Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
- Thread starter
- #201
Mkuu usichanganye mambo Kati ya ukwel kuhusu raia kuporwa fedha zao na juu ya fungu la malipo ya walioporwa!! Hapa dhana yangu ni ukwel kuhusu walioporwa tu!!Kukosekana kwa ukweli wa anayosema ndio ubogus wenyewe. Angesema kuwa katika bajeti ya mwaka huu serikali imetenega kiasi kdhaa kufidia waliodhulumiwa angeonekana mkwelie kuliko kusema kuwa serikali imewalipa fidia kimya kimya from nowhere. Yeye siyo Waziri wa fedha, wala wizara yake haihusiki kabisa na malipo hayo.