Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Hakika mkuu ruaharuaha
 
Inaheshimika na nani? Upuuzi mtupu. Kufunga watu kwa kesi za uongo? Kununua wapinzani?
 
Hilo ndio tatizo la Nape ni majuzi tu nilisema huyu dogo anadhani anayo haki ya kuzaliwa kuwa kiongozi nchi hii.

Ana majivuno afadhali basi angekuwa na huo uwezo katika uongozi.

Jamaa limbukeni kweli kweli yaani. Hii nadharia ya watu kudhani wao ndio wenye hati miliki ya CCM wakati wote wamekikuta na kujiunga; hata huyo Makongoro mwenyewe hajisikii kama Nape.
 
CCM ya Nape kuzomewa inamaana kulikua na uhuru wa kuongea na kutoa maoni. CCM ya Polepole waliotoa hoja waliuwawa kama Ben Saanane, waandishivwa habari za uchunguzi wakipotea kama Azory Gwanda.
Acha uongo una ushahidi unayoyasema? Vipi umeshahama Chagadema au? CCM itatawala mpaka mwisho wa kiama kwa akili hizi za upinzani
 
Watu waliozoea ugomvi.wanaependa kuhombana nae wameshamfungia,sasa wamekosa wa kugombana nao wanagombana wenyewe.
Hovyo kabisa.
 
Siasa za nchi hii zishakua za majitaka, maana kila anaetoka nje ya system lazima amwagiwe majitaka, ilimradu tu anuke mbele za wananchi.
Anyway, sitaki kusema nani sawa ama nani sisawa zaidi naweka kumbukumbu sawa na ninabakiza akiba ya maneno.
 
CCM ya Nape kuzomewa inamaana kulikua na uhuru wa kuongea na kutoa maoni. CCM ya Polepole waliotoa hoja waliuwawa kama Ben Saanane, waandishivwa habari za uchunguzi wakipotea kama Azory Gwanda.
Kwa hoyo waliokuwa wanazomea ccm ya Polepole ni hao wawili tu?

Basi ccm ya Nape ilikuwa hoi
 
Pia cuf ya maalimu iliheshimika kuliko cuf leprofesorer/buguruni🤔
 
We bana mm sijui,, Nape au Mdogo mdogo wote hakuna wanacholisaidia taifa,, zaidi ya kutafuta ugali wao,, hawasemi siasa chafu wanazofanya viongozi wao
 
CCM ya Nape kuzomewa inamaana kulikua na uhuru wa kuongea na kutoa maoni. CCM ya Polepole waliotoa hoja waliuwawa kama Ben Saanane, waandishivwa habari za uchunguzi wakipotea kama Azory Gwanda.
Umeandika vice versa madam. Punguza hasira.
 
Nape ni wa kupuuzwa tangia alipotamba na goli la mkono akapitiliza na kulifuta bunge live

Huyu hana maana kabisa
 
Inaheshimika na nani? Upuuzi mtupu. Kufunga watu kwa kesi za uongo? Kununua wapinzani?
Kuteka, kutishia watu kwa silaha hadharan, kupiga watu risasi hovyo, virobo vyenye miili kuokotwa ufukwen nk nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…