Naona vyuma vya China tutaanza kuvizoea sio muda. Ona ili Zeekr 9X SUV!

Ukitembelea viwanda vya vinywaji Tz nzima wanatumia Mjerumani
Printing Industry Ujerumani au Japan
Magari ya kuuzika na kukaa muda mrefu Mchina hapana
 
Ukitembelea viwanda vya vinywaji Tz nzima wanatumia Mjerumani
Printing Industry Ujerumani au Japan
Magari ya kuuzika na kukaa muda mrefu Mchina hapana
Upande wa logistics kwa ujumla hapo Tanzania anayetawala ni Mchina, trucks na buses ni Mchina

Na hizo sijui za Mjerumani, Mjapan zikiharibika sehemu kubwa ya spare parts zinatoka China

Una hoja dhaifu sana
 
Wabongo wanaishi kwa mahaba, sio uhalisia wa mambo!

Hawataki kukubali mambo yamebadilika !

Muda ndio msema kweli daima!
 
Ila mchina binafsi namkubali sasa hivi, kwenye vyombo vya moto hatuhitaji tena gari la kukaa miaka 20 na bado naliuza used likae miaka 30 tena. Tech imeingia kwenye magari. Yawe kama simu tu, yauzwe cheap, yakae mda mfupi. miaka mi5 mi5 tubadili.
Tatizo bei
Watanzania tutaweza kumuua magari mapya?
Hadi leo tunanunua magari ya 2006 miaka 20 iliyopita ambayo ndiyo mpya huku
 
Reactions: Tsh
Hata mie nashangaa dunia ya leo ninunue gari nikae nalo miaka 15 mpaka 20 la nini wakati ndani ya iyo miaka zinatoka pamba nyepesi kali mno mpaka gari lako unaliona takataka
 
Kizungumkuti kwenye kodi
 
Tatizo bei
Watanzania tutaweza kumuua magari mapya?
Hadi leo tunanunua magari ya 2006 miaka 20 iliyopita ambayo ndiyo mpya huku
Sasa ukute gari linauzwa M30 halafu kodi ni M35 itawezekana vipi boss?
 
🫵
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…