antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Thubutu,nilishazoea hiki kitu kwamba mwanaume ndio ana jukumu la kupambania penzi haswa kwenye upande wa mawasiliano.. nimezoea kupigiwa simu, kutumiwa sms
Huyo anayefanya hivyo atakuwa "mtoto wa mama".
Huyo mwamba kama anakupelekea moto na kukupa mpunga inatosha