Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Tofautisha vita na OperationNo
Aisee mkuu unanivunja mbavu.
Kiufupi unaonekana hujui yanayoendelea USA.
Kwani raia wa USA walipenda US iendeshe vita Somalia,Iraq,Vietnam na Libya???
Jibu HAPANA,vita zote USA alizoingia raia hawakupenda ikiwemo hii ya Ukraine na ya Gaza kila leo raia wanapiga kelele jamani kodi zetu zinatumika vibaya kusapoti vita zisizotunufaisha.
Hakuna vita USA iliingia raia wakaiunga mkono,tena vita ya Somalia kumuondoa Farah Aidid ndio raia wanaichukia hadi leo hawataki kuisikia.
Tizama habari mkuu usiwe mvivu wa kutizama habari.
US ni wapi alijali raia wa taifa lingine mkuu??
Kama anajali democrasia na raia angewasikiliza raia walipomwambia asiingilie vita ya Gaza na Ukraine.
Pia asingetumia Marshall islands kwa majaribio ya nuke weapons.
Vita na Iran US hawezi kuingia kirahisi kwasababu anajua resources atakazopoteza na upana wa vita atakaokumbana nao.
Maana vita ikitokea na Iran jua hiyo ni vita ya the whole middle east kwasasa.
Maana kwasasa Iran ana gain ushawishi wa mataifa mengi pale middle east.
Ila usisingizie democrasia.
US hawajawai pigana na somali
Rekebisha hapo tuendelee