Natabiri Mabadiliko Madogo Baraza la mawaziri. Wawili kama sio mmoja kutemwa

Utabiri usiozingatia muda ni uganga tu. Mtu akitabiri kuwa Tanzania itapata ukame does it mean anything?
 
Tabiri ni nyingi wanasema mama akitoka Kenya tena 🤣🤣

Rasimu ya warioba tu
 
Waziri wa fedha unazunguka kufanya ziara za nini?

Eti anasikiliza maswali na kuyajibu😂

Sijawahi kuwaona akina Basil Mramba wakizunguka kwenye ziara mikoani.
Tokea nimepata ufahamu sijawahi kuona nchi hii waziri wa fedha akifanya ziara mikoani.

Inaelekea hawamuheshimu Rais kabisa.

Wanamfanyia masihara mengi.
 
Mwigulu bado yupo yupo Sana mpk 2020. Kila afanyacho kina baraka za mama.
 
Impact ya Muigulu Ni negative, apumzishwe ashughulikie Mambo ya kubet na usafiri.
Huyu mzaramo naye Hana anachofanya kwa Sasa, arudi tu Kisarawe.
Nitashangaa wa afya akiachwa maana mwenyewe kakiri Muhimbili kumejaa rushwa lkn hajachukua hatua zozote anategemea nini Kama sio huduma za afya kuendelea kuporomoka. Akwendre.
Makamba piga kazi mgosi.
 
Wampe huyu CAG aliyetoka majuzi Kichele akaingia
Chini ya uongozi huu wa mama hata mkiazimwa waziri toka Ulaya ni bure.
Waziri ni mtekelezaji na mshauri tu.
Lakini maamuzi yatoka kwa raisi.
 
Na kweli

Utakuta wao hao hao ndo wanapost

Watulie tu
 
Ni kweli mabadiliko ya baraza yanahitajika lakini walio boronga ni watoto pendwa hivyo usitegemee kipya na hakuna kitu kama hicho

January na Mwigulu walitakiwa kutoswa shida Rais anaogopa na anaona aibu
Hawagusiki hao
 
🤣🤣🤣🤣
 
Ni kweli mabadiliko ya baraza yanahitajika lakini walio boronga ni watoto pendwa hivyo usitegemee kipya na hakuna kitu kama hicho

January na Mwigulu walitakiwa kutoswa shida Rais anaogopa na anaona aibu
Kosa la January Nini?
 
Waziri wa fedha unazunguka kufanya ziara za nini?

Eti anasikiliza maswali na kuyajibu😂

Sijawahi kuwaona akina Basil Mramba wakizunguka kwenye ziara mikoani.
Mwigulu anafikiri kuwa Ni Rais ndo sababu siku ya bajeti wakati anaelekea bungeni alikuwa na msafara lukuki akipanya tozo za wadhulumiwa.
 
Umenena kamanda kwa sababu raia wengi wanafikiri kuwa kubadili mawaziri na watawala wengine kila uchao ndyo maendeleo yatakuja!. Kinachotakiwa hapa ni uzalendo wa kweli na si unafiki, uzushi na uzandiki wa akina Mwigulu Nchemba wa kutumia v6 ya milioni 560 halafu wanajitokeza kwa ujinga wao kuwa katika kugusagusana Kuna kukosea (tozo). Mwigulu anagusana na nani hasa????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…