Shetani ni wewe uliyejaa unafiki kwani wameanza kuombea wafu leo? Kwanini kwanza utumie account mpya? Wewe pia ni mfu unayetembeaSasa twende kwenye mada, wafu hawaombewi, kuombea wafu ni ibada ya shetani Kwa sababu Mungu ni Mungu wa walio hai na si wa wafu, hivyo usiende kuombea wafu.
We mkund@ katawaze kwanza maana hata kujisafisha haujui .Ona hii mbuzi ilivyo paniki! Imeshindwa hata kuandika kwa ufasaha jina la wafuga majini wenzake. 😀
Katiba ya Tanzania kuna ilipoandikwa lazima kumuabudu Mungu?Katiba imetoa Uhuru kuabudu Mungu.
Na Mungu ni mmoja tu. Ieleweke hivyo.
Kuwakumbuka ni kuwakumbuka,Basi aliyekuagiza atakuwa ni mwehu kama ulivyo wewe! Huwezi kuniambia hapo ulipo huwakumbuki wapendwa wako waliofariki. Mfano marehemu babu yako, bibi yako, baba yako, mama yako na ndugu zako wengine waliofariki
Wewe utakuwa kweli shogger kama baadhi ya wadau wanavyo kutuhumu. Penyewe umetoka kwenu Zanzibar na kuhamia Tanga mjini! Utakuwa umefuata mabasha wako tu. Siyo bure.We mkund@ katawaze kwanza maana hata kujisafisha haujui .
Haya waache wafanye wanavyotaka. Na wewe endelea na mambo yako. Acha kuwapangia cha kufanya kwa sababu hawakuhusu.Kuwakumbuka ni kuwakumbuka,
Ila kuwaombea ni jambo lingine,
Na kuwaombea wafu na kutoa sadaka madhabahuni hayo ni makufuru, maana hayo ni kinyume na maandiko.
Mungu ni Mungu wa walio hai, si Mungu wa wafu.
Waliouwawa katika haki si wafu hao, ni hai, na roho zao ziko mbinguni zinamlilia Mungu alipe kisasi,na wewe unaungana nao kudai kisasi basi.
Kamwe usiombee wafu,ni abomination
Waulize wanaoombea wafu wanatumia kifungu kipi ndani ya Neno la Mungu?Shetani ni wewe uliyejaa unafiki kwani wameanza kuombea wafu leo? Kwanini kwanza utumie account mpya? Wewe pia ni mfu unayetembea
Siwaachi hata kidogo.Haya waache wafanye wanavyotaka. Na wewe endelea na mambo yako. Acha kuwapangia cha kufanya kwa sababu hawakuhusu.
Una ushahidi gani wa Mungu wao kuwa sawa na huyo Mungu wako? Unaonekana unapenda sana shari.Siwaachi hata kidogo.
Warudi kuomba Kwa usahihi maana wamemtaja Mungu anayekataza kuombea wafu,
Maana yeye ni Mungu wa walio hai, si wa wafu.
Ushahidi ni Neno la Mungu.Una ushahidi gani wa Mungu wao kuwa sawa na huyo Mungu wako? Unaonekana unapenda sana shari.
Aisee!Ushahidi ni Neno la Mungu.
Neno limekataza kuombea wafu maana Mungu ni Mungu mmoja wa walio hai si wa wafu.
Sasa kama wewe una ushahidi wa Neno unaohalalisha kuombea wafu ulete hapa.
Karibu.
Katiba hairuhusu kumwabudu shetani bali Mungu.Katiba ya Tanzania kuna ilipoandikwa lazima kumuabudu Mungu?
Kwamba imeandikwa kabisa kwa msisitizo lazima kumuabudu Mungu mmoja tu isiwape uhuru waabudu matambiko shetani etc ikithibitika wazi hawatafanya vurugu?
Kumbe nabishana na kichaa!Katiba hairuhusu kumwabudu shetani bali Mungu.
Hilo liko wazi.
Tuombe nao wauwawe baada ya kushuhudia vifo vya walio karibu nao ndani ya nyumba zao,Yale marisasi yalitengenezwa mahususi kusambaratisha kabisa mwili wa binadamu. Wengi waliohusika wataisha
Ni uhuru wa kumwabudu Mungu si shetani.Kumbe nabishana na kichaa!
Kwa hiyo kama hairuhusu kuabudu shetani then kwanini walioichapa wakaweka neno uhuru?unajua maana ya uhuru wewe?
Huwezi pangia watu kitu cha kuombea. Hayo maombi yajibu yasijibu siyo ishu yako. Waachie wenyeweHello!
Naomba nieleweke wazi kuwa, mimi binafsi nalaani vikali kitendo cha kuua watu Kwa risasi za moto Kwa sababu za kijinga kwamba unalinda mali za unaowaua,ambapo ilikuwa inawezekana kuzuia hayo yasitokee Kwa kusikiliza hoja zao na kuzifanyia kazi.
Sasa twende kwenye mada, wafu hawaombewi, kuombea wafu ni ibada ya shetani Kwa sababu Mungu ni Mungu wa walio hai na si wa wafu, hivyo usiende kuombea wafu.
Ikitokea umehudhuria ibada hiyo, badili maombi, wewe omba mwenyezi Mungu airehemu Tanzania, asikie sauti ya damu iliyomwagika bila hatia na kulipa kisasi Kwa wahusika Kwa maana imeandikwa, auaye Kwa upanga, naye atauwawa Kwa huo.
Ikumbukwe pia kuwa kanisa Hilo Lina mtandao mpana wenye matawi mengi kuliko chama tawala hivyo maombi haya yatajibiwa haraka ikiwa wataomba Kwa usahihi.
Aamen
Siwapangii, nawarudisha njia sahihi,Huwezi pangia watu kitu cha kuombea. Hayo maombi yajibu yasijibu siyo ishu yako. Waachie wenyewe
😅😅Toka hapa eti Yesu ni MunguTafsiri sahihi ya kafiri,
Ni yule anayepinga kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja katika mwili wa mwanadamu,akazaliwa,akafa na kufufuka siku ya tatu Kisha akapaa kurudi Mbinguni alikotokea.
Apingaye hayo ndiye "Kafiri"