Nataka kufanya DNA test ya watoto wa kaka kupitia mimi je inawezekana?

Hii shida kubwa kabisa, tuseme humuamini kabisa marehemu kaka yako? Acha utoto hao watoto si wako ni wa huyo shemeji yako.
 
Una uhakika gan kama wewe huyo ni kaka yako?

Labda baba yako nae alipivwa kwamba huyo unayemuita kaka hakuwa mtoto wa baba yako je?
 
Mimi nitajibu maswali yako tu.

Je, inawezekana? Jibu ni Ndiyo.

Kisha nakurudishia swali, una uhakika wewe na kaka yako ni watoto wa baba mmoja? Huna.

Kitakachotoa majibu sahihi ni DNA za marehemu kaka yako na watoto. Je, unaweza kupata DNA za marehemu, jibu ni NDIYO.

Hayo mengine yabaki juu yako.
 
Unataka kupunguza mzigo?ili umtimue shemeji na watoto usimamie mali za nduguyo?
Kaka yako aliwakubali akiwa hai?
Kama aliwakubali basi unakwenda kinyume na wishes za marehemu

Lakini usisahau kama una watoto,
Wao pia watakuwa chini ya mtu mwingine ukitangulia

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
HAPANA HAIWEZEKANI KAMWE.

Hata wewe unawezekana ukawa sio ndugu wa damu wa huyo kaka yako
 
Asante sana kwa kukubali pingamizi zetu
Kaka yako alikuachia watoto ulee siyo uwapime DNA.
 
Baba yao mwenyewe alikuwa hajafanya hivyo,wewe ni nani ufanye hivyo.Nadhani mna nia ovu ya kudhulumu,wewe na baba yako(babu yao).
 
Atumie vinasaba vya mama yao.
Maza ni mmoja tu ila baba lolote linaweza kutokea.
Yawezekana kaka mtu na mdogo mtu wote au mmoja si tunda la wanayemwita baba yao.
Jamaa anamtaka Shem wake, cha msingi apewe mzigo kesi iishe
 
Kama baba yao hakutaka kuwapima DNA ni yeye. Saiv hayupo na malezi yao yapo mikononi ya mtu mwingine. Kama si watoto wa ukoo ule mama yao na awapeleke kwa baba zao. Uzuri yeye bado yupo.
 
Hamjamuelewa tu mleta mada. Halaf mna shauri mpaka mnapitiliza.
Kauliza swali dogo tu, inawezekana au haiwezekani.

Kitandawil alicholenga kukitegua indirectly hapa ni je kama mimi na kaka yangu ni baba mmoja means tuna DNA zinafanana, je watoto wetu nao DNA zitafanana na either of us???

Swali lake (japo hajataka kuliweka hivyo) ni kwamba ,kwenye family tree ya familia au ukoo flan DNA ya great great grand father aliye source ya hiyo family itakua ni sawa na DNA za watoto wooote walio zaliwa na watoto wa kiume wa hiyo koo???

Kwa maana nyingine, ukiondoa watoto wa waliozaliwa na watoto wa kike wa ukoo au family fulan, je ukoo mzima unaweza kuwa na DNA moja tu determined by muanzilishi wa huo ukoo au family??

Mleta mada mimi nimeku study na kukuelewa kuwa hii wewe ndio concern yako, ndio maana hukuishia kuji reffer wewe tu bali ukamuingiza na babu mtu.

Nawasilisha bwana Wakuperuzi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…