Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

Asante kwa ushauri wako mkuu
 
Sasa kuna vitu huwa vinanikosesha amani mno, kwanza huyu mwenzangu unaweza ukaongea tu kitu cha tofauti kinaweza kuwa kidogo tu lakini atakishikilia na kukufanya ujione umekosea sana, hapo utaanza kuomba na misamaha ya kutosha. Lakini yeye ikitokea amekosea atalipindisha hilo kosa hadi lisionekane kama ni kosa.
Run
 
Tatizo washauri hamuendi direct sasa hapa mimi nishavurugwaa hata sielewii nini nifanya 🥹

Useful person- MTU wa manufaa ambaye unakuwa nae kwa ajili ya jambo Fulani Ila ikitokea hayupo unaweza kutafuta mbadala wake

Important person - MTU wa muhimu ambaye unamuhitaji kila wakati .

Unapokuwa na MTU unaweza kuwa useful au ukawa important

Endapo ukiwa important he will never leave you

Ila ukiwa useful he can leave you anytime.

Mfano Jay z alipokutana na Beyonce aligundua Beyonce she is very talented , she is very smart

So Jay z alijua kuwa if I can dump her I dump money , I dump wife materials , I dump the mother of my kids .

So make sure in life unakuwa important person hakuna MTU atakuacha Ila utaacha everyday make sure you have something special to put on the table.
 
Hahaha na wote huwa unawapea tamu🤣🤣🤣
Hapana sio wote mama tangia mwanaume wangu wa ukweli akufe nimekuwa na wawili tu na ndio hao huyu mwenye ananichunia tulikutana last year na niliemfumaniaga pia last year 🥹🥹🥹
 
Asante mkuu
 
Daah au kwasababu napost memez😂😂😂
 
Hakuna atakayejinyima kumuoa huyo msichana tena maana kashazalishwa, kwa mtazamo wangu.
Nadhani haukunielewa vizuri kuhusu mifano yangu.

Haukujibu kuhusu mfano wa kwanza, ukachagua mfano wa pili ni sawa kwa namna ambavyo niliweka vigezo.

Lakini sasa, katika mfano wa swali la pili, hao ni vijana watatu tofauti na hao wachumba ni wasichana watatu tofauti, ila mmoja pekee kati ya hao ndiye kazalishwa.

Wale wawili waliobakia, mmoja anaishi na mchumba wake, wakichunguzana kwanza tabia na kukamilisha malengo yao flani ndiyo waje kuoana, hawa hawajazaa.

Yule wa kwanza hajazaa pia, kachumbiwa tu na hawajawahi kufanya mapenzi wala kuanza kuchunguzana tabia, mchumba kapangiwa mahari, kakimbia kutafuta ili aje kutoa aoe.

Ndo nikauliza, yupi katiya hao atakayekuwa na 'muhu' wa kuoa haraka na hata kupekekea kulala njaa ili mradi kutimiza dhamira yake?
 
Aaah mbona ni hatari ivooo,, jitahidi kuogea maji ya chumvi ya mawe kupunguza nuksi hizo sasa😂😂😂😂
😂😂😂 hakuna cha nuksi wala nini
Tangu nijue kuwa kuna watu wanapitia zaidi yangu nachukuliaga tu ni maisha
 
Hapana sio wote mama tangia mwanaume wangu wa ukweli akufe nimekuwa na wawili tu na ndio hao huyu mwenye ananichunia tulikutana last year na niliemfumaniaga pia last year 🥹🥹🥹
Aaaah we mama wewe mbona unapitia msoto ivo,pole kwa kuondokewa na uliyempenda, maana maumivu yako hayabebeki
 
Hakika Mkuu vijana wa sasa teknolojia imeharibu mambo .

They believe love is about call and sms
Kwanza MAHUSIANO sio utumwa ni nyongeza ya furaha,mhusika hata akiwa kilema nenda nae hivyo hivyo,mambo ya kuwekeana wigo ni low key,kwanza kabla ya kelele jiulize jinsi single mother na father wanavyopambana kuweka mambo sawa,hata kitu cha ajabu kibadirishe kiwe positive ilimradi uwe comfortable.Usiishi Kama uko visiwani,jitahidi kupambania fursa na furaha, we live once.
 
Kumbe nyumbu flani tu, OKTOBA TUNATIKI SAMIA
 
Aaaah we mama wewe mbona unapitia msoto ivo,pole kwa kuondokewa na uliyempenda, maana maumivu yako hayabebeki
Na kila napoukizwa lazima nimkumbuke aisee inaumiza sana
 
😂😂😂 hakuna cha nuksi wala nini
Tangu nijue kuwa kuna watu wanapitia zaidi yangu nachukuliaga tu ni maisha
🤣🤣🤣Kama yule aloleta eti anadate na mwanaume ambaye alikotoka alikua anatoka hadi na mkwe wake,,,ila ikizid panaumaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…