Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

Mkuu usichanganye mambo Kati ya ukwel kuhusu raia kuporwa fedha zao na juu ya fungu la malipo ya walioporwa!! Hapa dhana yangu ni ukwel kuhusu walioporwa tu!!
 
Mkuu usichanganye mambo Kati ya ukwel kuhusu raia kuporwa fedha zao na juu ya fungu la malipo ya walioporwa!! Hapa dhana yangu ni ukwel kuhusu walioporwa tu!!
Hakuna mahali nimeuliza ukweli wa walioporwa, nilichouliza ni ukweli wa malipo yanayodaiwa kufanywa. Hiyo ndiyo habari kuu. Unaposema mambo jitahidi kuyaelewa kabla ya kuyajibu.
 
Wajati hizo fedha zinachukuliwa na maduka kufungwa zilitolewa sababu na serikali ...hizo sababu zilikuwa uongo? Serikali lazima ijue mambo yaliyokuwa yanafanyika watu waliyajua na hatua zilizochukuliwa zilinusuru uchumi wa nchi...hakuna shida yoyote kubwa inayojitokeza baada ya mabenki kufanya hii kazi ya kubadilisha fedha za kigeni na kwa kweli shilingi ya tanzania imekuwa stable kwa muda mrefu.
 
Jiwe alikuwa ni mporaji wa nguvu za watu.

Mama amekuja kuwarudishia haki zao wote waliofanyiwa huo ukatili.

Hongera sana mama yetu kwa kututoa kwenye majonzi aliyotuwachia Jiwe
 
Wastaafu wanaohangaikia mafao yao kisa waajiri hawakuwasilisha michango kikamilifu wao machozi yao yanafutwa lini?
 
Kwa wafanya biashara walioporwa fedha zao kijambazi kuwarudishia peke yake haitoshi, wanapaswa pia kulipwa fidia. Muda wote huo wangekuwa wameingiza faida kiasi gani? Walioufanya ujambazi ule wamechukuliwa hatua gani?
Kitu cha ajabu ni kwamba pesa hizo(za kigeni na shilingi za Kibongo) ziliporwa kihuni, wanajua vipi kiasi cha kila aliyeporwa au wanawakadiria tu?
 
Jiwe hatokaa asamehewe iwe kwa amani au kihama
 

Ha ha ha

"Wale Wenye mahotel ambao hotel zao zilifungwa kwa sababu ya COVID 19 machozi yao yamefutwa kupitia royal tour. Watalii wamejaa. Wale waliokuwa na magari ya kusafirisha watalii waliokuwa wamepaki Arusha na kwingineko wamefutwa machozi na Rais Samia Suluhu Hassan".

Hii statement inaharibu uhalalo wa mengine yote, Mpaka leo kuna Mahotel hayainuka. Au kufunguliwa
 
Kumbe CHAMA CHA MAPINDUZI NA SERIKALI YAO ni waporaji kiasi hiki kama sio chama kilishiriki katika uporaji huo kwa Nini kilikaa kimya wakati wananchi wake wakiporwa na hao majambazi
Na huyo unaemwita anarejesha tabasamu ni serikali inayowafurahisha hao watu au ni pesa zake binafsi Ili nami nianze pambio za kusifu

Sema tu mnabahati mnaongoza kundi la akili ndogo
 
Jiwe alikuwa mporaji na tu
 
Magufuli hakuwa kumfukuza mwekezaji! Ila yeye mwekezaji akiwa mwizi huyo sio mwekezaji ni mwizi kama wezi wengine tu. Na changamoto tuligonayo ni kuwa ao wawekezaji janja janga mara nyingi huwa wanaletwa na viongozi wetu, yaani unakuta ata Rais ni dalali wa mfanyabiashara fulani.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…