Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„Hahha kwetu hamna hiyo
Mamaangu alinambia haji kufanya huo upuuz anataka nichague mwenyew Ili siku nikirud kulalamika aniulize mama si ulichagua mwenyew Sasa Rudi kapambane πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nishapata assurance Sasa ngoja nije tupike mandazi, ngoja nipite Buchani nichukue kuku wa kienyeji
 
Kwanini unatanguliza kigezo cha kazi kwenye hospitali nzuri? Sijui lengo la kuadmit hivyo ila tusipende kuwa open mapema hivyo.
NB. Bikra zinatengenezwa.
 
Uko sahihi.
 
Mwanao akizaliwa ndo bikira halisi, labda huyo wengine unakutana nao kumbe ana miezi 6 anakamulia ndimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…