Nataka kutoka familia ya Nyerere

The problem is mechanism he is using
 
Unaongea kuhusu mambo usiyoyajua.
Wapo whistle blowers.
Hawa whistle blowers kwa nini hawamwambii mkuu wao wa kazi kwamba hapa umefanya makosa?
Kwa nini hawa whistle blowers wakiwa na complaint wanaiandika Facebook?
They did it two times, n they didnt say that they hv failed...you are my Brother n you have my all respect...There was no need to publicise.
 
Washenzi sana yaani yule bibi wa watu mama maria still wanataka kuanza kumsumbua sumbua kwenye harakati zao za kisiasa wakati alipaswa kupumzika

Ila binaadamu waroho sana wapesa aisee 😁😁😁😄🙌
 
Kwanza huyo jamaa sio muongeaji kabisa,hata ukumkuta pale kwao ukitaka kuongea naye anakukwepa.
Jamaa ni wale mnawaita introvert ila yeye ni zaidi.
Nadhani akiwa anaandika humu ndio anapata afueni.
Wamuache tu hakuna aliye mlipia bundle 😄😄

Halafu tumekubaliana huu ni wakati wa democracy why wampangie mtu Cha kufanya period
 
Mbona wasira hajafanya hivyo !? Huu ushauri kwanini usimpatie yeye

Ndio kwanza kutwa kucha anavutana na vijana kwenye majukwaa ya siasa !? 😄 Hii Nchi Ina matatizo

Huu ushauri wako unaweza kumpatia Mzee wasira !?
 
Ya nini yote hayo? Kuwa St Peters au St Maurus kuna tofauti gani mimi na wewe au mtu wa Kihesa?
Huyu anaongea yake, na kuna watu wako hivyo anaongea ya moyoni mwake anapata raha, sasa wewe unataka kuanza kumsihi mtu ana miaka 70 asiseme anyosema, hata hayo aliyoyasema wala sioni ni aibu ni ya kawaida kabisa katika maisha yetu. Cha ajabu alichosema ni nini?

Nyerere na familia yake hayo ni yao, Nyerere Rais imebaki legacy. Peace.
 
Muacheni mtu anayetaka kusema kwa uhuru aseme kwa uhuru.

Hiyo ni haki yake ya kibinadamu, kiraia na kikatiba.
Mkuu Kiranga , hakuna mtu anayeingilia uhuru wa mtu, ila unapomuona big brother wako, at 73, anatoa vitu vya ndani ambavyo they should be vya kifamilia on open forum, wale wanaojali na wanaweza kusaidia, watasaidia.
Mkuu Manyerere Jackton njooni tumsaidie Big Blaza kwa kumshauri the right thing to do at his age!.
P
 
Huu ujinga wa usirisiri ndio unaofanya mambo yaharibike zaidi.

Hiyo familia ni yake, sasa wewe una uchungu na hiyo familia kuliko yeye ambaye ni familia yake?

Wewe una haki gani ya kusema mtu asifunguke katika mambo anayotaka kufunguka kuhusu familia yake?

Hiyo haki unaipata wapi, wakati wewe hata si mwanafamilia?
 
Andrew hapendi CCM

HATAKI FIKRA ZA MWENYEKITI ZIDUMU

CCM OYEEEEEEEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…