Unajuaje Hali imebadilika hata kama ni kidogo. Nikifika miaka 40 nitaleta Uzi wa MAISHA YANGU BAADA YA MIAKA 40. Najua nitakua mbali ikiwa nitakua haiKwa hiyo na wewe umekuja kuwaharibia wengine?
Mtu unanuka madeni,huna muelekeo na bado unataka kuongeza majukumu ambayo yatakushinda
Kwanza hakuna mwanamke timamu akuzalie badae akuuzie mtoto
Nawachezea kisa ? Sio kwamba mimi ni majalala kihivyo. Just kazi ninayofanya haiendani na maendeleo niliyonayoKumbe anatuchezea tu! Hivi anadhani kuna mwanamke abebe mimba miezi 9 ajifungue kwa uchungu then amtoe mtoto kiulaini! Hakuna kitu kama hicho duniani
Hupati, labda wasichana wa mtaani tu wenye tabia za mtaani na mtoto atarithi tabia hizo.Sasa si bora mtu ajue kabla kuliko kuzalisha mtoto wa watu akiwa hajui dhamira yako? Ningekua na pesa sa kutosha nongehama dini nioe wake 4 . Hata nikizipata Bado kuna tatizo kuhusu familia yangu ya sasa
Unajuaje Hali imebadilika hata kama ni kidogo. Nikifika miaka 40 nitaleta Uzi wa MAISHA YANGU BAADA YA MIAKA 40. Najua nitakua mbali ikiwa nitakua hai
Kwa sababu Mimi ni mkristo na mke wangu na watoto ni wakrito. Pia napenda life style ya wanawake wa kiislamu hawana baya. Mtoto akiwa wa kiume nitampa jina neutral kama vile Sulemani au Mussa akikua ataamua mwenyewe....Kwanini muislam?
Ndio....Kwamba mtoto atakua na tabia kama mama/baba....
🤣🤣🤣 akili gani hizi aseee!!!Kwa sababu Mimi ni mkristo na mke wangu na watoto ni wakrito. Pia napenda life style ya wanawake wa kiislamu hawana baya. Mtoto akiwa wa kiume nitampa jina neutral kama vile Sulemani au Mussa akikua ataamua mwenyewe....
Kama ulikuwepo Yeye kaniambia "laana kubwa hapa duniani ni kuolewa na wewe" hapo anajifanya ananitania but najua anamaanisha. Sasa nikifanikiwa kujenga nyumba nitamkabidhi alee watoto Mimi nilee wangu huko nje ila nitakua baba wa usiku tu mchana kutwa najua ninachofanya.🤣🤣🤣 akili gani hizi aseee!!!
Pole yake mkeo
Jitahidi.....ila mtu wa kuzaa tu ni wa mtaani. Hatoki kwa wazazi.Inategemea na malezi
Wanakuwa wanajitegemea, wamemaliza malezi., wanaweza kuzaa na yeyote...Wa mtaani Hana wazazi?
Kumbe ni pangu pakavu tia mchuzi halafu anajifaraghua atamlipa mwanamke wa kumzalia milioni 10 huku ana mkopo NMB wa miaka mitano hajamaliza [emoji2296][emoji119]Maisha yangu baada ya miaka 37!
Habari. Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite, Mshana Jr n.k. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo; 1. Ninafanya kazi Serikalini mshahara take home ni 1.3 m, hapo nina mkopo wa miaka 5 NMB. 2. Kazi nimeanza tangu 2012...www.jamiiforums.com
Tuanze na huu kwanza
Ungeanza kujitafuta wewe kwanza kabla hujaongeza kiumbe kingine kitakachokuja kupata tabu sababu ya uzembe wa baba yake