Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
mahusiano yenye malengo yana mengi,,amka asubuhi mtakie tu kazi njema, mchana na usiku mwema,, mwsho utazoea,,, angalia mwelekeo wake pia,,, wengine ndo walivoInategemeana sio wakati wote wakati mwingine ni salamu tu na blablah wakati mwingine ndio kupanga meeting but halazimishi.. ni mtu ambae amesoma na ni muelewa