Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

Hakuna cha vita wala nini
Kuna Gulf of Oman hapo ujue na ndio meli zote za mafuta na gesi zinapita
Dunia nzima inategemea hapo Strait of Hormuz sasa hizo ndoto wenzio wanajua ni ngumu kutokea
Hapo panachungwa kama mboni ya jicho baba
 
Waajemi hawatishiwi nyau, wamesomq ilmu ahera Hadi wakabobea, ukiwaua ni kama umewawahisha tu kwa wale 72
Roho ina kuuma na kuku kereketa, choyo imekujaa dhidi ya uislamu,
Ila najua yote ni kwa sababu uislamu ni dini ya kweli, na ndio maana Allah katupa ruhusa ya kuoa wanawake wa nne, na tukifa t u unapewa hao 72 sasa wewe unaona wivu tu na roho mbaya
 
Eti natabiri .... Vitu vimejianika ndio unatoka Shimoni Kama kenge wa Pakistan ktuletea Sanaa.
 
Umeongea kidini ya kikristo umewakilisha waimba kwaya wenzako
 

Attachments

  • A67E204F-C54B-4958-A401-F30792E9B5A6.jpeg
    973.3 KB · Views: 2
Kama wangekuwa ni taifa la Mungu wala wasinge hangaika mwaka mzima sasa kupambana kutoka jasho na wana mgambo mia mbili wa palestine wacheni kumuhusisha Mungu na watu wa hovyo Mungu hapendi dhuluma!
 
Israel sio taifa Wala kabila
Israeli ni mtu.
 
Taifa la Mungu sio hili lililopo sasa mkuu,this Israel founded by the Rothschild family through the Balfour Declaration in 1948 is fake.Fungukeni.Mungu hawezi kutumia agents wa Shetani kama akina Rothschild kuanzishwa Taifa lake. Soma Ufunuo 2:9 na 3:9 uone ukweli huu ambao Bwana Yesu mwenyewe aliuweka bayana kabisa.The true identity of Israel has been hijacked by the evil Khazarian Tribe,the Ashkenazi, Zionists or Khazarian Mafia.

Ufunuo wa Yohana 2:9
[9]Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.

Ufunuo wa Yohana 3:9
[9]Tazama, nakupa walio wa sinagogi la Shetani, wasemao kwamba ni Wayahudi, nao sio, bali wasema uongo. Tazama, nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako, na kujua ya kuwa nimekupenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…