Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

Ilikuwaje akakuacha mkuu??maama kama ufala ni mwingi uko nao
Maiti kwenye sandarusi kwenye fukwe za bahari, zika fastaaa hakuna cha uchunguzi.

Any way, hivi yule zakaria tajiri wa mabasi walimkosakosaje
 
Maiti kwenye sandarusi kwenye fukwe za bahari, zika fastaaa hakuna cha uchunguzi.

Any way, hivi yule zakaria tajiri wa mabasi walimkosakosaje
hawakumtaka serious labda walifika wakaanza tamaa za kutaka kumpiga hela.

hao wa kwenye viroba viranga vyao viliwaponza,mtu unafanya ugaidi unategemea nini??
 
Naunga mkono hoja
 
Ahaaaaaaaaaaa!!!,
ALIKUWA JEMBE HUYU JAMAA, yaani mpakasasa hawaamini kama amekufa!! Duh!!ahaaaaaaaa!
Kumbe waliumizwa sana!
KITENDO CHA KUMSEMEA MWENYEZI MUNGU ETI AMEAMUA NI KUMKEBEI MWENYEZI MUNGU!,

Mwenye akili asingefurahi kifo cha Magu!,
Angepata funzo kwamba magereza ni ya watu wote!
 
Dawa ya hila ni hila!
 
Haya ukitoa Nape na hasira zake kwa Mwendazake lakini chama pia kinayabariki. Amezungumza hadharani na viongozi wakiwepo. Hizi mbegu wanazipanda wenyewe tena kwa msisitizo! Hicho chama visasi havitakoma, bahati mbaya vitagharimu Taifa.
MTAZAMO, ndugu yangu, wacha watu wateme nyongo zao!
NAKUKUBALI SANA LAKINI KWA HILI NAOMBA TUGAWANE MISIMAMO! ... JAMAA ALIKUWA SIO, NAWEWE UNAJUA!
 
Angalieni sana haya mazumbukuku yanayomtetea Magu ndiyo yaliyomuharibia utawala wake! Ikumbukwe kuwa Magu hakuwahi kuteka/kuua binafsi. Ni hii mijambazi iliyomzunguka ndiyo iliyojipendekeza kwa kuua ili yaibe kwa amani. Kwa vile jamaa alikuwa hana uzoefu wa uongozi wa juu yaani urais aliyaamini haya majitu yakamuharibia. Narudia tena bila hizi mbwa/ aina ya sabaya na makonda Magufuli angeng'aa duniani!
 
Ila kina Nape haya maneno ya shombo yatawacost ikitokea Rais Ajaye akawa na akili atawapiga chini wote

Ningekuwa Rais uchaguzi ujao Kuna majimbo Bora niwape wapinzani tu, Nape ni mropokaji

Unaamini raisi ndiye anagawa majimbo?
Kweli tunahitaji Katiba Bora itakayowaamsha waliolala kama wewe?
 

Hatumtetei Magu, tunazungumzia kauli ya nape
 
Bila Mungu kuingilia kati ile tarehe 27/03/2031 nchi ilikuwa inaelekea kuzimu, asante Mungu.
 
Fikiria sasa hivi Ole Sabaya angekuwa RC wa Kilimanjaro na Muro wa Dar, Makonda waziri wa mambo ya ndani, Bashiru Katibu mkuu kiongozi, Polepole waziri wa Habari, Mnyeti waziri wa katiba na sheria, Mambosasa IGP, Musiba bado mwanaharakiti huru, Ndugai Spika.
 
Umewaza mbali sana, ila Mungu ni mwema kwa Watanzania
 
Angesema mpinzani tusingelala
 
Acha hiyo ya eti marehemu hasemwi. ukifa kwa kutenda mabaya utasemwa mpaka basi. Magufuli was a dictator, amepoteza, ameua, amedhulumu etc etc wengi. Akifa acha watu wasee mabaya yake.
Umesahau kuwanyima wanafunzi mikopo,..mxiuuu zake jiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…