Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Unajua kuwa China wanauza mabasi zaidi Ulaya kuliko Afrika?Ukikna bidhaa fulani ya Mchina inatamba Tanzania, usiamini kuwa kila mahali ni hivyo hivyo. Tanzania hatuna taasisi imara zinazoshughulika na ubora wa bidhaa.
Hapa Tanzania, nadhani karibia 90% ya mabasi yote ya abiria ya safari ndefu ni ya mchina, lakini usidhani hali ipo hivyo katika nchi. Hata hapo Afrika Kusini tu, mabasi mengi ya safari ndefu, siyo ya China.
Ulaya, mataifa kama Norway na Finland yanaendelea na uchunguzi kuhusiana na mabasi ya umeme ya kampuni ya Yutong kwamba yana switch ambazo wameziita ni killer switch, ambazo ni hatari kiusalama. USA inatarajia kupiga marufuku magari yote yanayotengenezwa China mwaka 2027 kwa sababu za kiusalama:
.Chinese-made electric buses are facing serious security scrutiny in Europe and Australia due to potential "kill switches" allowing remote deactivation by the manufacturer, posing significant infrastructure risks. Investigations have revealed that Yutong and other Chinese-manufactured buses could be remotely disabled.
Hizi pikipiki za Japan za miaka hii tunazo huku mitaani. Nyingi zimechoka balaa na ndiyo hizo zinafungwa injini za Kichina.Sijawahi kuona YAMAHA, Suzuki wala Honda inayopiga kazi kama Haojue au Sanlg huko vijijini kwenye barabara mbovu
Sahihi, ni vile tu miaka ya nyuma Mjapan hakuwa na mshindani sokoniHizi pikipiki za Japan za miaka hii tunazo huku mitaani. Nyingi zimechoka balaa na ndiyo hizo zinafungwa injini za Kichina.
Sababu uliyonukuu hapo chini kabisa haihusiani na suala la ubora wa mabasi hayo. Ni kama vita ya kisiasa anayopigwa Huawei.Ukikna bidhaa fulani ya Mchina inatamba Tanzania, usiamini kuwa kila mahali ni hivyo hivyo. Tanzania hatuna taasisi imara zinazoshughulika na ubora wa bidhaa.
Hapa Tanzania, nadhani karibia 90% ya mabasi yote ya abiria ya safari ndefu ni ya mchina, lakini usidhani hali ipo hivyo katika nchi. Hata hapo Afrika Kusini tu, mabasi mengi ya safari ndefu, siyo ya China.
Ulaya, mataifa kama Norway na Finland yanaendelea na uchunguzi kuhusiana na mabasi ya umeme ya kampuni ya Yutong kwamba yana switch ambazo wameziita ni killer switch, ambazo ni hatari kiusalama. USA inatarajia kupiga marufuku magari yote yanayotengenezwa China mwaka 2027 kwa sababu za kiusalama:
.Chinese-made electric buses are facing serious security scrutiny in Europe and Australia due to potential "kill switches" allowing remote deactivation by the manufacturer, posing significant infrastructure risks. Investigations have revealed that Yutong and other Chinese-manufactured buses could be remotely disabled.
Kwa matoleo yapi.. chini kabusa kuna vile vibata mbuzi, vile alitumia babu mpaka mjukuu anatumua vile tulibatiza jina tukaviita mchaga, kisha juu yake kuna kina DT na ndugu zake.Sijawahi kuona YAMAHA, Suzuki wala Honda inayopiga kazi kama Haojue au Sanlg huko vijijini kwenye barabara mbovu
Trump hawezi kupasuka. Hayo magari Marekani hakuna!Hapo Nguruwe Trump anatamani apasuke.
Kwa hiyo tunakubaliana Wajapan hawana matoleo ya kazi kama ya Mchina?Kwa matoleo yapi.. chini kabusa kuna vile vibata mbuzi, vile alitumia babu mpaka mjukuu anatumua vile tulibatiza jina tukaviita mchaga, kisha juu yake kuna kina DT na ndugu zake.
Hizo kazi zinazopiga hizo haojue zako, pikipiki miaka mi5 mingi inakuwa imekongoroka hatari ya mungu, pikipiki inachoka ukiimwagia mchuzi mbwa anaweba ibeba akijua mifupa. haitamaniki..
Tunataka ipige kazi na idumu.. kwenye ishu ya kudumu mchina ana changamoto kubwa kwenye product zake nyingi sana
Sina hakika katika hilo..Kwa hiyo tunakubaliana Wajapan hawana matoleo ya kazi kama ya Mchina?
Sina hakika katika hilo..
Ishu ni kuchoka mapema, haojue ukiipeleka shambani ipige kazi ngumu, miaka mi3 tu haitamaniki,
Mie nataka ipige kazi ngumu lakini idumu.
Ishu kubwa kwangu ni kwamba vitu vingi vya mchina HAVINA MAISHA MAREFU.
weka howo 0km hapa na scania kilomita laki 5, utapata jibu.
Kama mchina akitengeneza kitu cha muda mrefu itapendeza.
Hizo gari zake hata mimi nazitamani, je baada ya miaka 10, sisi wazee wa 2nd hand inakuwaje, fikiria bongo mtu ana ka ist tole la 2006 anainunua leo 2026 toka japan, sio mchezo ujue.
Hiyo pikipiki gani?
Sasa ili kitu kidumu si kuna sababu nyingi mkuu?Hiyo pikipiki gani?
Miaka mi3 tu, hizo zote zimekufa,
Swala liko palepale HAZIDUMU.
Yamaha na Suzuki zipo serikalini tu huwezi ona zimebeba mikaa pia hakuna mwananchi wa kawaida anayenunua hizo pikipiki. Bei yake ni kali sana.
Na hazijaundwa kufanya kazi za shurubaYamaha na Suzuki zipo serikalini tu huwezi ona zimebeba mikaa pia hakuna mwananchi wa kawaida anayenunua hizo pikipiki. Bei yake ni kali sana.
Hivi unakumbuka yale ma suzuki ag 125 sijui ni tf 125 walikuwa wanapewa viongozi wa kiserikali, ma bwana shamba etc..Sasa ili kitu kidumu si kuna sababu nyingi mkuu?
Inapaswa kuwe na mlinganyo, kwamba ufanye kazi zinazofanywa na wakina Sanlg na Haojue kwa kiwango kile kile na muda ule ule mfano miaka 5 kwa 5, ndipo tuje tutoe hukumu kama zipi zinadumu muda mrefu zaidi.
Kumuiga marekani inakuwaje innovation?China to the world 🌎..... hawa jamaa kwenye innovation huwaambii kitu
inaonekana wewe pikipiki umeanza kuzijua baada ya mchina kuja na hizo zake.Na hazijaundwa kufanya kazi za shuruba
unaijua vizuri yamaha AG 200cc wewe?
Pikipiki nazijua huenda kabla haujazaliwainaonekana wewe pikipiki umeanza kuzijua baada ya mchina kuja na hizo zake.
Naijua haya niambie kitu special kuihusuunaijua vizuri yamaha AG 200cc wewe?