Nitaaminije bila kuja na vipengele vya hiyo katiba, vifungu ambavyo vinaonyesha eti sipika naye amewekewa zuwio la kushitakiwa akivunja katiba pindi awapo kwenye kiti
Mkuu una taarifa zozote kuhusu haya kuwa yalisha pitishwa?
Sababu ya muswada wa kumkinga rais na mashtaka ya kikatiba kukosolewa Tanzania - BBC News Swahili
Bunge la Tanzania limepitisha muswada wa mabadiliko mbalimbali ya sheria ikiwemo kuwapa kinga viongozi wakuu akiwemo rais kushtakiwa kwa madai ya kuvunja katiba na sheria.
Hudhani labda ungeanzia level hizi kuweza kupata japo picha kwanza ya hali iko vipi?
Au nasema uongo ndugu yangu?