Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

Mwanaume una ajira na kipato kizuri unatafuta mwanamke tena social media?

Mwanaume bora hatafuti wanawake, mwanamke bora utokea kwa mwanaume bora sababu ya ubora wake, ukiona unatafuta wanawake jua unakasoro, uwezi kuwa na pesa na ajira ukatafuta wanawake tena social media. Jua watu uijue dunia na vinavyokuzunguka.
 
Asante kwa muongozo
 
Mnazo pesa?
Wanawake wazuri hata wasio na hizo bikira wanawataka au kuwaangalia mara mbili mkiwa kwenye bodaboda au mnatembea kwa miguu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…