NATAFUTA AJIRA; zawadi na baraka imng'arishayo mwanamke

GLad to see you again my fav gal.
I trust you good.

Niwe tu mkweli.
Nikijifosi kujibu hii coment yako sasa hv moyo utazidi nienda mbio na ninajua hutafurahi nikizaa njiti.

Naomba nikujibu kesho ili nije na hojan nzuri za kukupinga.
Kwa sasa nitaomba msaada kwa denoo G Robert Heriel Mtibeli Elevenn 😅

Nb:Haruhusiwi mtu kukuchamba.
Kama kupingwa upingwe kwa heshima zote
 
Take your time mam.

Unaniitia Denoo sijapendaaaaaa! 🤣
 
Kwanza niweke wazi wewe ni moja kati ya I'd za kike zenye kujenga hoja nzuri na fikirishi, hoja zako nyingi huyo huyo Natafuta Ajira alishazijibu kwenye sredi yake sina hakika sana na heading ilikuwaje lakini nahisi "wanawake wanachukia mfumo dume ila wanataka benefits za mfumo huo huo"

Kiukweli ni ngumu kusema nature haijataka iwe hivyo ikiwa wengi hata huko dunia ya kwanza wanaolewa kwa kutaka mambo kama security, stability(finances), personal growth. Neno mtumwa si neno zuri kutumia ila twende mbele turudi nyuma mwanamke atabaki kuwa msaidizi wa mwanaume, ukuu wa mwanaume haukwepeki kwa namna yoyote ile na kwa mfumo wowote ule
 
Asante……..

Nimeikumbuka hiyo thread, na ni sahihi kwa upande mmoja kwasababu katika madai yetu tuko wa aina nyinginyingi na ni sahihi kutuweka kwenye kapu moja sometimes .

Niamini mimi, kama mfumo dume usingekuwa kandamizi usingepigiwa kelele wala kuwa challenged, nani hapendi kitu kizuri jamani?


Kwenye uzi wa last weekend, nilisema sisi hatuamini kwenye sameness, tunaamini kwenye equal (usawa wa kithamani)

Mwanamke anapaswa kuwa msaidizi wa mwanaume pale ambapo haki zake zinakuwa acknowledged.
 
Kibiblia mume bora ni yule anayempenda mkewe bila ubinafsi kama yesu alivyolipenda kanisa kias cha kutoa uhai wake.
In reality huyu ndo mwanaume na wote tunaona wanavyojitoa hawa wababa

Ni yule wa petro 3:7
Yule wa wakolosai 3:19
Na Timoteo 5:8.
Biblia imempendelea mwanamke kwa kumpa mwanqume mwanaume majukumu makubwq ya kumpenda,kumlinda,kuntunza,kumheshimisha.
Kwa kifupi mwanamke alichoqgiza ni kumtii tu mwanaume.

Hata hivyo biblia mimi inanichanganya kwa hiyo naona tukiitumia itatuvuruga tu.
 
Thank you Prida, sikutaka mjadala wa biblia uende mbali. 😅

Tusijekukaa kanisani huku tunaichukia biblia.
 
Inabidi unavyoweka hizi hoja uwe unakuja na rejea kidogo hatuwezi kuamini maneno matupu..

Hakukuwa mfumo kandamizi mimi kwa mafikirio yangu patriachy haukuwa mfumo labda useme ilikuwa ni kitu kilicho tafsiri wa baada ya watu kuanza kusoma na kuanza kuweka label kwenye kila kitu..

Patriachy inaanguka/inameguka sababu sio ASILI, kama mnajua maana ya asili niambieni kitu gani cha asili huwa kinatoa mwanya wa mabadiliko.
What about gender concepts mbona watu wanajiamulia kuwa mashoga?

Usiifanye patriachy kama concept bali uhalisia wa nature
You're concerns about abuse ni kweli ila yote haya ni kwa sababu ya human egoic conditioning na sio ya kuwa ni mfumo dume.. Hata wanaume kwa Wanaume wanafanyiana abuse, even women too do shitty stuff

Umeshuka madini mpaka nimetetemeka...

Ila truth be told haya yote yame kuja after mgawanyiko... Na gaslighting baina ya mwanamke na mwanaume...

Mbona wanyama wanatushinda jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…