Mama double 2
Member
- Jun 27, 2025
- 11
- 12
Ila kikubwa mapenzi ni mawasiliano na maelewano usipomtafuta lazma akutafute ila ukimute na yy anamute aah ukinuna ubembelezwi unanuniwa zaidi,usiendelee kuwa mtumwa wa mapenzi hali ya kuwa ni ngumu kukubali ukweli ila ikibidi pita hviiushauri wako muhimu mkuu kumuepusha na depression
Najikuta lakusema sina ila hakunaga mapenzi ya hivo aangalie tu namna ingine ikibidi
Kwa wanawake wa kiswahili most of them mna -chase ndoa ili mpate life security kulipwa bills zenu Kama Chakula. Mavazi , n.kKupata ndoa siyo kufanikiwa unaweza kuipata na ukanyanyasika humo ndani, kama mapicha picha yanaanza mapema hivi huko ndani itakuwaje, hapana sitaweza kuvumilia manyanyaso
Sawa labda hatuzijui mbinu ndio utuambie hapaLazima u-Apply mbinu mbali mbali ili kufanikisha lengo Fulani.
Jifunzeni kwa zuchu
Single father wengi wanacheza na hisia za Kuku wa kienyeji kwakuwa Kuku wa kienyeji wao huwa hawafikirii maisha zaidi ya kuomba ombaYaani story yako kama yangu na hii hali naichukia sana kwanini napata single father tu sipatagi fresh na nikipata fresh anakuwa kibentenii na mimi siwatakii
Mpk imefaya ni relate Hii issue nikiwa Advance tulikuwa tunapiga story nikasema sitokuja kuolewa na mwanaume mwenye mtoto kuna roommate akadakia akasema tena wewe utakuwa mama wa kambo tena wa watoto wawili 😭😭
Nahisi kama aliniroga yule binti jamani seriously sijawahi kupata mahusiano strong kwa vijana fresh napataga kwa hawa single faza sema nao wazinguajii 😃
Pole sana mimi sitaweza kuvumilia kabisayani hapo wa kuamua niwewe ndugu angu,kukaza au kulegeza,nimevumilia yote hayo unayopitia hadi sasa sielewi nikae upande gani
Wewe nishauri tu mkuu nipe na sababuHaya mambo ya mahusiano huwa hayashauriki, lasivyo ningekwambia achana na huyo mshamba atakutesa huko mbeleni.
Yaani unataka mpaka akuche yeye tena? Kwani wew hauwezi kujiongeza mkubwa?Mkuu tupo mbali mbali inaweza ikapita hata 3. Months hatujaonana kwanini anifanyie hivyo si aniache tu pengine naweza kupata mtu sahihi
Mkuu unajua watu wamekariri mbinu moja ya kupata jambo .Sawa labda hatuzijui mbinu ndio utuambie hapa
Ila Zuchu wapo karibu na Diamond tofauti na sisi..
na ukisema tuwe karibu maana ake tuache kazi tuwafate mikoa yao walipo kitu ambacho hakiwezekani of
Aisee sio kweliSingle father wengi wanacheza na hisia za Kuku wa kienyeji kwakuwa Kuku wa kienyeji wao huwa hawafikirii maisha zaidi ya kuomba omba
Pole sana Mama Ndege hapo hakuna upendo wala nini yaani huyo Jamaa atakuharibia tu future yako na inaonekana wewe ndio unayejitoa sana kwake na umempenda kupitiliza na ndio maana unaumia.NRNE
Habari za muda mrefu wana jukwaa, mimi msichana, niko kwenye mahusiano na mwanaume amenizidi miaka 15, yeye ana mtoto mmoja mimi sina.
Mimi nipo Dar, yeye yupo mkoani, tulipoanza mahusiano nilijua kwakuwa ni mtu mzima pengine, tutaenda sawa kwani na mimi huwa sipendi mambo ya hovyo. Lakini pia nilijua anaweza kuwa amechoka kukaa mwenyewe hivyo atanioa haraka tu (lakini hii haikuwa dhamira yangu kubwa)
Sasa kuna vitu huwa vinanikosesha amani mno, kwanza huyu mwenzangu unaweza ukaongea tu kitu cha tofauti kinaweza kuwa kidogo tu lakini atakishikilia na kukufanya ujione umekosea sana, hapo utaanza kuomba na misamaha ya kutosha. Lakini yeye ikitokea amekosea atalipindisha hilo kosa hadi lisionekane kama ni kosa.
Kama wiki kadhaa zimepita aliniambia ameenda kwao kusalimia, wakati yupo njiani tulikuwa tunawasiliana hadi anafika, sasa kama siku mbili mbele akaniambia ile siku ameenda alimpitia na mtoto wake ameenda naye, nikamuuliza mbona hukuniambia, akaniambia mambo mengi alipitiwa mh! Nikashangaa.
Wakati yupo huko huko akanipigia akaniambia yupo maeneo ya stendi, sasa sikusikia vizuri kumbe alisema kuna mzigo ameufuata nikamuuliza tena umesema umefata mzigo, akanijibu " hivi maswali yako unayoulizaga huwa unafikiriaga kweli" guys hii kauli iliniuma yaani ameniona mimi sina akili, nikamwambia haya baadae, nikakata simu nikatafakari kama siku tatu nikampigia maana na yeye alinikaushia, hakupokea simu, ila huku status whatsapp anapost, hizi si ni dharau jamani. Na yeye kakaa kama siku mbili tatu hivi akanitumia msg whatsapp " habari yako" na mimi sikuijibu ile siku nijibu "salama" after two days, akajibu kwa kureact akakausha, leo naona kanicheki normal, mimi nikampigia hajapokea.
Nashindwa kuelewa ni upendo gani huo wa kumkasirikia mpenzi wako, kwa vitu vidogo vidogo ambavyo mnaweza kueleweshana tu, wakati mwingine unaweza kukuta usiku ikatokea mmegombana hivi ukimpigia ili muongee muyamalize hapokei kabisa ila msg anajibu anasema hajisikii kuongea, hatakagi suluhisho, sasa najiuliza kama huku mwanzoni yupo hivi je ikitokea tukaingia kwenye ndoa huko si ndo atakuwa akikasirika na matumizi anasusa kutoa kabisa🤕
I'm not perfect, hata mimi nina madhaifu na mapungufu yangu, lakini huwa nina amini kwenye kurekebishana ila mwenzangu naona hilo swala hataki kabisa, niliplay part yangu vya kutosha kujishusha nimejishusha sana misamaha nimeomba mingi mno ila kwa sasa moyo umechoka kuvumilia haya mambo, maisha yanipe stress bado na mapenzi tena yanipe stress si nitajifia na presha.
Naombeni ushauri wenu, wakubwa zangu.
wahi mapema yasifikie yalofikia kwanguPole sana mimi sitaweza kuvumilia kabisa
Hata mimi nataka nifanye hivyo akinitafuta niwe najibu tu normal, na hivi tuko mbali huku mimi naangalia zangu ustaarabu mwingine yeye aendelee kununaMimi nishamua kuacha kama ilivyo akinitafuta nita respond ila sitokaa nimtafute mwisho wa siku nionekane desperate
Nimebakiza 4 years nifike 30 naamini ndani ya hiyo miaka nitapata wangu tu 🙄🙄
Hivi mfano unakutana na mtu nyie mnawasilianaga WhatsApp tu Hakuna normal calls wala sms ina maana usipokuwa na bando ndio hamuongei hivyo ukimuuliza why so anakwambia I hate callsMkuu unajua watu wamekariri mbinu moja ya kupata jambo .
Mfumo wa kukabia juu kwa juu ndo mfumo bora wa kupata ndoa .
Kwakuwa people do change ukiachana na MTU kwakuwa hapokei simu au hajibu sms je utaachana na watu wangapi .