Nataka kutoka familia ya Nyerere

Kwa- hiyo wewe unaijua familia ya Nyerere na yanayo jiri ndani Yao kuliko mtoto wake !?

Nyie wabongo bhana πŸ˜„πŸ˜„
 
Mzee wewe ndio yule ulisema vijana wa Dar es salaam wakichoma Dar 7/7 wasiichome yote wabakize maeneo ya kuishi?NAKUKUBALI SANA WEWE MOJA KWA MOJA PEPONI SITI YA MBELE
😁😁😁
 
Wamefikaje fikaje hapo huwenda they wasn't treats him fair ikamtengenezea Sonona na hatimaye Amejikuta amekuwa hivi Kuna wakati jamii Huwa inawatengeneza monsters wao wenyewe Kwa kuwafanyia ubaya watu mwisho wa siku mtu anachagua kuwa Terrible kutokana na vile anavyo tendwa negative na jamii yake , so inaweza kuwa imemkuta hivyo pia na yeye kwenye family yake
No siyajui, ila baadhi ya anayoweka humu kuwa yamejiri, ni mambo yao ya ndani ya familia ambayo hayakupaswa kutolewa nje, ni mambo yao ya ndani as a family.
P
 
Nyerere alikuwa very smart kwa wakati wake,bahati mbaya alishindwa kujua future ya familia yake hapo mbeleni baada ya kuanguka kwa sera za ujamaa.Hakutambua kama nchi inabadilisha sera zake basi zinaenda hadi kuathiri hadi familia za watu moja moja.
Angalia familia ya Kenyatta walivyo na pesa na mali,angalia watoto wa marais baada ya Nyerere akina Mwinyi,Ridhiwani,family ya Mkopa na Magufuli wote wapo vizuri.

Sasa Familia ya Nyerer,watoto wote na familia zao kwa kiasi kikubwa zinasubiri mgao wa Mke wa Nyerere kutoka Serikali ndio waashi-mtashindwaje kuhongwa rusha.
 
Mbona hizi ni issue very minor,kila siku mnaookea watalii kuona museum ya Baba wa Taifa why msichukue fungu huko muweke hizo camera.
 
Kwanza huyo jamaa sio muongeaji kabisa,hata ukumkuta pale kwao ukitaka kuongea naye anakukwepa.
Jamaa ni wale mnawaita introvert ila yeye ni zaidi.
Nadhani akiwa anaandika humu ndio anapata afueni.
 
Hii naandika hapa inakuwa kama utani.
Kwanza,sina medical card.
Poppy, hivi vitu vingine ni issues ndogo tuu za kifamilia, kwa umri wako wa sasa wa miaka 73, you qualify ile bima ya afya ya wazee kutibiwa bure. Huu ni umri wa kutulia na kutulizwa sio umri wa kupigishana kelele za mambo ya kifamilia kuyaleta humu mitandaoni.
Unapaswa kupangiwa tuu appartment moja pale Masaki by the beach, ukawekewa msaidizi wa kukuhudumia kwa kila kitu, kazi yako iwe moja tuu, kula, kunywa, na ku relax na ule upepo mwanana wa bahari, huku kipigwa massage na kufanya meditation.
P
 
Kwanza huyo jamaa sio muongeaji kabisa,hata ukumkuta pale kwao ukitaka kuongea naye anakukwepa.
Jamaa ni wale mnawaita introvert ila yeye ni zaidi.
Nadhani akiwa anaandika humu ndio anapata afueni.
Kiswahili chake ni cha wapi pia huandika mafumbo sana mtutafasirie
 
Poppy pokea pesa, nyooshea mambo yako
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…