Nape: Sasa hivi vyuma vimelegea, Rais Samia kamwaga pesa mtaani tofauti na awamu iliyopita

Nape: Sasa hivi vyuma vimelegea, Rais Samia kamwaga pesa mtaani tofauti na awamu iliyopita

Si pesa zimemwagwa nyingi unasema nondo chakula je?? Umeounguza unga na mchele vingine vimepanda ni mpishank tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchele nilikuwa naagiza kutoka Kamsamba Debe moja shilingi 22,000 Juzi nimeagiza nimelipa shilingi 27,000 kwa Debe.

Still mfumko wa Bei ni mkubwa, nilishangaa takwimu za Juzi za Mhe. Rais kuhusu mfumko eti umeshuka sijui watendaji walipika data🙌
 
Hapo anajiongelea yeye sio wananchi....yaaani kwa kipindi cha Samia, Nape mambo yake yamekaa kwenye mstari. Wanaposema uchumi umeyumba, hawamaanisha uchumi wao.
 
Walonga Chindedi ni Kilugha gani Mkuu, na vipi maana yake? Kweli kibantu kigumu hapo nimeelewa neno Walonga tu ambayo ni "Umesema"😃🙌
Hicho Ni kizigua Kaka MKUU, walonga chindedi maana yake " Wasema UKWELI". 😅😅😅😅
 
Kumbe kuna mitaa wamemwaga pesa alafu hatushtuani!!
 
Nape ni mtu anayejua kujikomba vizuri kwa yeyote mwenye madaraka
 
Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?

Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg

Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Anamaanisha kuwa biashara zina anza kurudi , watu wanakula angalau miilo miwili na wanfanya mabo mengine.
Sasa ilobaki watanzania wawache choyo, wivu,uvivu na kuchapa kazi
 
Kuna mahali nimepishana naye Dodoma anabebelea Zabibu 😀😀

Ngoja nimwite kama atasikia manake namwona kwa mbali kidogo Mzigua90
Hahahahahajahahaha Kaka taratibu mbavu zangu, kumbe mnafahamiana kabisaaaa, niliishi uziguani MIAKA hiyooooo.
 
Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?

Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg

Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake

Kwani huyo analipa kodi? Kwani lini vyuma viliwahi kukaza kwake?

Haya si ndiyo ya kuchezana shere mchana kweupe?
 
Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?

Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg

Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Na korosho zimepanda Bei kutoka 4,000/ zamani na Sasa ni 2,100/ hongera Sana Nape.
 
Nape bure kabisa ni mchumia tumbo tu huyo, kila anayekuja yeye ni kusifu tu. Very hopeless indeed.
 
Hahahahahajahahaha Kaka taratibu mbavu zangu, kumbe mnafahamiana kabisaaaa, niliishi uziguani MIAKA hiyooooo.
Hapana sijawahi kuonana naye Mkuu, Ila nilimwona kwenye jukwaa fulani asubuhi 😀
 
Back
Top Bottom