Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
We jamaa niliamua kukuacha baada ya kuwa unakwenda kule na kurudi huku ? Hivi unadhani nchi gani umeme / rail service / Maji sio huduma ?It's a matter of time kabla hujanielewa na suala la umeme wa Bwawa la Nyerere pale nilipokuambia tena na tena kwamba mnaosubiri umeme wa bei rahisi, MNAJIDANGANYA...
Na ile siku, kabla sijaamua kukuacha uendelee na fantasies zako, ulikuwa unatumia hoja hizo hizo "umeme ni huduma"... economies of scale!
By the way kama kule majibu umeshindwa kuyajibu na hapa takuwa najisumbua....
Umeme kuwa bei ya ghali sio kwamba production wise ile ndio gharama bali kuna wizi na mirija ya watu kuliko kuharibu uzi wa watu turudi kule kujibu suala la umeme
Kuhusu Train hapa unadhani watu pesa itapatikana kufanya bei kubwa watu wachache kupanda at the same operation cost au pesa ndogo watu wengi kupanda at the same operational cost ?
Pili unadhani hata huko UK na kwingineko serikali inatoa subsidy kiasi gani whenever there is a private companies running public transport (and you know why) ? kama isingekuwa huduma si wangeacha laws of market zichukue mkondo wake ? Na unadhani zile routes za mabonde kuinama kuna mtu angepeleka usafiri wake ?