Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Gavana BOT anakaribia kuanza ziara.Waziri wa fedha unazunguka kufanya ziara za nini?
Eti anasikiliza maswali na kuyajibu😂
Sijawahi kuwaona akina Basil Mramba wakizunguka kwenye ziara mikoani.
Sio tz tu hata kwingineko dunianiTokea nimepata ufahamu sijawahi kuona nchi hii waziri wa fedha akifanya ziara mikoani.
Inaelekea hawamuheshimu Rais kabisa.
Wanamfanyia masihara mengi.
Igweeee nisiwachoshe wala nisijichoshe.
Madam President akirejea kutoka Kenya huenda usiku mkasikia mabadiliko ktk baraza la maziri.
Na kwa vile utabiri unaonyesha mawaziri wawili watapigwa chini kama sio mmoja na wizara fulani nyeti itapewa mtu atakae teuliwa kwanza ubunge viti maalumu nakisha pewa wizara Utabiri sio leo sio kesho ila utabiri stay tune....
Pray for our Nation.
Atutabirie na mechi ya Simba vs Yanga Tarehe 23 OctoberHuyu jamaa siyo wa kumpuuza kumbe!
Alimuonya saa 8 akashupaza shingo.
Duh...!. Mkuu umetisha!.Igweeee nisiwachoshe wala nisijichoshe.
Madam President akirejea kutoka Kenya huenda usiku mkasikia mabadiliko ktk baraza la maziri.
Na kwa vile utabiri unaonyesha mawaziri wawili watapigwa chini kama sio mmoja na wizara fulani nyeti itapewa mtu atakae teuliwa kwanza ubunge viti maalumu nakisha pewa wizara Utabiri sio leo sio kesho ila utabiri stay tune....
Pray for our Nation.
Igweeee nisiwachoshe wala nisijichoshe.
Madam President akirejea kutoka Kenya huenda usiku mkasikia mabadiliko ktk baraza la maziri.
Na kwa vile utabiri unaonyesha mawaziri wawili watapigwa chini kama sio mmoja na wizara fulani nyeti itapewa mtu atakae teuliwa kwanza ubunge viti maalumu nakisha pewa wizara Utabiri sio leo sio kesho ila utabiri stay tune....
Pray for our Nation.
Manabii Wa Kweli WapoAisee
Huyu jamaa ni useful kwenye betting
Hakuna cha utabiri bali huwa mnakuwa na taarifa ya nini kitafanyika afu mnakuja Kujifanya mnatabiri,kama tuu alivyokuwa Kigogo..Igweeee nisiwachoshe wala nisijichoshe.
Madam President akirejea kutoka Kenya huenda usiku mkasikia mabadiliko ktk baraza la maziri.
Na kwa vile utabiri unaonyesha mawaziri wawili watapigwa chini kama sio mmoja na wizara fulani nyeti itapewa mtu atakae teuliwa kwanza ubunge viti maalumu nakisha pewa wizara Utabiri sio leo sio kesho ila utabiri stay tune....
Pray for our Nation.
😁😁 Hapa ndipo Rais Samia huwa anawapiga chenga, yaani mnatamani mapenzi yenu yatimie ila inakuwa Kinyume..Imetimia ila mdunguaji analengo na mtu risasi imempata mmoja ila analenga mwingine so this is an alert bado kuna madiliko yatafanyika kumtoa mwingine ambaye ataumia sana.
I'm not among them unatoaje siri while wewe ni custodian.Hakuna cha utabiri bali huwa mnakuwa na taarifa ya nini kitafanyika afu mnakuja Kujifanya mnatabiri,kama tuu alivyokuwa Kigogo..
Sawa pia nao ni utabiri😁😁 Hapa ndipo Rais Samia huwa anawapiga chenga, yaani mnatamani mapenzi yenu yatimie ila inakuwa Kinyume..
Mwigulu hatoki Leo wala kesho
Huwa mnawatayarisha watu mapema kabisa na taarifa unazotoa hazina impacts yeyote zaidi ya kuwa normal information na hutoka mapema zaidi.I'm not among them unatoaje siri while wewe ni custodian.