Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

Status
Not open for further replies.
Mkuu TISS hawaangalii uwezo wa akili Kama wangekua wanaangalia uwezo wa akili Tanzania isingekua nchi maskini baada ya miaka 60

Ili uwe TISS Tanzania kuwa kada wa ccm na jua kuwa chawa wa viongozi ccm technically tayari wewe ni TISS
 
Nyie ndie wale mnaowatekaga wapinzani na kuwayeyusha ktk uso wa dunia, Damu zao zinawasumbua sasa. pole mkuu tubia then move on na maisha mengine
Huyo hana uwezo hata wa kubaka panzi achilia mbali kumteka binadamu.Ana psychosis effections za kutosha.
 
Jamii forum banah every body is some one with agreat job good salary good car hahahhahahah
 
Jamaa yangu mmoja yeye daily kalewa tu, nadhani hii kazi mhhhh..
 
Cheza uwanja uliouzoea na usitafute sifa kwa kuchafua ajira za wengine.
 
Haupo TISS wewe na unaota!! TISS hakuna salary ya maana.
 
Mimi nina 4 years nakomaa... Pole sana mkuu. Ukiacha umekwisha labda uwe na sababu zenye mashiko.
 
Hata mimi nataka kuancha kazi ya huu uwaziri niliokuwa nao,muda si mrefu najiuzuru,nchi ni vululu vululu tu,nikishauri sisikilizwii,yakiharibika nalaumiwa mimi,yaani ni ovyo ovyo tu,bora nikalime vitunguu huko kwetu ruaha

Yaan nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…