Nataka niachane na huyu Mwanamke bila kuathiri Watoto

Kila siku ni 16k, hela ya saloon, luku, bill ya maji, matumizi yake binafsi, ada ya king'amuzi hela ya watoto shule ni humohumo?
Standard inabidi iwe shilingi ngapi bibie. Maana kama matumizi ya 500,000 per month haitoshi kwa normal household ya watoto wadogo wawili na mke na mume. Maana yake hata kima cha chini cha mshahara wote wasioe, Clinical Officers wasioe, makonda wa daladala na watu kibao humu nchini.
 
Funguka ni mke mdogo au mlianza pamoja kaa naye mshauriane myamalize usibeti ktk maisha kifamilia hasa akiwa amekuzalia watoto.Kama una mke shaurianeni na mkeo usimfiche ili alee watoto.Huyo mama muache kwa busara yani akiwa mgonjwa kaa naye karibu
 
500k inatosha ila lazima ukubaliane na uhalisia wa siku zingine kula wali maharage tupu, ugali na matembele
Lakini mtoa mada inaonekana anataka kila siku samaki.

Mishahara haijaongezeka lakini madukani vitu vimepanda bei
 
500k inatosha ila lazima ukubaliane na uhalisia wa siku zingine kula wali maharage tupu, ugali na matembele
Lakini mtoa mada inaonekana anataka kila siku samaki.

Mishahara haijaongezeka lakini madukani vitu vimepanda bei
Mkuu hata kama mishahara ingepanda ila 500,000 ni hela ya kutosha kabisa kwa matumizi ya familia ya uchumi wa kati yenye watoto wawili.

Hapo tunaondoa bills za utility maana mke mama wa nyumbani halipii hizo kwa hiyo 500k ni hela ya chakula. Ukiongeza na pango, maji, umeme, usafiri, kuvaa, bima, internet, pay TV unajikuta mwanaume matumizi ya wastani ni 1,000,000 kwa mwezi.

Kinachofuatia ni investement, saving, assets, ukarabati, etc. Maisha ya hivyo kwa mwanamke golikipa ni neema wachache wanayafikia.
 
Yaan umwache mwanamke kwa, kosa moja, la kushindwakupangilia matumizi. Nina wasiwasi wewe sio mwanaume, ama km mwanaume basi akili za kitoto
 
Bi***tch unakataa wewe ndio unailea hio familia for that 5 years ? We ngada then kipoze na fan huko.
Bitch mama yako aliyebakwa na kikundi cha vibaka bila bismilahi wala ishara ya msalaba kibuyu wewe..!!
Sura km mkundruu wa shoga pumbavu 😹
 
Yani nimeshangaa sana, inawezekanaje?

20,000 ni ya kununua kichupa changu kimoja tu cha Mascara 😅 inamaana ukiolewa na huyu mwanaume hata lotion huimudu na wapwa wakikuomba kabando ka 5,000 huwezi kuwatumia.

Bora ubaki single tu!
Kwani unaolewa ili upewe hela au upigwe miti tu?
 
Sababu zako ni ndogo sana kuacha mtu ambaye ni mke na mna watoto. Mzee ndoa zina milima na Mabonde tumia zaid akili na busara. Huwez kupewa mwanamke mwenye vyote. Lazima kuna eneo yuko vizuri . Na kwa jins unavyomuona ndivyo a navyo kuona.
 
Me za humu mnachekesha kweli, 500k kama upo Dar, Arusha au Dodoma haitoshi

Kama kweli unataka watoto wale vizuri kwa hayo majiji hiyo pesa ni ndogo sana,,

Kuna bills umeme na maji,
Kuna vyakula mboga na lishe za watoto sijui mnaelewa malezi ya watoto yalivyo??? Mtoto leo ukimpa hiki kesho hakitaki,
Kuna nauli
Bado huyo mke nae ni binadamu atahitaji apendeze ndo hiyo laki 1???????? Labda kama anasuka twende kilioni kila wiki, lakini misuko yetu ile ni kuanzia 40k mpaka 60 na hizi ataishi nazo kwa mwezi mmoja,
Vocha, perfume vichupi nk bado

King'amuzi je,
Kuna dharula za kwao au yeye mwenyewe,

Hapo sijaandikia vitu vingii mfano kama mna msaidizi, na mengineyo,,

500k inatosha kwa kujibana sana na chakula iwe mchicha dagaa maharage( nayo ni kipengele siku hizi) ila habari za nyama na samaki watoto watamla kwa picha,,

Kuna watoto jirani aliwaacha siku moja nikawapikia chai ya maziwa, mchana samaki,, kwanza kwenye chai tu walishangaa wakasema wao maziwa ni hadi siku ya sikukuu, samaki hawajui kumla, huwa wanamuona kwenye 📺 basi,,
 
Chai [emoji23]
 
Umejitahidi kuelezea lakin umetuachia maswali sisi kabla ya kukushauri. Msisitizo: Mwanaume unatakiwa ufikirie kwakufanya reasonings na sio feelings.Hivyo ikikupendeza ungeweka maelezo yanayoeleweka.
1. Mmeoana au njoo tuishi kinyumba?
2. Kiasi gani unachomwachia huyo mwanamke cha hiyo kodi ya mezani mpaka unasema matumizi hayatimii na hayatimii kivipi?
3. Mazingira ya nyumba mnayoishi standalone au jumba la kombolela yaani inawapangaji wengi?
4. Hali ya uchumi wa eneo unaloishi? Kwamaana mahitaji ya chakula gharama zake zipoje?
5. Dharau hizo ni kipindi hiki au chote? na kama kipindi hiki ukishawahi kukaa nae chini kummuliza kulikoni?
6. Umeangalia nature ya marafiki zake au watu wake wa karibu status zao nk?
7. Umefikiria je mkiachana watoto wataishi vipi? wapi na athari zake za ukuaji?

NB: Unapoitaji ushauri basi jitahidi kufunguka zaidi ili uweze ushauriwe vizuri...jana tumetoka kuazimisha siku ya kuzuia watu kujinyonga.
Karibu kwa ushauri zaidi.
 
Kwani unaolewa ili upewe hela au upigwe miti tu?
Naolewa ili nipate mpenzi wa maisha na mwenza wa kujenga naye familia.

Ila kama mume hataki nifanye kazi, anataka niwe mama wa nyumbani halafu anipe 20,000 ye matumizi kwa mwezi.

Hayo ni mateso na ni bora nisiolewe niendelee kujitafutia mwenyewe.
 
Natafuta Ajira, Zemanda, Xi Jinping
Njooni muinyambue hii coment ya Mwanaume mwenzetu..
Mimi nimeona loopholes katika hii coment.
Ningependa niliowatag wapite kwenye hizi loopholes.
Maana kuna kitu common kuhusiana na hii coment na hii miamba niliyoitag.
 
Swala la watoto, Ni kama huna hela ila kama unajimudu kiuchumi hao watoto watakua Vizuri kabisa
Sometimes hela sio kila kitu. Baba unatakiwa uwe karibu na watoto wako katika kila hatua ya malezi. Ongezeko la watoto wa kike jeuri na wasiokua na maadili pamoja na watoto wa kiume mashoga na legelege katika maisha ni side effects za malezi ya single mothers.

Mama atampenda mtoto, lakini baba ndie anatakiwa mumuongoza. Kuna masuala kama nidhanu, uwajibikaji na malengo katika maisha ya mtoto, mwanamke pekee ake hawezi kuyasimamia kwa ufasaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…