The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Tuwekee Bei za huko kwingine sio kubwabwaja bila ushahidi..Una uhakika na ulichokiandika? Do simple research pls. Usafiri wa train ndio very chip duniani na ndio unapendwa na wengi. Usijaribu kutudanganya. Mradi wenyewe tulipigwa, haikutakiwa kujengwa kwa trillioni saba na ushee. Kwenye vichwa napo tumeletewa vibelenge (huyu anasema vibelenge vipya yule anasema vibelenge vilivyofufuliwa (used) tena kwa kusisitiza kwamba lazima aseme ukweli). Tumwamini nani kwenye hizi kauli kinzani?? Aya forget about that, kwenye nauli wanapendekeza hizi nauli za kimchongo ili magari yao yaendelee kutembelea barabarani. Are these people really serious? Hope hawa wanaishi ile Tanzania ya uchumi wa kati.
Sijasema mikoa yote. Obviously ni mabasi ya Dodoma. Soma vizuri unielewe. Nimesema mabasi yanayofaidi nauli za wafanya interview na wafanyakazi.Mikoa yote Kuna sgr? Wilaya zote Kuna sgr?
Tazara Ina nauli ndogo Ila mabus na malori yako njiani..Una uhakika na ulichokiandika? Do simple research pls. Usafiri wa train ndio very chip duniani na ndio unapendwa na wengi. Usijaribu kutudanganya. Mradi wenyewe tulipigwa, haikutakiwa kujengwa kwa trillioni saba na ushee. Kwenye vichwa napo tumeletewa vibelenge (huyu anasema vibelenge vipya yule anasema vibelenge vilivyofufuliwa (used) tena kwa kusisitiza kwamba lazima aseme ukweli). Tumwamini nani kwenye hizi kauli kinzani?? Aya forget about that, kwenye nauli wanapendekeza hizi nauli za kimchongo ili magari yao yaendelee kutembelea barabarani. Are these people really serious? Hope hawa wanaishi ile Tanzania ya uchumi wa kati.
Sasa mtu awaze kuhusu mabasi wakati Ni suala la kuhamisha route tuu?Sijasema mikoa yote. Obviously ni mabasi ya Dodoma. Soma vizuri unielewe. Nimesema mabasi yanayofaidi nauli za wafanya interview na wafanyakazi.
Hujui kwamba Pesa yako hapo umeshatoa kwenye kulipa Mikopo na utaendelea kutoa kwenye maintanance ya barabara kama alternative SGR isipokuwepo ?Unataka chap chap vya haraka afu hutaki kitoa Pesa ya haraka? Panda bus..
Unajua kitu kinaitwa budget airlines (ingawa this is beside the point)...Uliwahi ona ndege Ina nauli ya chini?
Demand and Supply na Operation costs ila ukifahamu kwamba the only time train inakuwa cheaper than alternative ni pale wateja wanapozidi nadhani ungebadilisha hii kauli..., train watu wakizini unaongeza behewa sidhani kama fast ferries unaweza ukafanya hivyo...Boti za fast ferries Zina nauli ndogo?
Na kama hakuna mtu anapitia huko bei haitashuka kulingana na wingi ?Barabara za express way ndio maana zinalipiwa huwezi komaa kwenye km 80km/hr..
Kwahio hasara hizi zimetokana na bei na sio uendeshaji wala mirija ya walaji ?.., kwamba bei kubwa watu wasipande ndio italeta faida, kuliko bei ya kawaida na watu wapande ? Kwamba wakati wa UDA ipo one peak waliwezaje ? au gharama ilikuwaje kulinganisha na kipato cha mtu ?Hamtaki hizo Bei hiyo sgr itakuwa tembo mweupe na italeta hasara Kama atcl na buses za Dart.
Na ndio maana wamewaletea za kuendana na maisha yenu ya kulia.liaDuu parefu dar to dom normal class 59000, na izo. behewa za majaribio zingekwa snake roll si tunge ambiwa laki.
So mtu aliekua ana mabasi nane ya kwenda route ya dodoma atayapeleka route ya mbeya. Na ya mbeya nayo yatakuwepo hapo watabanana wenyewe na wateja. Mind you, ile mikoa watu wanaenda kwa issue maalumu tofauti na dodoma tangu mji uhamie huko, movements zimekua nyingi sana. Unless kama wewe ni mmliki wa mabasi au unafanya biashara ya mabasi una uzoefu nayo basi huwezi kuelewa namaanisha nini.Sasa mtu awaze kuhusu mabasi wakati Ni suala la kuhamisha route tuu?
Iwe chini afu gharama za uendeshaji alipie Nani?Lengo lao ni kuihujumu tu hiyo treni bila shaka. Maana nauli ikiwa chini, mabasi yao yatakosa abiria.
Yaani tatizo lako BADO LILE LILE!Hivi unajua hata maana ya huduma ni nini ? Hebu nipe definition ya Huduma
You've a very long way to go!Kwahio sababu reality watu ni wezi na wapigaji ni kwamba ni sawa na hakuna alternative ?..., Kwahio sababu Utumwa ulikuwa jambo la kawaida wakati ule ile ndio ilikuwa the way to go....
Nimesema yote...Kama hatujengi Hoja kwa the best case scenario sasa tunafanya nini si tuache kujadili ideas na tuendelee kujadili issues and people......
Au unadhani mimi ni reporter and am reporting what is happening....
Atapanda BusHizo bei ziko juu sana kwa Mwananchi wa hali ya chini.
Nilikwambia hii mradi Ni tembo mweupe na itakuwa hivyo..Ili itete faida italazimu mabasi yasitishwe!, na nauli washushe.
N. B, priority ya mradi huu ibidishwe Kigoma na mwanza.
Nenda China afu uulizie ACHizo rush hours, huku ni critical. Na almost throughout the day. Hakuna AC. Muda wa kufika haueleweki. Ukifika uendako, nguo zimejikunja na unanuka jasho. Hii sio kawaida. Tusizoee shida
Wewe ndio mtu sahihi?Mtajua hamjui kwamba hatuna watu sahihi kwenye taasisi zetu za umma.
Mburula na manyumbu walikuwa wanashangilia tuu ππ.Wakati ulipoanza mjadala wa High Speed Train, niliuliza hapa hivi zikizeletwa hizo high speed trains kama mnazoziona kwenye tv, mtaweza nauli zake!!
Ila bado unaleta hasara Wala haija break even mzee, gharama za uendeshaji Ni kubwa kuliko mapatoMwendo kasi imekufa lini? Unajua inaingiza kiasi gani kwa siku?
Kutakuwa hakuna maana Kama utachaji nauli ambayo haifikii hata robo ya gharama za uendeshaji na uwekezaji..Mkuu nenda na kwenye mabasi check zile free riders zilikuwaje. P
Pamoja na kuwa ni huduma baadhi ya maeneo lakini nauli ni kubwa kuliko mabasi na serikali inatoa ruzuku. Mkuu kwenye hii bei, na uwekezaji haviendani. Serikali itatoa ruzuku. Lakini vyovyote vile treni lazima iwe ghali kulipia hizi trillioni. Vinginevyo, tutazalisha kila siku ili tulipie deni la SGR
Tunarudi kule kule swali dogo majibu lukuki / nje ya point ?, Kwahio unakubali kwa utilities na Public transport ni huduma ? (Ndio au Hapana) ?Yaani tatizo lako BADO LILE LILE!
Narudia, angalia REALITY ON THE GROUND na sio mambo ya "what ought to be"!
Zamani kuvuka to/from Kigamboni ilikuwa TZS 100/= baada ya kununuliwa kivuko kipya nauli ikapanda to 200/= na wakaambiwa wasiokuwa na 200/= wapige mbizi...
Je, kile Kivuko hakikuwa huduma ile?
What happened baada ya kufunguliwa Daraja la Kigamboni!
Unajua magari yanatakiwa kulipa shilingi ngapi pale?
Sio huduma ile?
Na baada ya watu kulalamika kuhusu tozo kubwa kupita pale darajani, walijibiwa nini?!
You've a very long way to go!
Kwani kuna mtu asiyetaka umeme wa Sh 50/Unit?!
Sasa hapa ndo watu tunaongea uhalisia kwa kuangalia huko tulikotoka!
Hata wakati Gesi ya Songosongo inaletwa Dar tuliambiwa bei ya umeme itashuka!
Sasa watu tukikuambia reality on the ground wewe bado unajikita kwenye theories!
Nimesema yote...