Mchele nilikuwa naagiza kutoka Kamsamba Debe moja shilingi 22,000 Juzi nimeagiza nimelipa shilingi 27,000 kwa Debe.Si pesa zimemwagwa nyingi unasema nondo chakula je?? Umeounguza unga na mchele vingine vimepanda ni mpishank tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu, awame ya 4 na ya 2 vyuma vilikuwa lakini. chama kile kile viongozi tofautichama kilekile mawazo yale yale utegemee matokeo tofauti?
Hicho Ni kizigua Kaka MKUU, walonga chindedi maana yake " Wasema UKWELI". π π π πWalonga Chindedi ni Kilugha gani Mkuu, na vipi maana yake? Kweli kibantu kigumu hapo nimeelewa neno Walonga tu ambayo ni "Umesema"ππ
Anamaanisha kuwa biashara zina anza kurudi , watu wanakula angalau miilo miwili na wanfanya mabo mengine.Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?
Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg
Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Hahahahahaha huyo jamaaa yupo? Sijamsikia kitambo au Mimi ndio sipiti majukwaani
Hahahahahajahahaha Kaka taratibu mbavu zangu, kumbe mnafahamiana kabisaaaa, niliishi uziguani MIAKA hiyooooo.Kuna mahali nimepishana naye Dodoma anabebelea Zabibu ππ
Ngoja nimwite kama atasikia manake namwona kwa mbali kidogo Mzigua90
Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?
Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg
Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Na korosho zimepanda Bei kutoka 4,000/ zamani na Sasa ni 2,100/ hongera Sana Nape.Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?
Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg
Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Hapana sijawahi kuonana naye Mkuu, Ila nilimwona kwenye jukwaa fulani asubuhi πHahahahahajahahaha Kaka taratibu mbavu zangu, kumbe mnafahamiana kabisaaaa, niliishi uziguani MIAKA hiyooooo.