Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran


Nakuuliza ", kwenye bibilia mungu ka wa adhibu hao islael mara ngapi?, na kwa sababu zipi? ,na wapi mungu wa bibilia kasema hatomuadhibu islael pindi aki kosea bali ata waadhibu wengine?, hebu weka clearly hapa jukwaani na siyo kona kona au utashi wako (according to bibilia)
 
Reactions: Tui
wacha ufala israel taifa la Mungu gani,halafu haya mambo ya israel ni taifa la mungu sijui wateule wanaongea waswahili tu huwezi kuta sehemu nyingine yoyote nje ya tanzania wanaongea huo upuuzi hata waisrael wenyewe,nyinyi nani kawafundisha hayo matango pori???hakika mzungu na kitabu chake biblia kawaweza waswahili
 
Myahudi na sheria za vita wapi na wapi?.
 
Umeutumia vibaya sana uhuru wako wa kutoa maoni humu jukwaani kwa kuleta uzi wa kipuuzi kama huu. Na katika hali ya kushangaza, kuna wajinga wengi tu wamekuunga mkono eti!
 
Reactions: Tui
 
Mkuu umeamka na pombe za juzi mbona unaleta hadithi za bunuasi
 
Kondoo bado hawajafika Iran, mbona Iran alifika Israel kwa dakika tano tu 😄 Au F-35 zinaogopa kwenda kudondoshwa.
 
Ajabu ni kuwa anayehimiza wenzake wapiganie imani yeye analindwa na kufichwa kama dawa za kulevya. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ajabu ni kuwa anayehimiza wenzake wapiganie imani yeye analindwa na kufichwa kama dawa za kulevya. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kulindwa kwa viongozi ni mambo ya kawaida.Netanyahu alikimbizwa kwenye bunker Iran ilipoishambulia Israel.
Viongozi wote huwa wanalindwa extra wakati wa vita, ukiwa hulijui hilo basi una safari ndefu ya kuelewa.
 

Masaa 12 baada ya uzi wako.

Kwani masaa machache kwenye utabiri wako inaweza kuwa miezi?
 
Ilo ndo watu wanashindwa kuelewa USA inamsandia Israel wanasaahau USA ndo viongozi wote top ni Waisrael Trump na kibri chake bado anaikubali sana Israel
 
Hivi kwa nini URAN isiache kufadhili aya Makundi Mashariki ya kati pakatulia?
 
Huyo Mungu wa Israel mbona Kashindwa kuzuia makombora ya Iran yasitue kwenye ardhi ya taifa lake Israel?

Au alikuwa kasinzia?
 
Unaongelea Israel ipi mkuu?

Pale Tel Aviv kuna wahuni wanajiita Israel wakati sisi tupo tumechill tunapambana na wstawala wanaoabudu shetani.
 
Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei ametangaza jambo litampoteza kwenye uso wa dunia maana ilisha andikwa anaye ilaani Israel nikama amejilaani mwenyewe sasa Mungu wakati wote anangalia neno kulitimiza hii itatosha zaidi. Stay tune stay silent 🤫
Mkuu tuwekee huu mstari kwenye Biblia uko kitabu kipi, Sura ipi na aya ipi inasema hivi
 
Ilo ndo watu wanashindwa kuelewa USA inamsandia Israel wanasaahau USA ndo viongozi wote top ni Waisrael Trump na kibri chake bado anaikubali sana Israel
Viongozi wote top wa USA walio waisrael ni kina nani?Wataje?
Huelewi hata kwanini USA wanaisaidia Israel.Umefuata mkumbo tu kwenye vigenge vya kahawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…