Natabiri Mabadiliko Madogo Baraza la mawaziri. Wawili kama sio mmoja kutemwa

Waziri wa fedha unazunguka kufanya ziara za nini?

Eti anasikiliza maswali na kuyajibuπŸ˜‚

Sijawahi kuwaona akina Basil Mramba wakizunguka kwenye ziara mikoani.
Hata Gavana BOT anakaribia kuanza ziara.
 
Tokea nimepata ufahamu sijawahi kuona nchi hii waziri wa fedha akifanya ziara mikoani.

Inaelekea hawamuheshimu Rais kabisa.

Wanamfanyia masihara mengi.
Sio tz tu hata kwingineko duniani
 

[emoji1430]
 
Duh...!. Mkuu umetisha!.
P
 

Yamekua
 
Imetimia ila mdunguaji analengo na mtu risasi imempata mmoja ila analenga mwingine so this is an alert bado kuna madiliko yatafanyika kumtoa mwingine ambaye ataumia sana.
 
Hakuna cha utabiri bali huwa mnakuwa na taarifa ya nini kitafanyika afu mnakuja Kujifanya mnatabiri,kama tuu alivyokuwa Kigogo..
 
Imetimia ila mdunguaji analengo na mtu risasi imempata mmoja ila analenga mwingine so this is an alert bado kuna madiliko yatafanyika kumtoa mwingine ambaye ataumia sana.
😁😁 Hapa ndipo Rais Samia huwa anawapiga chenga, yaani mnatamani mapenzi yenu yatimie ila inakuwa Kinyume..

Mwigulu hatoki Leo wala kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…