Nape Nnauye: Tuachane na hii habari ya "Sisi Wanyonge", kauli hiyo inatulemaza

Mwaka wenu huu wazee wa legacy 😂😂😂🙌🙌
 
Acha ujinga, hata Marekani ambao sometimes wanatupa misaada hao watu wapo. Ni maamuzi au kuwa chosen. So wataka Tz ya wote mna kipato sawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe utakuwa masikini /Mnyonge
 
Bila kufanya hivyo hiyo nafasi unaondolewa
Hapana mkuu, hizo zilikuwa zama za Jiwe, mama hataki unafiki ila anataka ukweli. Japo ni maoni yangu lakini sidhani kama anataka sifa za uongo.
 
Ukraine Ni mnyonge kwa urusi

Afrika ni wanyonge kwa wazungu

Wanachadema ni wanyonge kwa CCM

WanaCCM Ni wanyonge kwa mwenyekiti wao

Wasio na madaraka serikalini Ni wanyonge kwa wenye vyeo!
Short and clear. Hata yeye ni mnyonge kwa rais wake.
 
Acha ujinga, hata Marekani ambao sometimes wanatupa misaada hao watu wapo. Ni maamuzi au kuwa chosen. So wataka Tz ya wote mna kipato sawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe utakuwa masikini /Mnyonge
Kwa ufinyu wa akili yako unadhani neno unyonge Lina maana sawa na maskini/fukara, kitu ambacho siyo kweli
 
SSH alifaa na anafaa kuwa kiongozi wa NGO, kazi ambayo ingemfaa ni kuhudhuria mikutano, seminars, makongamo,warsha, kuandika proposal za kuomba mikopo na misaada, kutembeza bakuli duniani au kuwa kiongozi kule nyumbani Tanzania inapopeleka 21% ya mikopo yote na ajira. Kuwa katikati na kuzungukwa na wapigaji hivyo ndivyo vitu anavyovipenda,ambavyo viko kwenye damu yake.

Mambo ya kufanya maamuzi sahihi, utendaji uliotukuka, kuunganisha nchi,kuchagua viongozi sahihi, kusimama na kusimamia na kujali maisha ya Watanzania wote hayawezi, yapo juu,nje ya uwezo wake.

Sera rasmi ni kuombaomba, kukopa hovyohovyo, kutojali mahitaji na maslahi ya wengi kipato kidogo (majority).

Ipo kwa ajiri ya wachache kikundi kidogo, wapigaji.
 
Hakuna siku kutakuwa na huo usawa.
 
Uko sahihi 100%
Nape yupo sahihi. Mtu akikuita mnyonge, anakuwa amekufukarisha. Wazungu wanasema..you have been disempowered!
Hii kauli ya wanyonge ilikuwa ni kuwadanganya watu na kuwatumia kisiasa.
Hata kama sina kitu...usiniite mnyonge kamwe!
 
Kauli hiyo hatupaswi kuitumia sisi kutaka rehema na fadhili zao watawala wetu ila wao wanapaswa kuzitumia kupata hisani za mabeberu kwa kivuli cha mikopo na misaada at least JPM did the vice versa
 
Tuondoe hii habari ya sisi wanyonge, sisi wanyonge, inatulemaza, nataka niwaombe, tuondoke katika baadhi ya mambo, ukiambiwa tulipo na tunakotaka kwenda inahitaji muujiza wa ajabu sana…”
 
mwacheni mh Waziri afunguke maana hakuna tena ziraili mtoa roho , anaupiga mwingi sana maana hata chaneli za dstv zimerudi duniani
 
Spot on Nape.
Maneno ya kuwa kuna wanyonge ni mbinu za kisiasa kuwagawa wananchi.
Waatumia neno wanyonge ili kuwatapeli kisiasa.
 
Mwambieni Nape kama anataka hivyo amwambie Mama afute tozo zote kwanza!!kama hatofuta tozo unyonge utaendelea kama kawa!
 
Hi

Vip wengine mna matatizo ya akili ee! Yaani mnaongea kama mataahira!
Teeeh.

Binti mbona unakuwa na shobo hivyo?


ndo ulivyofundishwa kwenu huko kwamba umshobokee kila mwanaume?
 
Huyu yupo kwenye crusade ya kumdiscredit JPM kila fursa anayopata anamkandia. Sisi tunamcheki tunasema hiiiii!

Hata Ww ukipa nafasi utaacha kumdescredit shetani?
 
Uko sahihi kabisa.
Na ndio maana hata hao wanaoitwa wanyonge hawawezi kukosekana katika jamii
Achaa theories za kijima daima kutakuwa na gap ya kiuchumi si lazima lied na masikin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…