Hapana sio kwa hii issue..., Moja Train wateja wakiwa wachache bora usiwekeze kwenye train uwekeze kwenye basi..., (wakiwa wengi vice versa) unadhani hawa wateja zingehitajika basi ngapi ?
View attachment 2441559
Kwahio tukisema tuweke bei kubwa wateja wakiwa wachache huenda hata hizo gharama zisifikiwe...,
Lakini bei ikiwa rafiki watu wengi wakitoka point A mpaka B hata kama hii ni huduma ni faida kwa nchi, vilevile hii ni train pia kutakuwa kuna mizigo n.k. mwisho wa siku hata hii kitu isipoleta faida ya kipesa basi kuna faida nyingine nyingi kama watu kwenda / kufika kwenye uzalishaji wao kwa urahisi na gharama rafiki...
Watu binafsi wakitaka wanaweza kuleta yao na kuyaendesha wanavyotaka na kulipia matumizi ya njia za UMMA (that is possible)