Natafuta boyfriend umri kuanzia miaka 25 hadi 30

Mwanaume mwenye miaka chini ya 35 huyo bado ni mtoto sana, huyu hata akikuhonga atakuja kufungua uzi JF . Kama unataka kufurahia maisha tafuta kuanzia 35 na kuendelea. Rekebisha hapo nije PM sasa hivi
 
Sasa ambao tuna vigezo vyote kasoro rangi ni weusi napo hatutakiwi?
 
Watanzania ni kama kumbikumbi kuwadaka rahisi sana hawana akili hata robo karibia 90% ni vilaza grade A pro.

Kiukwel hao mnaosema wanawateka hawana kazi ngumu hata kidogo, mnategeshewa demu lenye trakooo kubwa mnadakwa wote humu

Mbwa nyieeee
 
Nimemfuata bana daaah ana vipengele kibao mara oooh sijui mambo ya kupanga chumba,, mara hv mara vile ...

Alafu mtu hata hamjafikisha week anasema kazi nayofanya haoni kama ina faida
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…