Punguza kiherehereHello!
Naomba nieleweke wazi kuwa, mimi binafsi nalaani vikali kitendo cha kuua watu Kwa risasi za moto Kwa sababu za kijinga kwamba unalinda mali za unaowaua,ambapo ilikuwa inawezekana kuzuia hayo yasitokee Kwa kusikiliza hoja zao na kuzifanyia kazi.
Sasa twende kwenye mada, wafu hawaombewi, kuombea wafu ni ibada ya shetani Kwa sababu Mungu ni Mungu wa walio hai na si wa wafu, hivyo usiende kuombea wafu.
Ikitokea umehudhuria ibada hiyo, badili maombi, wewe omba mwenyezi Mungu airehemu Tanzania, asikie sauti ya damu iliyomwagika bila hatia na kulipa kisasi Kwa wahusika Kwa maana imeandikwa, auaye Kwa upanga, naye atauwawa Kwa huo.
Ikumbukwe pia kuwa kanisa Hilo Lina mtandao mpana wenye matawi mengi kuliko chama tawala hivyo maombi haya yatajibiwa haraka ikiwa wataomba Kwa usahihi.
Aamen
Kukataa Uungu wa Yesu ndio ukafiri wenyewe😅😅Toka hapa eti Yesu ni Mungu
Makafiri mnajijua😅😅Kukataa Uungu wa Yesu ndio ukafiri wenyewe
Zamani wakati wa mitume "makafiri walitambulika kama watu wa mataifa,au wasioamini,Makafiri mnajijua😅😅
Nikisema kafir mnajijua😅😅Zamani wakati wa mitume "makafiri walitambulika kama watu wa mataifa,au wasioamini,
Kipindi hicho uislamu haupo
Basi jikite kwenye mada ndugu "kafirNikisema kafir mnajijua😅😅
Weka kifungu acha kuongea uongo, kwani katiba inamtambua shetani?Katiba hairuhusu kumwabudu shetani bali Mungu.
Hilo liko wazi.
Hakuna Mungu wala Shetani.Hello!
Naomba nieleweke wazi kuwa, mimi binafsi nalaani vikali kitendo cha kuua watu Kwa risasi za moto Kwa sababu za kijinga kwamba unalinda mali za unaowaua,ambapo ilikuwa inawezekana kuzuia hayo yasitokee Kwa kusikiliza hoja zao na kuzifanyia kazi.
Sasa twende kwenye mada, wafu hawaombewi, kuombea wafu ni ibada ya shetani Kwa sababu Mungu ni Mungu wa walio hai na si wa wafu, hivyo usiende kuombea wafu.
Ikitokea umehudhuria ibada hiyo, badili maombi, wewe omba mwenyezi Mungu airehemu Tanzania, asikie sauti ya damu iliyomwagika bila hatia na kulipa kisasi Kwa wahusika Kwa maana imeandikwa, auaye Kwa upanga, naye atauwawa Kwa huo.
Ikumbukwe pia kuwa kanisa Hilo Lina mtandao mpana wenye matawi mengi kuliko chama tawala hivyo maombi haya yatajibiwa haraka ikiwa wataomba Kwa usahihi.
Aamen
Sijakuita!Basi jikite kwenye mada ndugu "kafir
Wametangaza wanaoombea wafu,Hakuna Mungu wala Shetani.
Ndiyo maananhata wewe huwezi kuthibigisha kuwapo kwa Mungu wala Shetani.
Yale maombi huwa yanafanywa na watu wanaoishi, kwa kujifariji wao wanaoishi, wala si kwa ajili ya waliofariki.
Sasa, ukishaelewa hilo, bado utataka kuwanyima wale wanaoishi nafasi yao ya kujifafiji katika dini yao na imani yao waliyochagua wenyewe?
Hivi kufuga majini wanakofanya waisalamu na kukemea majini wanakofanya wakristo ni upi ukafir kati ya haya matendo mawili mkuu?kumbe yule fala tpaul aje ..Kama fala yaani na nguvu zote wanazojitapa bado wanataka waislamu waingie kwenye ibada za kikafiri.
We kafiri ,uliona wapi mtu akafuga majini wakati hayo majini kila jumapili yanatolewa kanisani😅😅😅.Hivi kufuga majini wanakofanya waisalamu na kukemea majini wanakofanya wakristo ni upi ukafir kati ya haya matendo mawili mkuu?
Ni hivi, kuombea wafu ndiyo dini yao.Wametangaza wanaoombea wafu,
Hawajasema wanajifariji, usiwawekee maneno yako,
Kuhusu uwepo wa Mungu la kikatiba Hilo, Anatambulika Mungu
Linamkejeli nani wakati wanafanyia kanisani? And umekuwa utaratibu wao wa miaka namiaka kuombea wafu?Kundi linaweza kufanya kimpango wao bila ya kukejeli wengine, and vice versa
We jamaa unatoka usingizini ,bahati mbaya ukiona mgalatia mwenzio kakejeli unaoita kama unaaga maiti .Linamkejeli nani wakati wanafanyia kanisani? And umekuwa utaratibu wao wa miaka namiaka kuombea wafu?
Sasa walioua watu Oct 29,walitumwa na shetani kwamba wakiua na kumletea shetani damu, ndipo watatawala vyema,Question
What does anthropology, sociology, philosophy, psychology and science say about praying for the dead, memorial masses and such remembrance?
Answer (Meta AI)
Praying for the dead, memorial Masses, anniversaries — almost every human culture does some version of it. Here is what each field says about why we do it and what it does:
1. Anthropology
Anthropology says this is a human universal, not just Catholic.
- Rites of transition: Arnold van Gennep and Victor Turner showed death is not an instant event but a process. The living have to move the dead from "recently alive" to "ancestor" through rituals. Memorial masses are that liminal work.
- Maintaining the social fabric: In many societies (from Japanese Obon to Azande in Africa to Mexican Día de los Muertos), the dead remain social members. Praying for them reaffirms: "you still belong to us, we still belong to each other."
- Reciprocity: Marcel Mauss — we give prayers, the dead give protection/blessing. It is an exchange that keeps a relationship alive.
Anthropology does not ask if the prayer "reaches" them. It asks what it does for the community — and the answer is: it prevents the dead from being forgotten or becoming feared ghosts.
2. Sociology
- Durkheim — collective effervescence: When you gather for a memorial Mass, you are not just remembering an individual. You are rebuilding society itself. The shared ritual reminds everyone of common values: life matters, we care for each other.
- Social continuity: Memorials mark time (7 days, 40 days, 1 year). They give a socially approved schedule for grief, so people are not left alone with loss.
- Status and belonging: Announcing a Mass, putting a name in the bulletin, inviting relatives — it publicly reaffirms family identity and place in the Church/community. For immigrant communities especially, it is a way of keeping lineage visible.
Sociologists find communities that have regular memorial rituals have lower social anomie after deaths.
3. Philosophy
Three major lines:
- Metaphysical: Plato, Aquinas, and most scholastic philosophy argued if the soul survives death, it can still be affected by love and justice. Aquinas: prayer for the dead is an act of charity that presupposes communion beyond death. If you believe in purgatory/purification, intercession makes logical sense.
- Existential: Heidegger, Jankélévitch — remembrance is how we face our own being-towards-death. Remembering the dead is a practice in learning how to die. It forces us to ask: what of me will be remembered? What is worth living for?
- Analytic / Secular: Philosophers like Bertrand Russell or contemporary humanists say prayer for the dead cannot causally help the dead, but can be ethically meaningful as an expression of continuing love and commitment to the values the person stood for. It is a performative act — you make a promise about how you will live.
Philosophy divides on ontology (do the dead exist to be helped?) but agrees on meaning: remembrance is an act of fidelity.
4. Psychology
This is where the strongest evidence for benefit exists.
- Grief work: Freud (Mourning and Melancholia), then modern grief models (Worden, Klass's "continuing bonds" theory). Healthy grief is not about "letting go" and forgetting, but about finding a new continuing bond. Memorial masses give a structured, culturally sanctioned way to maintain that bond.
- Regulation of emotions: Ritual provides predictability, words to say when you have no words, a container for overwhelming feelings. Studies show ritual participation after a death reduces symptoms of complicated grief, anxiety, and PTSD.
- Meaning-making: Neimeyer's research — people who can make sense of loss and continue to feel connected to the deceased adapt better. Prayer is a meaning-making narrative: "Love does not end at death."
- For the bereaved, not the dead: Psychology does not test if the dead hear it; it tests if the living function better. Answer: yes, when the ritual is chosen, communal, and repeated — not when it is forced or used to avoid grief.
Risk: if remembrance becomes only rumination — praying obsessively out of guilt — it can maintain anxiety. The healthy form is remembrance that moves — from pain to gratitude.
5. Science / Neuroscience / Biology
- Lower cortisol and heart rate during communal ritual
- No empirical mechanism for the prayer to affect a deceased brain — once brain activity ceases, there is no receptor for it. So natural science is agnostic/skeptical about metaphysical efficacy.
- What science can measure is the effect on the living:
- Activation of reward/bonding systems (oxytocin) when remembering with others
- Synchronized brain activity in congregational singing/praying — measurable social bonding
- Evolutionary view: Remembering ancestors had survival value. Groups that honored ancestors maintained better knowledge transmission (where not to hunt, what ancestors did) and stronger cooperation.
In short:
- Anthropology: You are doing what humans have always done to keep the community whole.
- Sociology: You are rebuilding society after a tear.
- Philosophy: You are asserting that love is stronger than absence.
- Psychology: You are creating a healthy continuing bond that helps you live.
- Science: It does not prove the dead are helped, but it proves you and your community are helped — physiologically and socially — by doing it together.
That is why the Catholic Church calls a memorial Mass both suffragium (help for the dead) and solacium (comfort for the living) — two sides of the same human act.
Wewe kama nani unafundisha watu kusali ? Usiingilie imani za watu sisi tutaendelea kuombea roho za marehemu zipumzike mahala pema peponi miili yao ilitolewa uhai ila roho zao zipo na tunaziombea Muumba azipumzishe pahala pema bila kuomba hujui vita vya kiroho wewe!Waulize wanaoombea wafu wanatumia kifungu kipi ndani ya Neno la Mungu?
Sasa kama Neno la Mungu ndio katiba, na haijaelekeza Hilo,
Ndipo mimi nainuka kupingana nao,
Waombe Kwa usahihi.
Jagina adriz ..kuna kafiri huku anakataza kumswalia mfu mtume mudi boyHello!
Naomba nieleweke wazi kuwa, mimi binafsi nalaani vikali kitendo cha kuua watu Kwa risasi za moto Kwa sababu za kijinga kwamba unalinda mali za unaowaua,ambapo ilikuwa inawezekana kuzuia hayo yasitokee Kwa kusikiliza hoja zao na kuzifanyia kazi.
Sasa twende kwenye mada, wafu hawaombewi, kuombea wafu ni ibada ya shetani Kwa sababu Mungu ni Mungu wa walio hai na si wa wafu, hivyo usiende kuombea wafu.
Ikitokea umehudhuria ibada hiyo, badili maombi, wewe omba mwenyezi Mungu airehemu Tanzania, asikie sauti ya damu iliyomwagika bila hatia na kulipa kisasi Kwa wahusika Kwa maana imeandikwa, auaye Kwa upanga, naye atauwawa Kwa huo.
Ikumbukwe pia kuwa kanisa Hilo Lina mtandao mpana wenye matawi mengi kuliko chama tawala hivyo maombi haya yatajibiwa haraka ikiwa wataomba Kwa usahihi.
Aamen