Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

kwanini Israel iliteka hivyo vilima

Baadhi ya Sababu za Israel kuteka Golan

1.Sehemu ya juu ya kaskazini mwa Golan, mlima Hermoni (ambao kijiografia si sehemu ya Golan) ndio mlima mrefu zaidi katika eneo hilo na una thamani ya kimkakati kijeshi.

2. Mpaka wa kusini wa Golan ni mto Yarmuch (jina la Kiebrania) ambao ni chanzo kikuu cha maji kwa ufalme wa Yordani.

3. Golan yenyewe ina vyanzo vingi vya maji kwa ajili ya bahari ya Galilaya ambayo ni Israeli hifadhi kuu ya maji. Katika miaka ya 60 Wasyria walijaribu kujenga mabwawa mbalimbali juu ya vyanzo hivi vya maji na kudhibiti vyanzo vya maji vya Israeli. Israel ililipua mabwawa haya katika kile kinachojulikana "vita vya vyanzo vya maji". Kwa kujibu, Washami walishambulia kwa mabomu vijiji vya Israeli huko Galilaya, kama walivyokuwa wakifanya mara kwa mara. Hii ni sehemu ya kile ambacho baadaye kilisababisha vita vya siku sita vya 1967.

4. Golan kwa jadi ni eneo lenye rutuba sana kwa kilimo. Kwa Syria, ambayo iko katika ukame wa mara kwa mara ni chanzo kinachowezekana cha maji na kilimo. Kwa Israeli leo ndio kiwanda kikuu cha divai, tufaha na eneo lingine la kukuza matunda.

Je iliteka wakati gani wa vita au wa amani
Golan ilichukuliwa wakati wa vita ya 1967, japo vita ya mwaka 1973 Syria ilifanikiwa kurudisha sehemu kubwa ya golan, lakini wakakosa mipango thabiti, golan heights ikarudi kwa Israeli.
Vita ya 1973 ni nchi gani zilitumika uwanja wa vita kumshambulia Israel
Egypt, Syria and allies
 
Wakuu!!Ayatolah kaufyata mkia kauingiza ndani kabisa ya Kanzu hata hauonekani.
 
Habari inasema Al Quds ambao ni Palestinian armed wing ndio huitumia Syria kwaajili ya mashaView attachment 2958176mashambulizi.
Ila sijaona hizbollah.
Mkuu soma habari vizuri kabla hujaleta.
Hizbollah kambi zake zipo kusini mwa Lebanon sio Syria.
Awali ulisema kwamba "Hezbollah inapigana ikiwa Lebanon sio Syria". Nimekuletea ushahidi kwamba Hezbollah inajiendesha kijeshi nchini Syria pia, siyo Lebanon pekee.

Unataka kusema Hezbollah inayoishambulia Israel kupitia Lebanon ni tofauti kiitikadi na kimkakati na Hezbollah iliyoweka kambi pale Syria?

Kimsingi, ulihitaji ushahidi kuhusu Syria kutumika kuishambulia Israel. Tayari nimeshaleta ushahidi.
 
2021 Israel ilifanya mashambulizi ya anga Syria pasi na kufanyiwa provocation.
Unaweza ukatuletea sababu ya Gollan kutekwa na Israel 1967??
Nasubiri jibu.
Sasa, wewe si umesema unaijua historia vizuri, iweje uniombe sababu ya Golan Heights kutekwa?

Labda nieleze sababu kwa faida ya wengine.

Sababu kuu ni ya kiusalama:
Golan Heights ilichukuliwa na Israel kwa sababu ni eneo lenye faida kubwa kistratejia katika masuala ya kivita kutokana na mwinuko wake. Syria iliitumia Golan Heights kama nyenzo muhimu ya kushambulia kwa ufanisi makazi ya Israel yaliyoko katika mabonde karibu na milima ya Golan wakati wa Vita ya Siku 6.

Hivyo, Israel iliichukua Golan Heights ili kujenga buffer zone (sijui kiswahili chake), kati ya Israel na Syria ili kuitumia milima ya Golan kama base ya kujihami na kukabiliana na mashambulizi kutokea Syria kwa wakati huo na hapo baadaye.

Sababu zaidi ya hiyo zipo. Baadhi zimeelezwa na mdau mmoja post chache zilizopita ikiwemo migogoro ya rasilimali [hususani maji] ambayo ilikuwepo miaka mingi kabla ya vita ya 1967.

Hayo mashambulizi ya Israel yaliyofanywa 2021 ni yapi? Ila kabla hujajibu, zingatia mwenendo wa mgogoro endelevu kati ya Israel na Syria/Iran pamoja na makundi ya wanamgambo yaliyoko Syria na maeneo ya karibu.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu labda swali la muhimu ni kwanini Israel iliteka hivyo vilima
Je iliteka wakati gani wa vita au wa amani
Vita ya 1973 ni nchi gani zilitumika uwanja wa vita kumshambulia Israel
Tukijibu hayo maswali moja kwa moja tunakupa kwanini Syria ni uwanja wa vita dhidi ya Israel
Nafikiri nimeshaeleza sababu kwenye post yangu iliyopita. Golan Heights ilichukuliwa mwaka 67 wakati wa Vita ya Siku 6.

Vita ya 1973, unazungumzia Yom Kippur War. Syria ilifanya shambulizi hatari la kushtukiza dhidi ya Israel kupitia Golan Heights ili kujaribu kuirejesha Golan kwenye mipaka yake.

Baadaye vita ilihamishiwa ndani ya Syria na ikasambaa mpaka karibu na Damascus baada ya Israel kufanikiwa kuidhibiti Golan kwa mara nyingine. UN ikaingilia kati ila mpaka kufikia hivi sasa hakujawahi kupatikana suluhu ya kudumu ya kumaliza uhasama kati ya hizo nchi mbili.

Ndio maana Israel iko makini sana na "wageni" wanaoingia Syria na kutoka kwa sababu hizo nchi bado ziko kwenye tension. Mbaya zaidi, Syria kwa sasa iko kwenye civil war. Ingawa kuna serikali iliyoko madarakani, wanamgambo wenye itikadi mbalimbali wameigawa hiyo nchi vipande-vipande.
 
Awali ulisema kwamba "Hezbollah inapigana ikiwa Lebanon sio Syria". Nimekuletea ushahidi kwamba Hezbollah inajiendesha kijeshi nchini Syria pia, siyo Lebanon pekee.

Unataka kusema Hezbollah inayoishambulia Israel kupitia Lebanon ni tofauti kiitikadi na kimkakati na Hezbollah iliyoweka kambi pale Syria?

Kimsingi, ulihitaji ushahidi kuhusu Syria kutumika kuishambulia Israel. Tayari nimeshaleta ushahidi.
Mbona unajichanganya mzee?
Umeleta ushahidi unaoonesha maghala ya silaha ila sio command center ya Hizbollah.
WE jamaa usinifanye mie mtoto sawa?
Command center ya Hizbollah ipo Lebanon Syria hakuna command center ya hizbollah,na ushahidi uloleta unaonesha Al Quds ndio wana command center Syria sio Hizbollah.
Wee weee weeee mimi najua kusoma narudia tena mimi najua kusoma.
Pia Hizbollah kuwepo Syria sio kwaajili ya kuishambulia Israel.
Hizbollah ipo Syria kwaajili ya kupigana na serikali ya Syria kuzuia makundi ya washika silaha Syria.
NA HAKUNA SIKU HIZBOLLAH IMEWAHI KUISHAMBULIA ISRAEL IKIWA SYRIA,BALI TOKA 2011 HIZBOLLAH IKO SYRIA KUIUNGA MKONO SERIKALI YA ASSAD ISIANGUKE HUKU IKISAIDIZANA NA IRGC.
LETA USHAHIDI KUWA HIZBOLLAH INAENDESHA MASHAMBULIZI SYRIA DHIDI YA ISRAEL??
Utata upo hapo👆👆,
nataka ushahidi wa hiko kitu kuwa Hizbollah inashambulia Israel ikiwa Syria.
Screenshot_2024-04-09-06-49-02-75_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Screenshot_2024-04-08-20-32-35-24_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Sasa, wewe si umesema unaijua historia vizuri, iweje uniombe sababu ya Golan Heights kutekwa?

Labda nieleze sababu kwa faida ya wengine.

Sababu kuu ni ya kiusalama:
Golan Heights ilichukuliwa na Israel kwa sababu ni eneo lenye faida kubwa kistratejia katika masuala ya kivita kutokana na mwinuko wake. Syria iliitumia Golan Heights kama nyenzo muhimu ya kushambulia kwa ufanisi makazi ya Israel yaliyoko katika mabonde karibu na milima ya Golan wakati wa Vita ya Siku 6.

Hivyo, Israel iliichukua Golan Heights ili kujenga buffer zone (sijui kiswahili chake), kati ya Israel na Syria ili kuitumia milima ya Golan kama base ya kujihami na kukabiliana na mashambulizi kutokea Syria kwa wakati huo na hapo baadaye.

Sababu zaidi ya hiyo zipo. Baadhi zimeelezwa na mdau mmoja post chache zilizopita ikiwemo migogoro ya rasilimali [hususani maji] ambayo ilikuwepo miaka mingi kabla ya vita ya 1967.

Hayo mashambulizi ya Israel yaliyofanywa 2021 ni yapi? Ila kabla hujajibu, zingatia mwenendo wa mgogoro endelevu kati ya Israel na Syria/Iran pamoja na makundi ya wanamgambo yaliyoko Syria na maeneo ya karibu.
😂😂😂😂Aiseee.
Hivi unajua kama kabla ya 1967 Syria ilivamiwa na Israel?
Unajua kwanini Syria ilitumia Gollan heights kwaajili ya kujihami??
Ukifuatilia historia aliyeanza provocation ni Israel,1960s Israel iliwahi kutaka kufanya expansion Syria na iliua watu wengi sana,je unalifahamu hilo??
Ulitegemea Syria ifanyeje??
Nenda kafuatilie insurgence anazofanyaga Israel kwa Syria kupitia anga zingine ni out of provocation.
 
Mbona unajichanganya mzee?
Umeleta ushahidi unaoonesha maghala ya silaha ila sio command center ya Hizbollah.
WE jamaa usinifanye mie mtoto sawa?
Command center ya Hizbollah ipo Lebanon Syria hakuna command center ya hizbollah,na ushahidi uloleta unaonesha Al Quds ndio wana command center Syria sio Hizbollah.
Wee weee weeee mimi najua kusoma narudia tena mimi najua kusoma.
Pia Hizbollah kuwepo Syria sio kwaajili ya kuishambulia Israel.
Hizbollah ipo Syria kwaajili ya kupigana na serikali ya Syria kuzuia makundi ya washika silaha Syria.
NA HAKUNA SIKU HIZBOLLAH IMEWAHI KUISHAMBULIA ISRAEL IKIWA SYRIA,BALI TOKA 2011 HIZBOLLAH IKO SYRIA KUIUNGA MKONO SERIKALI YA ASSAD ISIANGUKE HUKU IKISAIDIZANA NA IRGC.
LETA USHAHIDI KUWA HIZBOLLAH INAENDESHA MASHAMBULIZI SYRIA DHIDI YA ISRAEL??
Utata upo hapo👆👆,
nataka ushahidi wa hiko kitu kuwa Hizbollah inashambulia Israel ikiwa Syria.View attachment 2958405

View attachment 2958400
Nilikuambia kwamba Hezbollah ipo ndani ya Syria na inajiendesha kijeshi. Umeleta ushahidi wa kuthibitisha kile nilichosema. Asante!

Kwahiyo tumekubaliana sasa kwamba Hezbollah ipo na ina-operate kijeshi nchini Syria.

Syria ni hub ya kutoa mafunzo ya kijeshi na silaha kutoka Iran kwenda Hezbollah na makundi mengine yanayoishambulia Israel. Chanzo chako mwenyewe kinathibitisha hilo. Ukitaka ufahamu hilo kijiografia, pitia ramani, angalia land corridors.

Syria yenyewe iko kwenye mtifuano wa muda mrefu na Israel kama ambavyo nimesema awali, ingawa haziko kwenye vita rasmi. Uwepo wa Hezbollah na makundi mengine pale Syria yaliyoko vitani na Israel hivi sasa ni tishio la kiusalama dhidi ya Israel ambayo iko vitani na makundi hayo hivi sasa.

Je, unafahamu kile kinachoitwa "Axis of Resistance?"

Unafahamu hiko kitu kimeundwa na kina nani dhidi ya nani?

Unafahamu itikadi na malengo yake ni yapi?

Unafahamu makao yake makuu yako wapi na wapi?

Nilikuuliza: hayo mashambulizi ya Israel yaliyofanywa Syria 2021 ni yapi? Kisha nikakuambia: kabla hujajibu, zingatia mwenendo wa mgogoro wa muda mrefu kati ya Israel na Syria/Iran pamoja na makundi ya wanamgambo yaliyoko Syria na maeneo ya karibu. Zingatia hayo maswali manne hapo juu!
 
😂😂😂😂Aiseee.
Hivi unajua kama kabla ya 1967 Syria ilivamiwa na Israel?
Unajua kwanini Syria ilitumia Gollan heights kwaajili ya kujihami??
Ukifuatilia historia aliyeanza provocation ni Israel,1960s Israel iliwahi kutaka kufanya expansion Syria na iliua watu wengi sana,je unalifahamu hilo??
Ulitegemea Syria ifanyeje??
Nenda kafuatilie insurgence anazofanyaga Israel kwa Syria kupitia anga zingine ni out of provocation.
Umeomba sababu ya Israel kuichukua Golan Heights. Umepewa sababu. Hivyo ndivyo namna mjadala unatakiwa uwe.

Kama haujaridhika na hizo sababu, leta za kwako tuzijadili. Badala yake, umekuwa ukipindisha swali kila mara unapopewa majibu ya swali lako ulilouliza awali.
 
Nilikuambia kwamba Hezbollah ipo ndani ya Syria na inajiendesha kijeshi. Umeleta ushahidi wa kuthibitisha kile nilichosema. Asante!

Kwahiyo tumekubaliana sasa kwamba Hezbollah ipo na ina-operate kijeshi nchini Syria.

Syria ni hub ya kutoa mafunzo ya kijeshi na silaha kutoka Iran kwenda Hezbollah na makundi mengine yanayoishambulia Israel. Chanzo chako mwenyewe kinathibitisha hilo. Ukitaka ufahamu hilo kijiografia, pitia ramani, angalia land corridors.

Syria yenyewe iko kwenye mtifuano wa muda mrefu na Israel kama ambavyo nimesema awali, ingawa haziko kwenye vita rasmi. Uwepo wa Hezbollah na makundi mengine pale Syria yaliyoko vitani na Israel hivi sasa ni tishio la kiusalama dhidi ya Israel ambayo iko vitani na makundi hayo hivi sasa.

Je, unafahamu kile kinachoitwa "Axis of Resistance?"

Unafahamu hiko kitu kimeundwa na kina nani dhidi ya nani?

Unafahamu itikadi na malengo yake ni yapi?

Unafahamu makao yake makuu yako wapi na wapi?

Nilikuuliza: hayo mashambulizi ya Israel yaliyofanywa Syria 2021 ni yapi? Kisha nikakuambia: kabla hujajibu, zingatia mwenendo wa mgogoro wa muda mrefu kati ya Israel na Syria/Iran pamoja na makundi ya wanamgambo yaliyoko Syria na maeneo ya karibu. Zingatia hayo maswali manne hapo juu!
Mkuu mbona unakaza fuvu!?
Halafu inaonekana husomi unacholetewa kusoma.
Hizbollah Syria HAIJIENDESHI KIJESHI.
UNAPOSEMA INAJIENDESHA KIJESHI BIMAANA UNASEMA CENTRAL COMMAND IPO SYRIA.
LAA HASHA central command ya Hizbollah ipo Lebanon Bint Jubeir mzee.
Nimekuletea article inayoeleza Hizbollah imeenda Syria mwaka gani na kwa lengo gani.
Hizbollah ipo Syria ili kupambana na makundi hasimu ya Assad yanayotaka kumtoa madarakani.
Na hizbollah imeenda pale 2011 central command yake ipo Lebanon sio Syria.
Makao makuu Beirut,kambi kuu Bint jubeir na kambi za mazoezi ni vijiji vya Janta.
Utasemaje wanajiendesha Syria?
Wapo Syria kwa mission maalum ila hawajiendeshi huko.
Unachokisema wewe kisa JWTZ ipo DRC Goma basi JWTZ inajiendesha DRC jibu laa hasha JWTZ haijiendeshi DRC bali ipo DRC kwa mlengwa wa kupambana na M23 ikiisaidia DRC.
NARUDIA TENA ACHA KUKAZA FUVU HIZBOLLAH UWEPO WAKE SYRIA NI KWAAJILI YA KUMUUNGA MKONO ASSAD SIO KWAAJILI YA KUJIENDESHA KIJESHI.
NA HAIKUWAHI KUISHAMBULIA ISRAEL KUTOKA SYRIA.
STILL NATAKA JIBU LA SWALI LANGU
Lini Hizbollah ameishambulia Israel kutokea Syria??
👆👆👆Usilikwepe hili swali maana hujanijibu.
Maswali yako yote manne jibu ni moja lenye maelezo mafupi.
PIa hata article nilokurushia ina maelezo ya axis of resistance.
Axis of resistance imeundwa na Iran na washirika wake kwaajili ya kupambana na influence ya USA na Western powers pale middle east.
Baba muanzilishi wa axis of resistance ni Iran ambaye kiongozi alikua Qassem Soleiman na moja wapo ya command centre ilikua Syria.
Kuhusu tukio la 2021 siwezi kurudia kuelezea kitu kile kile.
Au labda nikuulize,kuna yapi yaliyotokea mpaka ikasababisha axis of resistance ikaundwa??
Unapojibu swali zingatia middle east ilikuaje kabla ya 1947 kuundwa kwa jewish state Israel.
 
Kwa alichokifanya Israel si kwamba ameshambulia utawala wa Iran. Alichokifanya ni kuishambulia Iran. Hilo inabidi ulielewe.

Unachokifikiria wachambuzi wa historia wanasema ndilo kosa lilimgharimu USA wakati wa vita ya Korea kaskazini na Korea kusini. USA ilidhani raia wa China hawatoingia vitani nao kwa kuwa utawala wa China wa Mao unaonekana ukiwadidimiza raia wake.

Kumbe kwa wachina ni tofauti. Matatizo ya ndani ya nchi yao watayamaliza wenyewe ila ukivamia nchi yao wataungana na kupambana na wewe kwanza.

Hili ndilo wengi humu tunashindwa kulielewa: Wengi wanasema utawala wa Ayatollah utang'olewa. Lakini hawajui kuvamia ubalozi wa nchi nyengine kuna maanisha nini! Kwa ufupi Israel imefanya makosa makubwa sana. Kwa hii hali ni kuangalia busara ya Iran itaamua vipi! Na kwa kutaka kufahamu ni kosa kubwa angalia anachopitia Israel kwa sasa. Mara afunge balozi, nchi yote kaiweka kwenye hatari ya kivita n.k
Inaweza ikawa Israeli imekosea au ni moja ya mpango wake mkubwa ambao nyuma ya pazia unasapotiwa na USA. Israeli inataka Gaza usiwe na jeshi, pia wanaamini Judea na Samaria(West Bank) ni haki yao. Iran inatengeneza nuclea na kama ilivyokua Syria na Iraq marekani haikufanya ki2 zaid ya kuongea, aliyechukua hatua ni Israel. Israeli hawana sababu ya kuishambulia Iran direct bila kupata uhalali na hii itakua ndio uhalali baada ya Iran kushambulia...kumbuka kama ilivyokua Oct 7, Israel walikua na inteligência kuhusu mashambulio but waliacha itokee ili wapate uhalali wa kwenda gaza...Pia Iran ikishambulia Israeli itawapa Waisrael muda mzuri wa kucheza michezo yake ya blackops ambapo wanaweza kushambulia kambi za US na Israeli kwa makombora au chemical weapons na kusababisha USA na ulaya kuingilia vita...mwisho wa yote Israeli itajikuta kwenye winning side...ila vita lazima iwe kubwa na nchi nying zihusike
 
Mkuu mbona unakaza fuvu!?
Halafu inaonekana husomi unacholetewa kusoma.
Hizbollah Syria HAIJIENDESHI KIJESHI.
UNAPOSEMA INAJIENDESHA KIJESHI BIMAANA UNASEMA CENTRAL COMMAND IPO SYRIA.
LAA HASHA central command ya Hizbollah ipo Lebanon Bint Jubeir mzee.
Nimekuletea article inayoeleza Hizbollah imeenda Syria mwaka gani na kwa lengo gani.
Hizbollah ipo Syria ili kupambana na makundi hasimu ya Assad yanayotaka kumtoa madarakani.
Na hizbollah imeenda pale 2011 central command yake ipo Lebanon sio Syria.
Makao makuu Beirut,kambi kuu Bint jubeir na kambi za mazoezi ni vijiji vya Janta.
Utasemaje wanajiendesha Syria?
Wapo Syria kwa mission maalum ila hawajiendeshi huko.
Unachokisema wewe kisa JWTZ ipo DRC Goma basi JWTZ inajiendesha DRC jibu laa hasha JWTZ haijiendeshi DRC bali ipo DRC kwa mlengwa wa kupambana na M23 ikiisaidia DRC.
NARUDIA TENA ACHA KUKAZA FUVU HIZBOLLAH UWEPO WAKE SYRIA NI KWAAJILI YA KUMUUNGA MKONO ASSAD SIO KWAAJILI YA KUJIENDESHA KIJESHI.
NA HAIKUWAHI KUISHAMBULIA ISRAEL KUTOKA SYRIA.
STILL NATAKA JIBU LA SWALI LANGU
Lini Hizbollah ameishambulia Israel kutokea Syria??
👆👆👆Usilikwepe hili swali maana hujanijibu.
Maswali yako yote manne jibu ni moja lenye maelezo mafupi.
PIa hata article nilokurushia ina maelezo ya axis of resistance.
Axis of resistance imeundwa na Iran na washirika wake kwaajili ya kupambana na influence ya USA na Western powers pale middle east.
Baba muanzilishi wa axis of resistance ni Iran ambaye kiongozi alikua Qassem Soleiman na moja wapo ya command centre ilikua Syria.
Kuhusu tukio la 2021 siwezi kurudia kuelezea kitu kile kile.
Au labda nikuulize,kwa nini haya yakatokea mpaka axis of resistance ikaundwa??
Unapojibu swali zingatia middle east ilikuaje kabla ya 1947 kuundwa kwa jewish state Israel.
Nimesoma kwa makini sana kila ulichokileta hapa, ndugu. Detail kwa detail!

Moja ya changamoto ambazo nimeziona kwako ni lugha hasa kiingereza. Nitatumia makala uliyoileta wewe mwenyewe ili kukuonesha hiyo changamoto uliyonayo.

Kwanza kabisa: hakuna mahali nimetaja kitu kinachoitwa "central command". Hiki kitu umekuja nacho wewe. Na wala hiyo "central command" sio hoja ya kuthibitisha kwamba Hezbollah inatakiwa kuwa na hiyo "central command" mahali fulani ndipo ijiendeshe kijeshi mahali husika.

Hiyo "central command" ni nini hasa?!

Issue ni kwamba, umechanganya kati ya hiyo "central command" yako uliyoitaja na kitu kingine kinaitwa "command center". Ndio maana nimesema tatizo lugha!

Sasa nikusahihishe:
Command center ni kituo cha kijeshi ambacho hutumika kufanyia vikao vya maamuzi ya kijeshi ikiwemo kuratibu na hatimaye kufanikisha shughuli, mipango na mikakati ya kijeshi ama kivita. Na mara nyingi hizi command centers zinakuwa katika kambi za jeshi.

Turejee kwenye suala la kujiendesha kijeshi:
Kujiendesha kijeshi ni kufanya shughuli za kijeshi [kwa lugha rahisi]. Kwa kiingereza tunaita "operating militarily" ama "operate militarily". Hicho ndicho kitu Hezbollah inakifanya pale Syria. Kuna mahali kwenye post iliyopita nimetumia maneno "ina-operate kijeshi" kwa sababu nilishaanza kuhisi changamoto ya wewe kutonielewa.

Rudi kwenye makala (article) uliyoileta hapa:

4644.jpeg

Zingatia maneno; "Hezbollah fighters have operated". Hilo neno "operated" ndio maana halisi ya kujiendesha kijeshi.

Hezbollah ina kambi za jeshi (training camps) na command centers pale Syria kwaajili ya kuratibu operesheni za kijeshi ikiwemo kusimamia supply lines za silaha kutoka Iran kuelekea Lebanon na pia kutoa mafunzo ya kivita kwa wanamgambo na wanajeshi wa jeshi la Syria pale Syria. Huko ni kujiendesha kijeshi nchini Syria.

Vyanzo vingine:

46564.jpeg

Zingatia hayo mambo matatu hapo juu: military bases, observation points and security groups.

Syria kwa Hezbollah ni upande wa ziada wa mapambano ya kijeshi dhidi ya Israel. Zingatia, ISRAEL. Soma ile makala uliyoileta wewe mwenyewe hapa!

156446.jpeg

Zingatia sana hapo panaposema: Hezbollah views its organization as the front line in the confrontation with Israel, and sees Syria is its rearguard.

Hizi hapa chini ni sababu za kwanini Hezbollah inamsaidia Assad pale Syria. Zingatia sana hapo panaposema: Nasrallah continues to portray Hezbollah’s involvement in Syria as a confrontation with Israel, the West, and Sunni extremists.

Israel ndiye adui namba moja wa Hezbollah ndio maana Hezbollah imeweka kambi pale Syria kwa jina la "kumsaidia Assad". Soma article vizuri!

645.jpeg

Haya yote niliyoyaeleza [nikinukuu article uliyoileta] ndio sababu za kwanini Israel inafanya mashambulizi dhidi ya Iran, Hezbollah na makundi mengine ya wanamgambo pale Syria.

Kwa mara nyingine, asante kwa hiyo article uliyoileta hapa. Imesaidia kuuweka huu mjadala vizuri zaidi.
 
View attachment 2959063

Zingatia maneno; "Hezbollah fighters have operated". Hilo neno "operated" ndio maana halisi ya kujiendesha kijeshi.

Hezbollah ina kambi za jeshi (training camps) na command centers pale Syria kwaajili ya kuratibu operesheni za kijeshi ikiwemo kusimamia supply lines za silaha kutoka Iran kuelekea Lebanon na pia kutoa mafunzo ya kivita kwa wanamgambo na wanajeshi wa jeshi la Syria pale Syria. Huko ni kujiendesha kijeshi nchini Syria.

Vyanzo vingine:

View attachment 2959067

Zingatia hayo mambo matatu hapo juu: military bases, observation points and security groups.

Syria kwa Hezbollah ni upande wa ziada wa mapambano ya kijeshi dhidi ya Israel. Zingatia, ISRAEL. Soma ile makala uliyoileta wewe mwenyewe hapa!

View attachment 2959075

Zingatia sana hapo panaposema: Hezbollah views its organization as the front line in the confrontation with Israel, and sees Syria is its rearguard.

Hizi hapa chini ni sababu za kwanini Hezbollah inamsaidia Assad pale Syria. Zingatia sana hapo panaposema: Nasrallah continues to portray Hezbollah’s involvement in Syria as a confrontation with Israel, the West, and Sunni extremists.

Israel ndiye adui namba moja wa Hezbollah ndio maana Hezbollah imeweka kambi pale Syria kwa jina la "kumsaidia Assad". Soma article vizuri!

View attachment 2959100

Haya yote niliyoyaeleza [nikinukuu article uliyoileta] ndio sababu za kwanini Israel inafanya mashambulizi dhidi ya Iran, Hezbollah na makundi mengine ya wanamgambo pale Syria.

Kwa mara nyingine, asante kwa hiyo article uliyoileta hapa. Imesaidia kuuweka huu mjadala vizuri zaidi.
Aya sawa.
Pia haya alofanya Israel bado ni utashi maana hakuna siku Hizbollah iliishambulia Israel kutokea Syria.
Kama ingekua hivyo Russia angeshalipua balozi za Germany na France kwa nchi husika maana France na Germany ni miongoni mwa mataifa yanayoingilia mgogoro wa Russia V Ukraine.
Ila still Russia haku react kama alivyo react Israel.
Sijayakataa maelezo yako ni sahihi ila maelezo yako still yanaonesha Israel ana react kwa utashi sio kwa sababu toshelezi.
Kwasababu hata yeye Israel ni tishio kwa Lebanon na Syria vile vile.
Hata Syria crisis 1957 Israel alihusika.
Na kwa yale aliyokua anayafanya Israel kwa kuungwa mkono na wamagharibi ndicho kimepelekea kuundwa kwa axis of resistence.
 
Baadhi ya Sababu za Israel kuteka Golan

1.Sehemu ya juu ya kaskazini mwa Golan, mlima Hermoni (ambao kijiografia si sehemu ya Golan) ndio mlima mrefu zaidi katika eneo hilo na una thamani ya kimkakati kijeshi.

2. Mpaka wa kusini wa Golan ni mto Yarmuch (jina la Kiebrania) ambao ni chanzo kikuu cha maji kwa ufalme wa Yordani.

3. Golan yenyewe ina vyanzo vingi vya maji kwa ajili ya bahari ya Galilaya ambayo ni Israeli hifadhi kuu ya maji. Katika miaka ya 60 Wasyria walijaribu kujenga mabwawa mbalimbali juu ya vyanzo hivi vya maji na kudhibiti vyanzo vya maji vya Israeli. Israel ililipua mabwawa haya katika kile kinachojulikana "vita vya vyanzo vya maji". Kwa kujibu, Washami walishambulia kwa mabomu vijiji vya Israeli huko Galilaya, kama walivyokuwa wakifanya mara kwa mara. Hii ni sehemu ya kile ambacho baadaye kilisababisha vita vya siku sita vya 1967.

4. Golan kwa jadi ni eneo lenye rutuba sana kwa kilimo. Kwa Syria, ambayo iko katika ukame wa mara kwa mara ni chanzo kinachowezekana cha maji na kilimo. Kwa Israeli leo ndio kiwanda kikuu cha divai, tufaha na eneo lingine la kukuza matunda.

Golan ilichukuliwa wakati wa vita ya 1967, japo vita ya mwaka 1973 Syria ilifanikiwa kurudisha sehemu kubwa ya golan, lakini wakakosa mipango thabiti, golan heights ikarudi kwa Israeli.

Egypt, Syria and allies
Hongera mkuu kwa uchambuzi murua kabisa
Kwa hiyo Iran akitaka kumpiga Israel kutokea Syria lazima ateke kwanza Golan Heights
 
  • Thanks
Reactions: 511
Back
Top Bottom