Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

Ajali haina kinga.

Unaweza ukafa hata ndotoni.

Unaota umefumania mke, unapata heart attack ndotoni unajifia zako kimyakimya๐Ÿ˜‚
 
Kabisaaa Kiongozi.. Hata Allys imepata ajali Saa Kumi na Moja Hiyo Siyo Usiku.. SAFARI za Usiku safiii sana
 
Lakini umesema inasemekana which means yr not sure!
Sikuwepo lakini aliyekuwepo sehemu ile ndio aliyepost comment yake akiitaja na ile basi iliyokuwa mbele ya Allyโ€™s !!
Sehemu ilipotokea ajali ni tambarare na barabara imenyooka hakuna kona wala hakuna mlima !!
Unaweza kujiuliza ni vipi huyo dereva wa Allyโ€™s hakukiona hicho kichwa cha Treni kinakuja kukatiza barabarani ??
Jibu la rahisi ni moja tu dereva alikuwa busy akiitazama ile basi iliyokuwa mbele yake ndio maana akasahau kuwa amefika kwenye railwayโ€™s crossing !!
 
Daa aisee hebu fikiria wanashindana na abiria wamekaa kimya tu
Wengine huwa wanashangilia
Sasa hapo kwanini wanaita ajali?
Hiyo ni makusudi kabisa na dereva wote kama huyo yuko hai wangekuwa wanafungiliwa kesi za mauwaji na kula jela maisha
Kuna watu wana bet kwenye roho za watu
 
Kwa hiyo Ili kudhibiti vifo yapaswa kushughulikia uzembe na si safari za usiku, tupo pamoja bro.[emoji38]
Kama inawezekana kufuatiliwa nyendo zao madereva usiku inawezekana ajali zisitokee. !
Wasiwasi wangu ni kwamba imeshindikana kuwadhibiti madereva wasiendeshe mabasi zaidi ya 80 kph.
Hapo ndipo ilipo shida !!
 
Dereva amefariki on the spot!
 
Nchi zote za Africa Mashariki na Kusini mwa.Afrika mabus yanatembea usiku na mchana yameanza tu watu wanataka turudi kutembea mchana tu.Mabus kutembea masaa 24 yanafanya uchumi wa nchi ufunguke zaidi kwa mtu mmoja.mmoja na taifa kwa jumla.Kikubwa Madereva wazingatie sheria za usalama barabarani.Mabus yapo mengi panda lenye usalama na ukiona dereva ayupo vizuri toa tarifa kwenye vizuizi vya police.
 
Duh ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™„ unatembea kaka angu
 
Anajua service ni kama kuosha gari likipata tope
 
Kuruhusu basi zitembee masaa 24 kiukweli ni hatari sana hasa majira ya usiku.

Oya we wahuni wa mabasi usiku wanamwaga moto siyo poa wale jamaa niliwahi kuzishuhudia gari za mwanza Dar hasa zikiwa zinaenda mwanza majira ya usiku bus inapita kasi hata jina la ubavuni huwezi kulisoma, kweye kuovertake anaweza kukaa kulia na akazikata hata gari 10 bila tahadhari, alafu huwa hawarudi kushoto wanatembea na mstari wa kati
 
Aiseee๐Ÿ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ