Tuko naye woteUmeandika vema kaka na hayo unayosema almost yote yalinikuta jambo la kwanza push sanaa umfanye akuamini wewe kuliko kuamini hao ndugu zake hasa wale wachonganishi mimi pia wife alilelewa na ndugu hana wazazi wewe ndo unatakiwa uwe muhimili mkuu japo distance yenu itakuwa anadisturb mipango vip unaweza kumchukua kwenda naye huko nchi nyingine hata wiki au mwez? If possible kaanaye huko muongee vizur.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁Kama wewe ulivyochanganyikiwaga... hahaha siku hizi umekua...
Ukanifahamisha kwamba unaenda kuniroga...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁
Weee ni mwehu ujue 😂!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁Ukanifahamisha kwamba unaenda kuniroga...
Hajawahi kukopa hata deni la kukopa vocha tu hajuiwi kila kitu anapataAngalia asije akawa na madeni vikoba au kausha damu.
Niokoe...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁
Aliekuroga weeeee keshakufaa kupona tena sijuiii
Wasaidieni wake zenu kulipa marejesho ya vicoba nyie yaani tunachanganyikiwa kweli mtatupoteza😅Pole sana mkuu sijui wakwangu nae ameanza kuchanganyikiwa mnaweza kukaa hivi anaanza kununa na kusema nisimfanye mjinga amenisikia vizuri kuwa namsema 😂
Tunakopa kimya kimya hadi mkija kujua tushakuwa vichaa tunaokota makopo. Chukua hatuaHajawahi kukopa hata deni la kukopa vocha tu hajuiwi kila kitu anapata
Pole ndugu.Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.
Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Weee cha kukuokoa ni maombi tu😁😁😁Niokoe...
Mkuu kwanini umesema anachanganyikiwa? Kwenye uzi wako hujaonesha kama ana dalili za kuchanganyikiwa. Kukutuhumu umalaya, kumtuhumu kila mtu mchawi, kudai talaka, kuanzisha timbwili pasi na kujali mpo wapi hizo sio dalili za kuchanganyikiwa, unless useme viashiria vingine. Hivyo viashiria mbona wanawake wengi sana wanavyo mkuu? Mkuu kwa ulivyovisema, mkeo ni mzima ila tu anataka talaka, labda useme kiashiria kingine sio hivyo ulivyovitaja.Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.
Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Yawe maombi serious hakuna kuniringia ringia wala kunirembulia...Weee cha kukuokoa ni maombi tu😁😁😁
Will do that for you☺️
😁😁😁😁😁😁😁Wawe maombi serious hakuna kuniringia ringia wala kunirembulia...
Kwa dalili alizozitaja mtoa mada, mkewe ni mzima wal hajaanza kuchanganyikiwa. Labda kuna dalili zingine ambazo hajazisema hapa. Na kama ni kweli anachanganyikiwa, kama mume haipaswi kumrudisha kwao. Hilo ni tatizo lao wote, anatakiwa awe nae kuhakikisha anapona.Kama nakuona namna unavyoisha mwili....Bora kununa kuliko kelele....yaan ni hatari kwa afya.
Huyo mrudishe home kwao atibiwe au msihi aache kwenda kwa waganga
Kama ni mzima basi akomae nae,huenda yeye ndiyo sababu ya mkewe kuwa hivyoKwa dalili alizozitaja mtoa mada, mkewe ni mzima wal hajaanza kuchanganyikiwa. Labda kuna dalili zingine ambazo hajazisema hapa. Na kama ni kweli anachanganyikiwa, kama mume haipaswi kumrudisha kwao. Hilo ni tatizo lao wote, anatakiwa awe nae kuhakikisha anapona.
Yani uchawi wa aunt yako ndo unaona wapo nao wanawake wengine wote?Most of them Ndumba tu wanaroga sana so they reap their bad karma
I speak from experience , becouse I have my Aunt , she is going through the same situation
So dawa ni deliverance tu hapo
Kwa dalili alilozisema, natamani kumwambia mtoa uzi kuwa huenda yeye ndio anachanganyikiwa kwa kuto kujua tabia za wanawake. Kama hizo ni dalili za mwanamke kuchanganyikiwa, basi kuna watu wengi sana wameoa machizi na wanaishi nao. Wanawake wa dunia ya leo anaweza kurupua jambo hadi ukamshangaa, hili nalo limetoka wapiKama ni mzima basi akomae nae,huenda yeye ndiyo sababu ya mkewe kuwa hivyo