Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Kama hutaki kuwasaidia waache watoto wa watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii shida kubwa kabisa, tuseme humuamini kabisa marehemu kaka yako? Acha utoto hao watoto si wako ni wa huyo shemeji yako.Mwaka jana nimefiwa na kaka yngu na ameacha watoto 4 watatu wako primary ila kuna jambo kidgo limenipa hofu kama inawezekana ili nijiridhishe. Kifupi hawa watoto wote kwa sasa hvi mimi ndio mlezi wao kwa kila kitu, ni sehemu ya familia yngu na mama yao ilibidi tumbakishe nyumbani kwajili ya kusaidia ulezi sababu jamaa bado ni wadogo.
Nisiende mbali sana nataka kufanya dna kwahawa watoto kupitia mimi au babu yao je! Inawezekana?
Una uhakika gan kama wewe huyo ni kaka yako?Mwaka jana nimefiwa na kaka yngu na ameacha watoto 4 watatu wako primary ila kuna jambo kidgo limenipa hofu kama inawezekana ili nijiridhishe. Kifupi hawa watoto wote kwa sasa hvi mimi ndio mlezi wao kwa kila kitu, ni sehemu ya familia yngu na mama yao ilibidi tumbakishe nyumbani kwajili ya kusaidia ulezi sababu jamaa bado ni wadogo.
Nisiende mbali sana nataka kufanya dna kwahawa watoto kupitia mimi au babu yao je! Inawezekana?
Unataka kupunguza mzigo?ili umtimue shemeji na watoto usimamie mali za nduguyo?Mwaka jana nimefiwa na kaka yngu na ameacha watoto 4 watatu wako primary ila kuna jambo kidgo limenipa hofu kama inawezekana ili nijiridhishe. Kifupi hawa watoto wote kwa sasa hvi mimi ndio mlezi wao kwa kila kitu, ni sehemu ya familia yngu na mama yao ilibidi tumbakishe nyumbani kwajili ya kusaidia ulezi sababu jamaa bado ni wadogo.
Nisiende mbali sana nataka kufanya dna kwahawa watoto kupitia mimi au babu yao je! Inawezekana?
Kadhalika kama watoto si wenu,Sikushauri,fanya kama unatoa sadaka vile kwa mayatima utawaathiri kisaikolojia kwa whatever results
Alafu unakuta ya na brother wake sio damu moja.... izi mambo ni za kuridhi oooohhjOK sawa mkuu, kama kuna sitofaham, jaribu kufanya hivyo ulivyo waza.
Kama wewe ndo mtoto wa nje jibu litakuwa siyo damu yako.nilitaka kujiridhisha tu kutokana na situation niliyokutana nayo
Acha upotoshaji Mkuu kwa stori za vijiweni na zisizo sahihi.• Shida iko wapi, mpaka umewaza kufanya hivyo mkuu....
• DNA za Tanzania haziaminiki, utapoteza hela tu.
Hahahahaha..au huyo anayemuita baba sio baba ake ?Una uhakika gan kama wewe huyo ni kaka yako?
Labda baba yako nae alipivwa kwamba huyo unayemuita kaka hakuwa mtoto wa baba yako je?
Asante sana kwa kukubali pingamizi zetuhuku umeenda mbali sna hawa madogo kwngu sio mzigo hta japo kipato ni kawaida na mpka baba yao ananikabidhi mimi wakati wa nyakati za mwisho za uhai wake means alikuwa na uhakika na anayemuachia na ndio iko hvyo na kwa baadhi ya maoni ya wadau hili jambo nimeshalifunga
Baba yao mwenyewe alikuwa hajafanya hivyo,wewe ni nani ufanye hivyo.Nadhani mna nia ovu ya kudhulumu,wewe na baba yako(babu yao).Mwaka jana nimefiwa na kaka yngu na ameacha watoto 4 watatu wako primary ila kuna jambo kidgo limenipa hofu kama inawezekana ili nijiridhishe. Kifupi hawa watoto wote kwa sasa hvi mimi ndio mlezi wao kwa kila kitu, ni sehemu ya familia yngu na mama yao ilibidi tumbakishe nyumbani kwajili ya kusaidia ulezi sababu jamaa bado ni wadogo.
Nisiende mbali sana nataka kufanya dna kwahawa watoto kupitia mimi au babu yao je! Inawezekana?
Atumie vinasaba vya mama yao.Kaka yako kaacha watoto wanne. Yaelekea wewe huamini kama ni watoto wa marehemu kaka yako, hivyo unataka vipimo vya DNA ili kujidhihirisha kwamba kweli ni watoto wa huyo kaka yako. Je utatumia sample kutokea kwako katika kupima hayo? Una uhakika gani kwamba wewe ni Mtoto wa baba yako? Utakuta huna vinasaba vya huyo unayemuita Baba au pengine hata marehemu kaka yako hana vinasaba hivyo. Itakuwa vigumu sana kuthibitisha wazazi wa watoto hao pasipo kuwa na vinasaba vya marehemu. Fanya mpango upate kibali cha kuufukua mwili wake na kuchukua sample zinazohitajika kwa zoezi hilo ndiposa uendelee na zoezi unalolihitaji.
Kama baba yao hakutaka kuwapima DNA ni yeye. Saiv hayupo na malezi yao yapo mikononi ya mtu mwingine. Kama si watoto wa ukoo ule mama yao na awapeleke kwa baba zao. Uzuri yeye bado yupo.Watoto wametoka kufiwa na baba yao, halafu tena familia inataka kuanza kuwahangaisha😭
Kama baba yao hakuona haja ya kuwapima hao watoto DNA, kwa nini wao watake kuwapima? Shida ni nini?
Kimsingi jamaa aongeze nyama ili apewe ushauri unaoeleweka, ila kwa content aliyotoa, bado hakuna sababu ya msingi ya kupima hao watoto DNA.
😅😅😅 ila kweli bwana. Umesema kitu.Atumie vinasaba vya mama yao.
Maza ni mmoja tu ila baba lolote linaweza kutokea.
Yawezekana kaka mtu na mdogo mtu wote au mmoja si tunda la wanayemwita baba yao.
Jamaa anamtaka Shem wake, cha msingi apewe mzigo kesi iishe
Apewe mzigo chap.😅😅😅 ila kweli bwana. Umesema kitu.