Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Hapa hawezi kuula P,kweli🤔Igweeee nisiwachoshe wala nisijichoshe.
Madam President akirejea kutoka Kenya huenda usiku mkasikia mabadiliko ktk baraza la maziri.
Na kwa vile utabiri unaonyesha mawaziri wawili watapigwa chini kama sio mmoja na wizara fulani nyeti itapewa mtu atakae teuliwa kwanza ubunge viti maalumu nakisha pewa wizara Utabiri sio leo sio kesho ila utabiri stay tune....
Pray for our Nation.