Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
Mwambie Huyo.. Sasa Hivi tunasafiri any time.Mama onyeeerrrAcha ujinga na wewe kama hutaki kusafiri wewe acha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie Huyo.. Sasa Hivi tunasafiri any time.Mama onyeeerrrAcha ujinga na wewe kama hutaki kusafiri wewe acha
Kabisaaa Kiongozi.. Hata Allys imepata ajali Saa Kumi na Moja Hiyo Siyo Usiku.. SAFARI za Usiku safiii sanaLindi huko kuna basi imeondoka na watu 14 na haikuwa usiku,
Mimi bado naona tunakwamisha maendeleo kuzuia usafiri wa usiku wakati wenzetu wanakuwa na ajira mbili kwa wakati mmoja na wanafanya kazi hadi masaa 18.
MImi nimemaliza shughulinzangu dar saa 12 jioni unanizuia nisiende dodoma usiku naishia kulala na badala ambayo asubuhi ningekuwa dodoma nafanya issue nyingine naishia kuwa barabarani.
Nia sahihi ni kuboresha ufuatiliaji kama vile madereva wazembe na kuweka checkpoint n.k
Sikuwepo lakini aliyekuwepo sehemu ile ndio aliyepost comment yake akiitaja na ile basi iliyokuwa mbele ya Ally’s !!Lakini umesema inasemekana which means yr not sure!
Daa aisee hebu fikiria wanashindana na abiria wamekaa kimya tuInasemekana mabasi mawili yalikuwa yanafukuzana mpaka hapo kwenye njia ya Treni yule aliyekuwa mbele kidogo aliwahi kupita huyu wa Ally’s akachelewa kidogo ndio akakutana na hiyo dhahama !!
Jiulize ipo haja gani ya kufukuzana ilihali wote wamejaza abiria ??!!
Kama inawezekana kufuatiliwa nyendo zao madereva usiku inawezekana ajali zisitokee. !Kwa hiyo Ili kudhibiti vifo yapaswa kushughulikia uzembe na si safari za usiku, tupo pamoja bro.[emoji38]
Dereva amefariki on the spot!Daa aisee hebu fikiria wanashindana na abiria wamekaa kimya tu
Wengine huwa wanashangilia
Sasa hapo kwanini wanaita ajali?
Hiyo ni makusudi kabisa na dereva wote kama huyo yuko hai wangekuwa wanafungiliwa kesi za mauwaji na kula jela maisha
Kuna watu wana bet kwenye roho za watu
Kweli kabisa !😅Sio madereva TU mkuu, Hilo tatizo lipo hata kwa Abiria wengi
Watu zaidi ya 10 wamefarikiBasi la ALLYS limepata ajali hapo Manyoni alfajiri ya leo. Limeigonga Treni.
Safari zake aanze saa moja asubui kabisa kukiwa na mwanga aone kila kitu.Kama unaogopa mkeka wa usiku ipo mikeka ya asubuhi na mchana ishi nayo
Hakika mkuuSafari zake aanze saa moja asubui kabisa kukiwa na mwanga aone kila kitu.
Hakika.Huwezi amini usiku abiria ni wengi sana
Duh 🙌🙄 unatembea kaka anguTATIZO KUBWA ZAIDI Dereva kuendesha gari zaidi ya 1,000km peke yake.
Hii ni hatari kubwa.
Last week nimetoka mpanda na bus la AN CLASSIC, saa 12 kamili asubuhi hadi Dar saa 8 usiku, aliendesha Dereva mmoja, umbali wa km 1,188, hii ni hatari kubwa mnoo
Anajua service ni kama kuosha gari likipata topeGari lingekua lako ungefanya service ukifika dar na ukifika moro unafanya ungeweza. Mbona unaongea vitu vya ajabu sana.
Gari hizo zina ratba yake ya service sio kila siku. Unadhani service ni kuweka mafuta.
Unajua ifike mahali wana jf kama hujui uliza.. Gari hujawahi miliki unaanza leta stry za service every return day. Daah
Shida tu dadangu, lkn sikufikii weweDuh 🙌🙄 unatembea kaka angu
Itakuwa mkuuHakika.
Naona hata huku wilayani, mabasi yayoanza safari usiku yanapata Abiria wengi. Yanajaza.
Aiseee🙌Mleta mada upo sahihi safari za usiku Zinaleta adhari nyingi kuliko mchana Hata hizo ajali za alfajiri au mchana ni sababu ya kusafiri usiku .
Dereva hapumziki vya kutosha usiku na unakuta kampuni nyingine wabahili kuweka madereva Wawili .
Mfano hai nilisafiri na Dar Lux mwanza - Dar kidogo tupate ajali dereva ametoka Dar Mpaka mwanza akageuza kurudi Dar akachoka akampatia gari rafiki yake asiyejua njia matokeo tukaparamia tuta wakati mvua inanyesha na huko njiani tulikosakosa malori mengi yapo full mzuka na mataa full Kama Treni .