Nasikitika kusema kwamba, Katiba Mpya tunayoitafuta kwa nguvu nyingi haiwezi kutusaidia

Huwa najiuliza kwa nini CCM wawaone vyama vingine kuwa na uchu wa madaraka ilhali wenyewe hawako tayari kuyaachia hayo madaraka? Linapokuja suala la uongozi, tuongee kwa nafsi zetu, Viceversa ni unafiki mtupu.
Mwanachamaless
Mkuu, Katiba tukianza kuiona ni kama hitaji la chama, ndiyo vitu hivi vinajitokeza

CCM watasema wanaohitaji katiba siyo wananchi kwa ujumla bali ni wanasiasa, kitendo ambacho kutoaminiana lazima kiwepo

Lakini suala la Katiba likivaa sura ya Kitaifa, nakwambia mh SHS hatakuwa na nguvu ya kulizuia
 
Kutoaminiana kwa lipi wkt sote ni nchi moja? Katiba Bora ni mfumo imara utakaomuongoza yeyote atakepata ridhaa ya wananchi.
Mifano tunayo, angalia Afrika ya Kusini wanavyoiishi katiba yao, hata Malawi tuu hapo.
Tatizo wanasiasa wanatufanya Mazombie kwa maslahi yao binafsi
 
Nadhani hapa, kinachofanya katiba yetu iwe ngumu kupatikana, ni pale inapoonekana inadaiwa na wanasiasa badala ya wanaharakati huru wasioegemea chama chochote

Siasa zetu zimechafuka mno mkuu, Kwa tulipofikia, Ni rahisi kwa jambo mhimu kama hili, CCM na vyama vingine visivyoamini katika Chadema, basi ni rahisi kuona hilo ni jambo la chadema kama ambavyo Chadema hupuuza kila kilichojema kinachoanzishwa na CCM

Kupatikana kwa katiba hii tunayoihitaji sana, ni aidher, Chadema wanyamaze, kuzaliwe makundi mengine kabisa yasiyoshabihiana na chadema wala CCM, naamini ni rahisi kusikilizwa
 
We mwenyewe elimu huna ndio maana huwezi kujua umuhimu wa katiba.
 
We mwenyewe elimu huna ndio maana huwezi kujua umuhimu wa katiba.
Ndio hapo tunapofeli kuwa na katiba yetu, Tunataka hata hao wasiokuwa na elimu wajue umhimu wa kuwa na katiba inayogusa maisha yao na wajue kwamba wanawajibu wa kuipigania na kuitetea

Katiba inshitaji makundi yote na siyo mashabiki wa Chadema wala nani
 
Uzuri ni kwamba, Chdma wanapasha kiporo kilichopikwa na Ccm, na wengi hatuna vyama ila tunaona Kuna umuhimu wa Katiba kwa sasa.
 
naona nyote ni wavuta bangi tu ivi ndio hamuelewe au ndio bangi zimekolea wee kijana wacha ujinga ikiwepo katiba yenye mashiko Mahkama itakuwa huru majaji watapata kazi zao za ujaji kwa merit sio kwa ajili ya kuisaidia CCM wewe chukuwa mfano wa wanaoshikwa halafu wanawekwa jela miaka 20 eti upepelesi haujakamilika engekuwa kweli kuna katiba ya maana sio hii ya kipuuzi majaji wengekuwa wanajiamini kwasababu kazi hawakupewa na ccm wengemwambia jamuhuri nakupa miezi mitatu ukamilishe upepelezi vyenginevyo ukija tena na upuuzi wako eti upelelzi haujakamilika nakupiganayo ya uso kesi yako usinipotezee time yangu vipi kwanza unamshika mtu wakati huna ushahidi.
 
Katiba inamsaidia nini mwanachi ambaye anahangaika kutafuta mlo mmoja kwa siku!?
itamsaidia sana kama itakuwa ni katiba ya maana sasa hivi mwnanchi anaishi kama mtumwa tu sio kama mwananchi mali yako mwenyewe inakantroliwa na serikali hata mbuzi wngu mwenyewe huwezi kuuza kama hujailipa serikali
 
Huna sifa ya kuwa mwl, Mbona ni mkali kiasi hiki wakati unahoja ya msingi tu kabisa boss
 
Nikikuuliza wewe hio katiba iliyopo inakusaidia nini so far? Unaweza kunijibu kwa ufasaha labda! Inakunufaisha in what ways mpaka utake nyingine as if you have stakes on it!?
sasa hivi ukiisema CCM police anaweza kukuweka ndani na hakuna mtu wakukutetea ukiisema ccm huwezi kufanya biashara yoyote ikafanikiwa mpaka usifu ccm
 
Mwelevu maana yake nini wewe kisimi? sasa mtu hata kuandika hujui unataka kubishana na mimi, kiufupi una akili ya kukuwezesha kunya tuu, am done with you ***** sana.
 
Mkuu umeambiwa kuwa katiba iliyopo hairuhusu Rais kushitakiwa popote wala kuwekwa mtu kati.
Hata Draft ya Warioba si tuu kwamba ilitoa Kinga kwa Rais akiwa madarakani na baada ya kuacha madaraka kwa hiyo ishu sio Rais kushitakiwa.
 
Hivi nikisema kwamba draft ya Warioba ilikataliwa na wajumbe utabisha? Kazi ya Bunge la Katiba ni kusema ndioooo au kujadili na Kisha kuamua? Kiufupi draft ilikataliwa na wajumbe ndio maana ikawekwa pembeni
 
Unafortunately Draft ya Warioba ilitoa Kinga kwa Rais kama kawaida.Pili Ili mambo yafanyike ni lazima commitment yako na si vinginevyo
 
Kwa hiyo inatakiwa Katiba itakayohama kunufaisha ccm ianze kunufaisha chadema?πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Acheni upumbavu
 
Hivi nikisema kwamba draft ya Warioba ilikataliwa na wajumbe utabisha? Kazi ya Bunge la Katiba ni kusema ndioooo au kujadili na Kisha kuamua? Kiufupi draft ilikataliwa na wajumbe ndio maana ikawekwa pembeni
Kuna watu wapinga demokrasia,hawataki kukubali ukweli huu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…