Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Mfa maji haachi kutapatapa mkuu.Halafu Mwigulu kamshauri Rais vibaya sana kuhusu tozo.Kama mshauri wa Rais hatoshi aondoke.Halafu kapandisha mabega sana kwa sababu ya pesa ya wizi ya Watanzania na matamshi yake yanamtia aibu sana Rais,he is simply not fit for the job.Waziri wa fedha unazunguka kufanya ziara za nini?
Eti anasikiliza maswali na kuyajibu😂
Sijawahi kuwaona akina Basil Mramba wakizunguka kwenye ziara mikoani.