Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Abadirishiwe kituo Cha kazi aende wapi? Huyo jamaa afukuzwe kabisa kwenye ofisi za umma.Nakubaliana nawe kuwa Bw. Makonda abadilishiwe kituo cha kazi ila pia nakupa kazi udadisi kiini cha ugomvi wa Makonda na Gambo naamini utapata taswira mpya kichwani mwako.
Kama washauri wake wana busara J2 hii mwisho Makondakta Arusha....ila kama washauri machawa watamshauri awaache waparurane mwisho watarushiana ulosiii....mudautasema yooteJoto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m
Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana
! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia !
Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu ya mbunge na mbunge anaona yeye Yuko juu ya mkuu wa mkoa ! Makonda kateuliwa na rais gambo kateuliwa na wananchi !! Nani anastahili ?
Mafahari Hawa mmoja aondoke tumwache aliyeteuliwa na wananchi afanye kazi zake !Kuna mazingira pia ya kukwamishana na kutaka kuonyesha Mimi ni zaidi ushauri wangu makonda aende mkoa mwingine kama anataka ubunge asubiri muda ukifikaam
Atampoteza.sema naye Gambo si habaMakonda alivyo mtu wa visasi lazima naye amfanyie umafia
Ndugulile alikuwa smart kichwani kiasi cha kumkazia jiwe kipindi cha COVID 19 akipingana kitaalam na utaratibu wa kujifukiza. Jiwe alimtumbua lakini baadaye 2020 pamoja na kuulawiti ule uchaguzi kuanzia ndani ya chama hadi uchaguzi mkuu wenyewe bado alimwacha Ndugulile.Gambo pia alikuwa akifanya hikihiki enzi za ubunge wa Lema.
Kwa nini Makonda hakumfanyia hivi Ndugulile ilhali alilihitaji jimbo la Kigamboni akiwa RC Dar?
🤣🤣🤣Hao wote ni wahuni. Makonda ni mhuni na kibaka, Gambo nae ni mhuni na kibaka. Ni vibaka toka enzi na enzi.
Aende tu songwe hukoNinasapoti wazo lako. RC Makonda ataleta sana uhasama pale Arusha. Analeta mgawaqnyiko mkubwa sana pale Arusha. Tatizo lake anataka yeye ndiyo aonekane wa maana kuliko yeyote pale Mkoani. Utawala hauendi hivyo. Utawala unataka timu moja kwa maendeleo, malengo ya pamoja. Mhe. Rais ni vema huyu RC akatafutiwa kituo kingine.
Haondoki Arusha, zipigwe tu, Gambo anajifanya mjuajiJoto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m