mitaani raia wa USA hawakuwahi kupenda vita/operation yeyote wafanyayo USA nje ya mipaka.
Maana inamaliza mapato na kuleta vifo vya ndugu wa hao wanaoenda kupigana.
Hizo kura za masenate sio raia mkuu.
 
Tofautisha vita na Operation
US hawajawai pigana na somali
Rekebisha hapo tuendelee
Kwenye operation kwani hakuna mapigano mkuu?
Basi sawa tuseme operation.
Ila muhimu ni kwamba USA amekua akiamua yeye na masenate ila sio raia tusiongopeane mkuu.
 
Kwenye operation kwani hakuna mapigano mkuu?
Basi sawa tuseme operation.
Ila muhimu ni kwamba USA amekua akiamua yeye na masenate ila sio raia tusiongopeane mkuu.
Ndio masenetor si ndo wawakilishi wa wananchi mkuu
Ni kama wabunge huku kwetu!!
 
Mkuu. US haendi vitani bila approval!!
Wananchi ndio wanawakilishwa na masenator.
sasa IRAN ni lini wabunge wake waliidhinisha kutuma vita iraq,syria,yemen,Palestina na Lebanone……? mi sikumbuki…..

Iran richa ya kua anaushawishi mashariki ya kati lakini si mkubwa na ushawishi wake mwingi ni kwa nchi zilizojichokea baada ya kutandikwa na vita
Nchi zilizo imara hana ushawishi wowote
 

Attachments

  • 8F4515E5-DB0A-4217-8B29-B3A6DBA704DF.jpeg
    136.8 KB · Views: 1
Hello! Big no.
 
Kwenye operation kwani hakuna mapigano mkuu?
Basi sawa tuseme operation.
Ila muhimu ni kwamba USA amekua akiamua yeye na masenate ila sio raia tusiongopeane mkuu.
Ni nchi gani iliwahi enda vitani kwa kuwaita na kuwauliza raia? Kwamba Marekani iulize mwananchi mmojammoja wote zaidi ya milioni 300 waseme kama wanataka vita?

Iran ilipopigana na Iraq iliuliza kila raia, au hapa inapowapa silaha makundi hasimu ya Israel jambo ambalo ni escalation ya vita imeuliza raia. Au ilipopeleka silaha juzi kuisaidia Armenia dhidi ya Azerbaijan au ilivyoenda Syria iliuliza.
 
Mkuu hicho ndicho nilichokua namueleza niliyem quote.
Yeye alidai kuwa USA inasubiri kura za raia ndio iende vitani.
Mie ndio nikamkatalia,jaribu kupitia mjadala mzima uone ulipoanzia.
 
Kuna concept ya Freedom of Expression ambayo ni allien language kwa Iran ila kwa Marekani ni kawaida. Huwezi linganisha nchi ambayo mwanamke akionekana tu nywele anatandikwa fimbo karibia afe raia wake wajieleze sawa na raia wa Marekani.

Raia Mmarekani anaweza kana hata yeye kuwa binadamu akadai ni nguruwe, na akasikilizwa. Kila kitu Marekani kina upinzani, hizi ni katuni zilizokuwa zinapinga matumizi na ugunduzi wa simu ya mkononi zaidi ya nusu karne kabla hata haijakuwepo
 
Kuna ushahidi wa balozi ya Iran kutumika kijeshi au uwepo tu maafisa wa kijeshi pale inakupa sababu za kushambulia kama kichaa
Kichaa kwa muktadha upi?

Kichaa huwa anashambulia kwa usahihi (precision) kama ule? Kichaa wa namna gani huyo anayeweza kushambulia wanajeshi wa adui kwa ufanisi mkubwa kiasi kile?

Rudia kunisoma:
Majenerali na maafisa wengine waliouawa wanafahamika na pia shughuli zao pale Syria zinafahamika. Miongoni mwao ni makamanda wa jeshi ambao wamekuwa wakiratibu makundi ya wanamgambo dhidi ya Israel ukizingatia Israel iko vitani hivi sasa na makundi hayo.

Soma post namba 21!
 
Israel iko vitani hivi sasa na makundi ya wanamgambo yanayofadhiliwa na Iran. Maana yake ni kwamba, Iran iko kwenye de facto war na Israel na inawajibika kwa matendo yanayofanywa na wanamgambo inaowafadhili.

Uwepo wa majenerali na maafisa wengine wa kijeshi wa Iran pale Syria [karibu na mpaka wa Israel] kunawafanya wawe legitimate targets. Na hata eneo walilokuwepo (ubalozi) linapoteza sifa ya kiraia kwa mujibu wa sheria ya kimataifa.
 
Waliouawa kuwa ni maafisa wa kijeshi,huo ni ushahidi tosha
Huyo bado haelewi kwamba hizi nchi mbili (Iran na Israel) hazina mahusiano ya kidiplomasia. Isitoshe, ziko kwenye vita ya muda mrefu.

Kitendo cha Iran kupeleka wanajeshi wake kwenye ubalozi wake pale Damascus (karibu na uwanja wa vita), kunawafanya wastahili kushambuliwa.
 
Asante kwa mAarifa
 
Unaenda nje ya concept na kuleta u much know.
Hakuna asiyejua kama USA kuna highly freedom of expression,kila mtu analijua hilo,mfano mdogo tu walipokua wanaandamana sheria ya abortion ipitishwe.
ILA NAZUNGUMZIA VITA BRO NAZUNGUMZIA VITA.
HAKUNA VITA USA IKAENDA IKAHUSISHA KURA ZA WANANCHI.

PERIOD.
 
Umekumbusha zama za iraq vs iran war vijana wa kishia baada ya kupewa baraka na ayatollah mkuu wa nchi walienda mstari wa mbele kusafisha mine field kwa miguu ila hawa wairan ni vichaa mno kuna adversaries ila wairan ni adversary vichaaa mno mno moto ukiwaka pale middle east kitaumana haswa haswa na wakishambulia israel basi itakuwa ni shambulio ambalo israel haitaweza kuamka tena kama vile kuua nyoka ponda kichwa kisawasawa.
 
Kisheria za kimataifa hakuwafanyi washambuliwe.
Ila huo ni utashi wa Israel ambao umevunja sheria za kimataifa za ku invade airspace ya Syria pili kuishambulia Syria.
Ni utashi tu wa Israel ambao kimataifa hakuna kitu kama hicho.
 
Kuna watu wanaichukulia sana poa hii nchi.
Yani kama Israel angekua na maadui wenye nguvu duniani mathalan USA,UK,FRANCE weee thubutu kama angetoboa.
Yani tungemvalisha Israel viatu vya Iran hakika asingetoboa kamwe.
Lile taifa bwana,haswa kijeshi limeimarika sana,we unahimili vita ya miaka 8 kwa jeshi la mapinduzi unafanya mchezo!?
 
Unalazimisha utashi kuwa sheria ya kimataifa bro?
Hivi Damascus ni mpakani na Israel?
Sio Gollan ndio mpakani na Israel??
Yani tena ulipue balozi kwa utashi!?
Huwezi kuwa serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…