Napendekeza Rais aliyechaguliwa akifia Madarakani, makamu wake ashikilie nafasi hiyo kwa siku 90 tu kisha uitishwe uchaguzi

we nyau kahangaike na umaskini wako, acha chuki za kipuuzi Samia ni mpango wa Mungu kuiponya nchi yetu iliyovurugwa na yule mshenzi. Katiba iko sahihi we uelewa wako ni shida pili ni chuki na hsda imekujaa.
 
we kweli kima huna akili, Sisi tunamshukuru sana mwenyenzi Mungu kutupa rais km huyu, ni mwelewa na ana akili nyingi sana. akili siyo mapumbu we fala
 
wangese mtakuja na kila topic kumhusu rais wetu mpendwa lakini hamtafanikiwa atakuwa rais wetu mpaka 2030. Subiri ushindi wa kishindo uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
 
Naunga mkona hoja ..makamu anaweza kulonga rais ili yeye achukuwe nafasi
 
we kweli kima huna akili, Sisi tunamshukuru sana mwenyenzi Mungu kutupa rais km huyu, ni mwelewa na ana akili nyingi sana. akili siyo mapumbu we fala
Samia sijui anajiskia vipi huko alipo kuwa na watetezi wa sampuli yako🫣🫣[emoji1787][emoji1787]
 
Samia sijui anajiskia vipi huko alipo kuwa na watetezi wa sampuli yako🫣🫣[emoji1787][emoji1787]
Rais Samia ameituliza nchi na ana uwezo mkubwa tu wa kutuvusha. Watanzania waliokuwa ukimbizini nje ya nchi wamerudi na wanaongea kwa uhuru. Watu wengi waliokuwa magerezani wakiwa wanasubiri makeso ya uwongo wameachiwa. Wafanyabiashara wanafanya biashara kwa uhuru wao bila tushio la kunyang'anywa fedha zao. Ajira na kupanda madaraja kunafanyika Serikalini japo ni kidogo. Tishio la WASIOJULIKANA waliokuwa wanateka na kuua hatunalo tena. Na matusi kwenye majukwaa ya hotuba za Rais yamekoma

Tuzidi kuukosoa mkataba wa bandari na DP WORLD mpaka asikie na kubadili msimamo. Bandari haijauzwa ili ina vipengere vya HOVYO


Mwisho wa yote Rais Samia ndiye kiongozi bora ambaye Mungu ametupa baada ya yule Dikteta wa Chato kuharibu nchi yetu.
 
Wenyewe huko huko CCM walishaona tatizo. Alaumiwe Mabeyo, aliyetaka utaraibu ufuatwe bila kujali ubovu ambao mhusika angeusababisha kwa taifa.
Kwa sababu Raisi ni Mzazibari sii ndio
 
hata CCM naamini kuwa wamengundua kuwa katiba ya sasa ilikuwa na mapungufu kuhusu kipengele hicho.wanajuta
 
wanaongea kwa uhuru gani wakati police wanawaita kujieleza?
 
Hili la kutawaliwa na ccm bila kikomo limeathiri ssna akili za watanzania,sijui tutajikwamua vipi.Bora hata kupe unamtoa ila hao jamaa ni makatili hasa unapotishia maslahi YAO.
 
Kuna kauli ya tulia kwamba mbeya iko salama wakati akitetea dp world,ni kauli fikirishi sana kama una free mind.
 
Nyie wenzetu hua mnaishi mitaa gani? Mbona huku kwetu mitaa haiamini kabisa unachokisema especially kwenye kutokukubalika kwa Magufuli?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Kipimo halisi cha kukubalika ni kuheshimu uchaguzi, au kwenye uchaguzi hao watu wa huko mitaani hawapigi kura? Ni sawa na kusema fulani ana akili sana, lakini ikifika siku ya mtihani anataka mitihani ya wizi.
 
Hilo ni wazo zuri sana japo kuwa siku 90 ni kama siku chache sana kiasi kwamba ile huzuni itakuwa bado haijaisha.Mimi naona mwaka mmoja unafaa zaidi maana ile huzuni ya kufiwa inakuwa imepungua na hivyo watu kupiga kura kwa furaha ili kuwaondoa warithi wa madaraka incopetent kama huyu tuliyenaye sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…