Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

Inategemeana sio wakati wote wakati mwingine ni salamu tu na blablah wakati mwingine ndio kupanga meeting but halazimishi.. ni mtu ambae amesoma na ni muelewa
mahusiano yenye malengo yana mengi,,amka asubuhi mtakie tu kazi njema, mchana na usiku mwema,, mwsho utazoea,,, angalia mwelekeo wake pia,,, wengine ndo walivo
 
Heh hii kali
 
Acha ubinafsi.. kila mtu ana jukumu la kulinda penzi.

Yaani wewe tu ndo unataka utafutwe. Kama nani...!
Daah sijui nijielezeeje unielewe… tatizo sioni mahaba inaniwia ngumu mimi kuwa ninamtafuta
 
mahusiano yenye malengo yana mengi,,amka asubuhi mtakie tu kazi njema, mchana na usiku mwema,, mwsho utazoea,,, angalia mwelekeo wake pia,,, wengine ndo walivo
Duuh ngoja tuone
 
Ndugu ingekuwa sisi tunaweza kujioa ningejiooa, huyo mtu namtafuta wapi wa kunioa ,, unaongea kama vitu rahisi yaan ni kama kuna mwanaume amekaa anasubiri nimchukue anioe
Kati ya wanaume wote waliokuzunguka hakuna hata mmoja anayetaka ama kuonesha nia ya kukuoa?
 
Huyo ni Mimi kabisa...

Mafundi wa kutegea mawasiliano kama nyie mimi hua napiga marufuku usinitafute mpaka nikutafute.

Ukilazimisha kupiga simu sipokei na sms sijibu..... Mpaka usiku au siku nikijiskia kujibu.

Ukilalamika nasingizia ubize ila kiukweli si mara zote nakua bize mara nyingine sitaki kuzoeana sana... Mazoea mwanzo wa dharau.
 
Duuh
 
fact
 
Roho mbaya tu
 
Heh hii kali
Sometimes tunakuwa na dark stories nyuma sister ila mnatuterm tofauti.
Mfano kwa binti nilieachana nae juzikati hapa, siku akikua akapata akili atakuja kujua aina ya mwanaume aliyekuwa nae, kazi anayofanya(since sikuwahi kumwambia), ugumu anaokutana nao huko kazini, na mengine mengi nina imani atanionea huruma na kujiona mkosaji wa karne.
 
hiki ndo kinachonifanya nikomae na jamaa angu huyu,, ingawa kwa upande mwingine ni kwel inaumiza
 
hiki ndo kinachonifanya nikomae na jamaa angu huyu,, ingawa kwa upande mwingine ni kwel inaumiza
Tumia akili kubwa sana dadaangu kuishi na mwanaume, tupo na mengi sana kifuani.
Mimi nimeachana na kibinti MD ndo kimeanza kazi. Kwa akili yake kilidhani kwa status yake na uzuri wake kinaweza kuwa kivyovyote bila kujua kinahang na nani maskini ya Mungu.
 
Nilishamzungumzia humu wala hajawai nihudumia hata mia hiyo sex tunafaidishana wala hanigharamikiii kwa chochote
Woow huyo jamaa anabahati aisee wengine sisi tumepata wanawake pasua sana bila kumuhudumia awez kukuelewa kabisa
 
Asante naichukua hii,,hata ivo naamini ushauri huu haujachelewa kunifikia😌😌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…