Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

nilishazoea hiki kitu kwamba mwanaume ndio ana jukumu la kupambania penzi haswa kwenye upande wa mawasiliano.. nimezoea kupigiwa simu, kutumiwa sms
Thubutu,
Huyo anayefanya hivyo atakuwa "mtoto wa mama".

Huyo mwamba kama anakupelekea moto na kukupa mpunga inatosha
 
Dada yangu, mmeshakuwa Watu wazima sahizi
Hamna mtu anayeweza kukuwaza siku nzima na Lundo la majukumu liliopo sahizi na pia kingine wanaume tunajifunza kwa experience, yaani wanawake mna kasumba ya kutuendesha tukiwekeza attention sana kwenu na ndio jamaa yako huyo hataki hicho kwa sasa
 
Kuandika kwenye hujui 😅🙌🏾
 
Kumuonesha mwanaume kuwa namuhitaji sana ndio nilishindwa mkuu
hoja yangu sio kumwambia unamuhitaji,bali kumwelezea upungufu wake,na kumbuka kuwa panatokea mgogoro baina ya watu,iwe wawili au wengi,badi ujue kuwa kila mmoja amechangia kutokea kwa mgogoro huo,tofauti ni nani kachangia kiasi gani kwenye huo mgogoro,na pia usikimbie mgogoro utaikimbia mingapi?Pambana nao uso kwa uso
 
Kuongea kukujulia hali au? Maan unakuta ww unatak kumpigia simu ila una topic ya kuongea upo tu unasubili yeye ndo aongee ww ni mmmmh mmmhh. Tafta vitu interrestng vya kuongea au sababu y kuongea na mtu. Hvhv utaonekan pointless simu yko inaonekan hmn la maan hpa nikutaft kubembelezw
 
Nahisi kumwambia ni kama namlaumu and mimi sipendi mtu aone kama napenda kulalamika, mtu mwenye akili timamu anajua nini anafanya.. naamini kwamba huwezi kumtendea mwingine vitu ambavyo ukitendewa wewe utaumia, sijui wengine wanawezaje kuwaumiza wengine
 
Ndugu mimi sipigagi simu bila cha kuongea na sijawahi kupiga simu nikaongea nae chochote mara nyingi nikimpigia yu bize sasa naongea nae wapi…

Unaelewa maana ya niliposema ukiona umepigiwa simu ujue ni siku mnaenda kuonana napo anapiga ili kutaka ajue ulipo akuelekeze zaidi ya hapo hutoona kapita zaidi ya sms tu na ukipiga hapokei atatuma sms am busy
 
Sizani mimi najua kutakuwa na ka mtu ambako lazima akapigie simu kukauliza mawili matatu
 
Mwanamke akishaona hastail kuteseka umalaya ndio unaanzia hapo.
Una maanisha nini… unataka niteseke ama
Hivi mahusiano ni sehemu ya kuteseka au ya kupata raha.. tunaanzisha mahusiano ili tupeane raha na furaha na sio kuleteana mateso
 
Basi ishu hapo ni. U dont feel loved na unachokihitaji n ww kujisikia unapendwa kwa kupigiwa simu( communication) ili aoeshe anakutaka
 
Kwenye kuwa mume wa mtu hapana ni mtu ambae tunafahamiana nae muda mrefu kabla ya mahusiano isitoshe ni bachelor boy ambae anaishi kigetogeto tu.. kubwa zaidi naloona ni kuwa hanipendi tu labda ana mtu wake anaempenda yeye ila hajaoa mkuu
Oooo oky kama unajua na mazingira yake yote huenda hapo ni mfumo tu wake wa maisha anao. Au haupo kwenye moyo wake bali hakilinitu. Sasa kaz kwako kua muamuz sahihi huku ukiijali kesho yako
 
Basi ishu hapo ni. U dont feel loved na unachokihitaji n ww kujisikia unapendwa kwa kupigiwa simu( communication) ili aoeshe anakutaka
Labda niseme hivyo
Kuna namna unatamani mtu akupigie simu hata siku moja kukusalimia au kusema tu nimekumis hata kama hatuna bond but sioni kwake yaani njia yetu ya mawasiliano ni sms tu no calls… yaani ukitaka kusikia sauti ya mpnz wako usubiri siku muonane live ndio uisikiee ni kama date ya mabubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…